Msaada wa kisheria kuwapata watoto baada ya kuhitilafiana na baba yao

Msaada wa kisheria kuwapata watoto baada ya kuhitilafiana na baba yao

Hao watoto atawapata vizuri tu. Mwanaume akiendelea kukaza atafilisika maana alipowapeleka wataanza kudai matumizi makubwa ya pesa. Ustawi na akishtuliwa kidogo kwa kesi ya talaka atawatema mapema mno
Mwanaume hatakubali kushindwa kamwe, hususani kuhusu watoto, kama hatatumia busara huyu mwanamke tumeshasikia matukio mengi yanayofanana na hayo mwisho wake ukoje.
 
Wanawake bwana ,we chunguza fujo nyiingi kwenye ndoa, ni wanawake wakishapata uchumi. 90% hata kama sababu ni mwanaume, ila huwa anakua provoked na mwanamke baada ya kuanza jeuri sababu ya uchumi. Wenzetu hawa ni dhaifu sana before money and wealth. Very very wicked
Sahihi
 
Comment zako mbovu jirekebishe. Sio kila mwanamke ni sawa na mkeo
dont get personal lady, try to be objective. ukiona u feel offended kwenye mitazamo ya watu, jua kabisa u r too personal. N that is not a health perspective. Why so obssesed with my ex-wife? Is she reflecting your personality?
Am trying to understand where this came from?
 
Kwahiyo unafu
Huyo ana stress huwezi mweleza kitu maana nae alishakuja kulia lia hapa kuhusu mkewe watu wakamuamini basi daily anakuja kuleta ujuaji kwenye nyuzi za aina hii. Nampongeza mkewe kwa kumbadilikia
Kwahiyo unafurahia watu kuachana mkuu
 
dont get personal lady, try to be objective. ukiona u feel offended kwenye mitazamo ya watu, jua kabisa u r too personal. N that is not a health perspective. Why so obssesed with my ex-wife? Is she reflecting your personality?
Am trying to understand where this came from?
Mnataka kufanya attacks kwenye comments..chukulianeni poa maisha yasonge. Numbisa na Fanton Mahal
 
Taratibu mkuu. Sio vyema kuzungumza mambo ambayo yatamkumbusha ya nyuma na kumuumiza zaidi.
Noo dont worry, mdogo angu ana ka trauma ,i can sense that. Ndio maana hapa kashindwa kabisaa kuandika zile comment zake fupi fupi za "duuuhh au "aiseee".
KWa sisi tuliokaa sana ma wanawake tunatambua saikoloji yao.
 
Hao watoto atawapata vizuri tu. Mwanaume akiendelea kukaza atafilisika maana alipowapeleka wataanza kudai matumizi makubwa ya pesa. Ustawi na akishtuliwa kidogo kwa kesi ya talaka atawatema mapema mno
Inaonekana hujaingia kwenye ndoa unaongea kama vile ni rahisi mkuu hiii kesi ni ndogo mno na haiwezi kumalizwa na ustawi wa jamii ni wao wenyewe yaani mmoja wao kujishusha acha kumpampu mwenzio
 
Inaonekana hujaingia kwenye ndoa unaongea kama vile ni rahisi mkuu hiii kesi ni ndogo mno na haiwezi kumalizwa na ustawi wa jamii ni wao wenyewe yaani mmoja wao kujishusha acha kumpampu mwenzio
Uko sahihi kabisa mkuu. Mtu ambaye yuko kwenye ndoa anaelewa kabisa kisanga kinachoendelea. Sio kidogo
 
Uko sahihi kabisa mkuu. Mtu ambaye yuko kwenye ndoa anaelewa kabisa kisanga kinachoendelea. Sio kidogo
Is very easy kumsoma mtu ukamjua. Na kama yuko huko ndoani basi unapata picha kijana anavyopata tabu huko.
Haya masuala ya watoto ndio maana binafsi niliamua kuacha kabisaa sikutaka yawe kipengele maana ni magumu sana
 
Haya ndo matatizo ya watu wa JF "inaonekana" mwendo wa ramli tu pole mkuu atleast hujaniita single mom maana ndio matusi yenu makubwa humu. Ustawi hawatoi talaka mkuu inaonekana hujui kitu unawaza cha mmoja kujishusha haipo hio ndoa ishakufa hio ni wao kwenda kuimaliza mahakamani
Inaonekana hujaingia kwenye ndoa unaongea kama vile ni rahisi mkuu hiii kesi ni ndogo mno na haiwezi kumalizwa na ustawi wa jamii ni wao wenyewe yaani mmoja wao kujishusha acha kumpampu mwenzio
 
Back
Top Bottom