Msaada wa kisheria kuwapata watoto baada ya kuhitilafiana na baba yao

Msaada wa kisheria kuwapata watoto baada ya kuhitilafiana na baba yao

Na kwenye mada za mahusiano ungekuwa na mawazo kama haya ungefika mbali sana
😂😂

Sawa tulia kwanza tumalize hili la hawa mafisadi. Taifa halipo salama kabisa,lipo kwenye taharuki. Hapa ninavyozungumza nina tafakari sipati majibu.

Najiona kama nipo South Africa ile ya makaburu kabla ya mandela
 
😂😂

Sawa tulia kwanza tumalize hili la hawa mafisadi. Taifa halipo salama kabisa,lipo kwenye taharuki. Hapa ninavyozungumza nina tafakari sipati majibu.

Najiona kama nipo South Africa ile ya makaburu kabla ya mandela
Siyo tu kusubiri hili la hawa mafisadi lipite bali hatutakiwi kusubiri kabisa, nimegundua mimi na wewe humu ndani kamwe hatuwezi kukubaliana kutokubaliana hata iweje, hivyo ingekuwa ni vyema ukaacha kabisa kunitag au kuniquote kwenye hizi mada ili kuepuka kupotezeana muda
 
Msaada ninaohitaji:
  • Nataka kujua process gani nifuate kisheria ili nipatiwe watoto wangu nilee mwenyewe, mpaka pale watakapofikia umri wa kuchukuliwa na baba yao.
  • Je, mgogoro huu hautaleta athari kwenye kazi yangu? Vipi kama ataenda kuniharibia ofisini ili niachishwe kazi?
  • Je, naweza kumueleza mkuu wangu wa kazi juu ya changamoto ninayopitia ili pia niweze kupata ruhusa wakati nitakapohitaji kufuatilia watoto?
1. process ya kwanza nenda mahakamani kaombe mahakama imuamuru mumeo arudishe watoto ukaenao wewe, kwasababu ni chini ya umri wa miaka saba na Kwa maelezoyako wewe ni mama nzuri ambaye unaweza kuwalea pasi kuathiri usitawi wao.
2. omba matunzo ya watoto kwasababu kisheria hususani Sheria ya ndoa mwanaume ndio mwenye jukumu la kuhudumia familia.
3. Haki ya kuwaona watoto Kwa Kila upande pindi watakapo kuwa na mama au baba. Watoto wanayohaki yakupata malezi ya pande zote mbili
 
mgogoro WA familia haungiliani na KAZI. Isipokuwa ukishindwa kujicontrol unaweza kukuathiri kisaikolojia na hivyo kupelekea kuathiri utendaji wako WA KAZI.
 
Kumueleza mkuu wako wakazi nivyema zaidi ili kuwekasawa mazingira yatakayokuwezesha kufwatilia na kutekeleza takwa lako BILA usumbufu na BILA kuathiri KAZI pia,
 
Story imefichwa sana hii, umeandika kisomi sana.
Ungalitumia hata hisia kidogo basi , story kama insha ya mazingira.
 
Back
Top Bottom