Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Bro basi haujasoma uzi soma tenaSijaona mahala lakin ambako imeandikwq kazi kuhusika
Bro basi haujasoma uzi soma tenaSijaona mahala lakin ambako imeandikwq kazi kuhusika
Mazungumzo ya upande mmoja, inawezekana kabisa mmiliki wa mfugo akajua tabia zote za mfugo wake.
Huyu dada kuna kitu hasemi na atajichanganya tu.Atanywea kikombe anachotengeneza kwa uchungu sana.Dada angu olika mbona sijaona tatizo haswa kati Yako na mumeo.
Sali sana, Sali sana nasisitiza Sali sana.
Umesema kweli huyu Dada yetu kuna vitu hajasema. Ila mimi binafsi namshauri afanye sana sala. Vinginevyo washashindwana na mumewe kwaio anatafutwa mshindi😂
Mpaka sasa uzi unasomeka hiv kwangu 👇👇Bro basi haujasoma uzi soma tena
Bro basi haujasoma uzi soma tena
Unafahamu 'parable'?Kumuita binadamu mwenzio mfugo ni ishara ya dharau kubwa. Usijione mkuu futi sita ni mwisho wa yote
Msenge weHuyo ana stress huwezi mweleza kitu maana nae alishakuja kulia lia hapa kuhusu mkewe watu wakamuamini basi daily anakuja kuleta ujuaji kwenye nyuzi za aina hii. Nampongeza mkewe kwa kumbadilikia
Kafuta uzi tayari mwenzakoBro basi haujasoma uzi soma tena
Kuna tatizoMwanamke anasema siwezi kuacha kazi nina malengo yangu halafu mwanaume ashughulike na malengo ya wote wawili.kitendo kufuta post tayari inaonekana wewe ndiye tatizo
Msenge we
🚮🚮🚮Kimekulamba nyooo ndo maana ukatombewa pheeewww
Unafahamu 'parable'?
Mwanaume hatakubali kushindwa kamwe, hususani kuhusu watoto, kama hatatumia busara huyu mwanamke tumeshasikia matukio mengi yanayofanana na hayo mwisho wake ukoje.Kumbe kudharauliwa inauma. Angeacha kumsimanga na kumdharau mkewe hayo yote yasingetokea
Oooh okay kafuta maelezo mengineMpaka sasa uzi unasomeka hiv kwangu 👇👇
View attachment 3464689
Turudi kwenye lugha yetu, we ni mzuri wa fasihi?Yale yale ya kukimbilia lugha ya beberu kukwepa lawama
Nilichogundua wewe uliolewa ili ujishikize tu jamii ikuone una ndoa na pia wazazi wako walikuwa wanakuomba Hela Kwa njia ya kukwambia Hali ngumu Sana huku kwetu kwahiyo ulikuwa unaumia Kwa namna hiyo.Salaam
Taratibu mkuu. Sio vyema kuzungumza mambo ambayo yatamkumbusha ya nyuma na kumuumiza zaidi.Huyo ana stress huwezi mweleza kitu maana nae alishakuja kulia lia hapa kuhusu mkewe watu wakamuamini basi daily anakuja kuleta ujuaji kwenye nyuzi za aina hii. Nampongeza mkewe kwa kumbadilikia