Kuna mihemko alafu baada ya mda reality catch up to you.. me nimeshauri tu mtajua wenyewe kufata au kuacha!Kama alikubali masharti hayo kipindi cha uchumba then baadae uanze kua na demand nje ya yale ya mwanzo, kosa ni lako. Kama mwanaume hana uwezo wa kuhudumia ukoo wa mwanamke akaibe? Hakuna sheria inayomlazimu mwanaume kuhudumia wazazi wa mke exept asipohudumia familia yake aliyoianzisha yeye hapo ndo hata sheria itakubana
Ha ha haaaa. Ati nimepostiwa 🤣🤣🤣Angel Nylon umepostiwa huku...
Wewe unajua unaongea kama nani... Nishakuambia...Ha ha haaaa. Ati nimepostiwa 🤣🤣🤣
Kuna mtu aliwahi kunitumia clip ya huyu dada akaniambia tumefanana 😅
Mwanzo alipokuwa anasema watoto siyo wake awatafutie baba yao, hakujua kuwa ana wajibu juu ya hao watoto, ila kwenye kuishi nao ndio ajione ana hakiKama vile unavyopenda watoto wakae kwako na yeye pia anapenda watoto wakae kwake, kama vile unavyohofia watoto labda watanyanyaswa na Mama wa kambo na yeye anahofia hivyohivyo kuwa watanyanyaswa na Baba wa kambo.
Kwanini unafikiri una haki zaidi ya kukaa na watoto kuliko yeye?
Si alimwambia mwenyewe kuwa watoto ni wake ndo kaamua kuishi naoMwanzo alipokuwa anasema watoto siyo wake awatafutie baba yao, hakujua kuwa ana wajibu juu ya hao watoto, ila kwenye kuishi nao ndio ajione ana haki
Sasa kama siyo wa kwake mbona kawachukua si angewaacha na mama yao ili akawatafutie baba yao, yani kisa akisimulia mwanamke ndio mnajifanya mnataka kusikia na upande wa pili, ila angesimulia mwanaume mngemuunga mkono unadhani wanaume ndio hawawezi kuplay victims kama wanawakeKuna maelezo tunamdai mtoa mada hapa. Ndio maana uko juu nimekwambia usitoe hukumu kwa kusikiliza maelezo ya mwanamke pekee. Silaha ya mwanamke kuinewa huruma na kukwepa kuwajibika ni ku-play victim, na kutokana na victim status waliyonayo huwa wanaaminika kirahisi. Ukishakijua ilo mwanaume unachotakiwa kufanya ni kimoja tu: usimuonee huruma mwanamke
Sasa mwanzo alipowakataa hakuambiwa kwamba watoto ni wake, na amethibitisha vipi sasa kama ni wake kweli, na kama ni kwa maneno ya mkewe tu mwanzo kilichofanya awakatae ni niniSi alimwambia mwenyewe kuwa watoto ni wake ndo kaamua kuishi nao
Alikua na wasiwasi alivyothibitishiwa ni wake kaamua kukaa naoSasa mwanzo alipowakataa hakuambiwa kwamba watoto ni wake, na amethibitisha vipi sasa kama ni wake kweli, na kama ni kwa maneno ya mkewe tu mwanzo kilichofanya awakatae ni nini
Wanaume hatuna hiyo tabia ya ku-play victim. Huyu mwanamke mwenzenu anataka huruma ya watu tu lakini kosa lake haswa analijua vizuri kabisa.Sasa kama siyo wa kwake mbona kawachukua si angewaacha na mama yao ili akawatafutie baba yao, yani kisa akisimulia mwanamke ndio mnajifanya mnataka kusikia na upande wa pili, ila angesimulia mwanaume mngemuunga mkono unadhani wanaume ndio hawawezi kuplay victims kama wanawake
Sawa mkewe alimthibitishia vipi kwa vitendo au kwa maneno na wakati mkewe anawazaa hakujua tangu mwanzo kwamba ni wake, tangu lini mwanaume mwenye wasiwasi na watoto wake akathibitishiwa na mkewe kwa maneno tu na akaamini, na kwanini alikuwa anatimiza majukumu yake kwa masharti kwa hao watoto na kutoa kauli mbaya juu yao halafu leo hii ndio anajiona ana haki kuliko mamaAlikua na wasiwasi alivyothibitishiwa ni wake kaamua kukaa nao
Mwanzo alikua haamini ila mwisho akaamini kwani kuna ubaya?Sawa mkewe alimthibitishia vipi kwa vitendo au kwa maneno na wakati mkewe anawazaa hakujua tangu mwanzo kwamba ni wake, tangu lini mwanaume mwenye wasiwasi na watoto wake akathibitishiwa na mkewe kwa maneno tu na akaamini, na kwanini alikuwa anatimiza majukumu yake kwa masharti kwa hao watoto na kutoa kauli mbaya juu yao halafu leo hii ndio anajiona ana haki kuliko mama
Hiyo kauli ya kusema wanaume hamna tabia ya kuplay victims ni wazi unataka tujadili mawazo yako binafsi na siyo uhalisia, hivi ni lini mtaacha kukwepa uhalisia uliopo kwenye jamii kwa kujifanya kama vile wanaume ni innocent ila wanawake tu ndio wakosaji siku zote, hatuko hapa kujadili mawazo yako binafsi sisi tunashuhudia wanaume wengi wanaoplay victims ili waonekane innocent lakini nao huwa wanajitetea kwa kauli kama hizi.. anyway nimekuuliza kama anajua hao watoto siyo wake kwa sababu anahisi mkewe hakuwa muaminifu kama mnavyosema kwanini sasa kawachukua!!Wanaume hatuna hiyo tabia ya ku-play victim. Huyu mwanamke mwenzenu anataka huruma ya watu tu lakini kosa lake haswa analijua vizuri kabisa.
Ukweli ni kwamba hakuwa na wasiwasi wowote na alikuwa anajua kabisa kama hao ni watoto wake ila alikuwa hataki tu kutimiza wajibu wake, mwanaume ambaye kweli ana wasiwasi na watoto wake huwa hahitaji kuthibitishiwa na maneno ya mkewe tu bali huchukua hatua zaidi, kwahiyo ni wazi huyo alikuwa anatafuta tu kisingizio cha kukwepa kuwajibika hivyo hana haki kama aliyonayo mama yao juu ya hao watoto kama unavyojaribu kusema hapaMwanzo alikua haamini ila mwisho akaamini kwani kuna ubaya?
Ndiyo mwanzo alikua hataki kuwajibika ila sahivi kaamua kuwajibika na kawachukua watoto wake ili awahudumieUkweli ni kwamba hakuwa na wasiwasi wowote na alikuwa anajua kabisa kama hao ni watoto wake ila alikuwa hataki tu kutimiza wajibu wake, mwanaume ambaye kweli ana wasiwasi na watoto wake huwa hahitaji kuthibitishiwa na maneno ya mkewe tu bali huchukua hatua zaidi, kwahiyo ni wazi huyo alikuwa anatafuta tu kisingizio cha kukwepa kuwajibika hivyo hana haki kama aliyonayo mama yao juu ya hao watoto kama unavyojaribu kusema hapa
Una point usikilizweKama vile unavyopenda watoto wakae kwako na yeye pia anapenda watoto wakae kwake, kama vile unavyohofia watoto labda watanyanyaswa na Mama wa kambo na yeye anahofia hivyohivyo kuwa watanyanyaswa na Baba wa kambo.
Kwanini unafikiri una haki zaidi ya kukaa na watoto kuliko yeye?
Basi ndio hana hiyo haki juu ya hao watoto kama ulivyosemaNdiyo mwanzo alikua hataki kuwajibika ila sahivi kaamua kuwajibika na kawachukua watoto wake ili awahudumie
Sina muda wa kubishana na wewe. Ishu ni kwamba huyu mwenzenu kosa lake haswa analijua. Aweke pembeni ego yake. Atumie hekima na busara watafika tu muafaka na mumeweHiyo kauli ya kusema wanaume hamna tabia ya kuplay victims ni wazi unataka tujadili mawazo yako binafsi na siyo uhalisia, hivi ni lini mtaacha kukwepa uhalisia uliopo kwenye jamii kwa kujifanya kama vile wanaume ni innocent ila wanawake tu ndio wakosaji siku zote, hatuko hapa kujadili mawazo yako binafsi sisi tunashuhudia wanaume wengi wanaoplay victims ili waonekane innocent lakini nao huwa wanajitetea kwa kauli kama hizi.. anyway nimekuuliza kama anajua hao watoto siyo wake kwa sababu anahisi mkewe hakuwa muaminifu kama mnavyosema kwanini sasa kawachukua!!
Kwanini hana haki ?Basi ndio hana hiyo haki juu ya hao watoto kama ulivyosema