Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Same here. Rest well
🚮
U r officially ignored
🚮
U r officially ignored
Usifate huu ushauri mdogo wangu, kaa kimya fanya kazi tena weka juhudi zako zote kwenye kazi yako.
Muache alee watoto mwenyewe maana amechagua iwe hivyo. Inauma kukaa mbali na watoto wako lakini vumilia, usitumie nguvu sana kudai watoto maana hana fimbo nyingine ya kukuchapia zaidi ya hiyo. Watoto ni wa kwako na ipo siku utakuwa nao na watakuelewa.
Kumbe sikujua chanzo naanza kupata picha japo mleta uzi inaonekana kuna mambo kafuta, mkuu tuongee mimi na wewe mkiwa ndani ya ndoa huwa mnaelewana na kuambizana kila mpango na kushauriana ili kuiendesha familia si ndio, hapa nina swali mleta mada je hiyo kazi mmewe alimsapoti 100% au aliamua mwenyewe, na je kabla ya hiyo kazi maisha yalikuwaje kati yao ndani ya ndoa, hapa point ni nyingi kuna wanaume hatupendi wake zetu wafanye kazi kwasababu mbali mbalia mfano wengi unakuwa ni wivu kitu ambacho sio kibaya ni kwasababu anakupenda, wengine anaona mke wake akipata kazi madharau yataanza na hili ni kweli tumeshuhudia ndo nyingi zikivunjika sababu ya dharau baada ya kuanza kuingiza chochote tena kibaya ukute mke ndo anaingiza pesa ndefu kuliko ww hakuna rangi utaacha kuona binafsi namshauri bibie akae chini aangalie tatizo ni nini na kwann mwanaume kaamua hivi naaamini wanaume hatukurupukagi kuna sababu za msingi mpaka anafanya hivo sasa bibie atafakari hizo sababu ndo atapata jinsi ya kutatua tatizo lakeHujamuelewa mleta mada ndo maana hauelewi ninachoandika mkuu. Angalia ushauri wa kingsman kaelewa somo. Yaani kisa mkeo kapata ajira unatorosha watoto na hautaki apate access nao huo ni ubinafsi mkuu. Ndoa ni maelewano baina ya wawili kama wameshindwa kuelewana maumivu kwa watoto. Sasa mtoto wa maiaka miwili unampeleka kwa ndugu wakati mama yake yupo. Watoto wasitumike kama fimbo ya kuchapiana ndoani
Wanaume hamkurupuki??? Huwezi elewa maana hujawahi kuishi nao. Acheni ubinafsi.Kumbe sikujua chanzo naanza kupata picha japo mleta uzi inaonekana kuna mambo kafuta, mkuu tuongee mimi na wewe mkiwa ndani ya ndoa huwa mnaelewana na kuambizana kila mpango na kushauriana ili kuiendesha familia si ndio, hapa nina swali mleta mada je hiyo kazi mmewe alimsapoti 100% au aliamua mwenyewe, na je kabla ya hiyo kazi maisha yalikuwaje kati yao ndani ya ndoa, hapa point ni nyingi kuna wanaume hatupendi wake zetu wafanye kazi kwasababu mbali mbalia mfano wengi unakuwa ni wivu kitu ambacho sio kibaya ni kwasababu anakupenda, wengine anaona mke wake akipata kazi madharau yataanza na hili ni kweli tumeshuhudia ndo nyingi zikivunjika sababu ya dharau baada ya kuanza kuingiza chochote tena kibaya ukute mke ndo anaingiza pesa ndefu kuliko ww hakuna rangi utaacha kuona binafsi namshauri bibie akae chini aangalie tatizo ni nini na kwann mwanaume kaamua hivi naaamini wanaume hatukurupukagi kuna sababu za msingi mpaka anafanya hivo sasa bibie atafakari hizo sababu ndo atapata jinsi ya kutatua tatizo lake
Hata wewe una coments zako za kipuuzi tu tukisema kujuhukumu kwa maandiko yako ya nyuma hutafurahiHuyo ana stress huwezi mweleza kitu maana nae alishakuja kulia lia hapa kuhusu mkewe watu wakamuamini basi daily anakuja kuleta ujuaji kwenye nyuzi za aina hii. Nampongeza mkewe kwa kumbadilikia
Huyo mwamba anazingua sana.Bonge la point. Hichi ndicho anachokitaka mleta mada
Hakuna mwanaume anayependa mfarakano ktk familia yake neverWanaume hamkurupuki??? Huwezi elewa maana hujawahi kuishi nao. Acheni ubinafsi
😂😂😂😂Pumbavu kabisa wewe umenikumbusha mbali sana natamani ningemjua mme wako tukutese Kwa pamoja
A coin has two sides bro, kwa akili tu ya kawaida vitendo vya mwamba kweli si vya kiutu ila kwa mtu timamu hawezi fanya hayo matukio without the reasons behind, as long as mwanamke hajalitamka la changamoto ya akili basi halipo.. Kuna sababu zingine zinapelekea mwamba kua hivo, tungezijua tungetoa judgement sahihiYani nikikua upande wa mwanaume, ila niliposomq na kuelewa nimerudi neutral na kuangalia wapi pana shida.
Mimi kama mwanaume tumekalili kwamba wanawake ni watukutu ila kwa hapa hapana, mwanaume ndo mtukutu.
Jambo nnaloliona hapa kulingana na profession yang ni kuwa naona huyu mzee anachangamoto za kisaikolojia (mental health) anawoga uliopitiliza, anaogopa endapo kama mkewe atakuwa na uwezo wowote ule basi atamwacha peke ake.
Unaweza solve hili tatizo kwa namna mbili.
1. Kua positive na umsaidie kutoka kwenye dim-witted alilopo.
Mhakikishie kuwa unampenda na upo na yey, yote unayofanya na utakayofanya daima yatalenga kuboresha maisha yenu wewe na yeye kwaajiri ya wananenu.
Mwelekeze kuwa wewe ni mke wake na huwezi kuwa juu kumzidi hata siku moja na hata kazi unayoililia ni kwaajiri yake yeye as it will save better to his family as long as huna Pennine unapoitikia kama mke.
2. Njia ya pili ni kumripoti dawati la jinsia huku ukihusisha matatizo ya akili alonayo.
Walleye kuwa anaweza hata wanyima chakula watoto endapo watamuudhi kidogo.
Toa hongo, omba .. fanya chochote ila usisahau kuwaqmbia watu wa serikali kuwa kulingana na akili yake hawezi kukaa na watoto.
Niwape story fupi labda dada huyu atajifunza kitu.
Nilikua na mchumba,nilimtafutia kazi ofisini kwangu,nikamfundisha kazi,nikamuoa ndoa ya kanisani.
Tukazaa watoto wawili
,Akahama kazi,akapata mshahara mkubwa kiasi,
Akaanza kiburi,nikibadiri gari na yeye anataka nimbadirishie,
Nilitimiza mahitaji yote ya nyumbani kwangu kula na Ada za wanangu kuvaa kwake,kuna kipindi nilikua nampeleka shoping mpaka ya laki 5 Na kipato changu cha wastani ila sikujali.
Kipato Huleta majivuno mgogoro ukaobuka home, kisa mimi nimechepuka,yes nilichepuka sababu huwa sifanyi mapenz na mtu Asie na
Hata wewe una coments zako za kipuuzi tu tukisema kujuhukumu kwa maandiko yako ya nyuma hutafurahi
Basi sawa.Hakuna mwanaume anayependa mfarakano ktk familia yake never
Ndugu zake au wazazi wake huyo mwanaume unawafahamu na mahali wanapoishi?anzia hapoWatoto bado wadogo mkuu, sikatai yeye kukaa nao maana ni baba yao lakini kwanini hanipi nafasi ya kuzungumza nao wala kuwaona wala kujua tu mahali wanapoishi?. Pili namfahamu vizuri lengo la kuchukua watoto ni ili kunikomoa nikose utulivu niharibu kazi, sina hakika kama ana mapenzi na hao watoto maana ni mara kibao amewakataa na kususia kuwahudumia