James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 9,529
- 16,291
Hongera kwa kuikopi maana kashaifuta.Ni jambo rahisi nenda ustawinwa jamii utaongozwa hatua kwa hatua
Kwanini mumeo ahisi watoto si wake? Huu mgogoro wao uko hapo. Ulivyo olewa alikuruhusu kufanya aina hiyo ya kazi na inakuweka mbali na familia na watoto? Baba ndo anajua mazingira gani yanafaa kwa watoto wake kazi unayofanta labda haina usalama wa malezi kwa watoto.
Halafu shukuru Mungu kawachukua wengine wanaachiwa watoto wanalalamika.
Kakupa uhuru. Furahia maisha yako kadri utakavyo don't disturb the children.