Nadhani kila jambo ukilitazama kwa upande m'moja hautaona sababu za upande wa pili.Hivi mwanamke akiwa anajitafutia hata vi buku buku huwa ni jambo linalomkera sana mwanaume? Wanaume huwa wanainjoi kuona mtu unakua omba omba kwake mara akunyime....inaleta good feelings bila shaka 🤔
Pole kwa changamoto.
Ila unatuhakikishia kuwa watoto huyo ni baba yao mzazi? Maana kuna kipengele umesema kuwa aliwakataa na kusema si wake then akabadilika. Hii inatia mashaka especially nikirejea kesi nyingi kama hii yako.Watoto bado wadogo mkuu, sikatai yeye kukaa nao maana ni baba yao lakini kwanini hanipi nafasi ya kuzungumza nao wala kuwaona wala kujua tu mahali wanapoishi?. Pili namfahamu vizuri lengo la kuchukua watoto ni ili kunikomoa nikose utulivu niharibu kazi, sina hakika kama ana mapenzi na hao watoto maana ni mara kibao amewakataa na kususia kuwahudumia
Kuna hoja ya baba kukataa kuwalea hawa watoto na kuwaacha wakitanga tanga. Kuna uwezekano anacheza mchezo wa kushindana na mwanamke ambaye ameshashindwa kumtunza na kutunza familia.wanaume tuna taranta ya saikolojia...
mumeo ameshajua ukipata kazi na pesa utamsumbua...
baadhi ya wanawake mna ulimbukeni mkipata hivyo vitu viwili...
nakushauri achana na huyo mwanaume...
japo hakikisha mnakaa kikao ili upate haki ya access kwa watoto wenu...
Unajua kuna kesi za mwanaume kupitia hali mbaya ya kiuchumi kisha mwanamke akaanza vituko ikiwamo kupigwa miti na wanaume wanaompa vijisenti huko nje na hatari inayofuatia sasa ni mwanaume kukosa silaha ya kujibu vita anaamua kutumia watoto kumuadhibu mkewe na hapo ndipo mke anaamua kuwa 100% rebellious kwa mumewe na kutaka maisha ya pembeni na ndipo mwanaume huonekana kichaa kulazimisha maisha na mke.Fata utaratibu Kafungue kesi ya talaka mahakama ya mwanzo au wilaya na ueleze sababu za msingi za kudai talaka ni zipi, labda ukatili, kutelekezwa, uzinzi, kutokuelewana kwa muda mrefu au sababu zingine.
Baada ya hapo mahakama itajaribu usuluhishi kupitia baraza la usuluhishi, ikiwa suluhu haitapatikana mahakama itasikiliza ushahidi wa ulichoshtaki na baadae itatoa hati ya talaka.
Masuala la mgawanyo wa mali au nani atabaki kulea watoto mahakama itaamua pia.
Ila hapa umeeleza malalamiko yako ya upande mmoja na siku zote anaesema peke yake ni mshindi, ikiwa na yeye anayo malalamiko yake ya msingi unaweza kunyimwa hao watoto na mahakama pia akaachiwa yeye kwa manufaa mapana ya mtoto.
Sio kawaida ya mwanaume kuplay victim. Ikitokea kuklmkamata ni haraka sana. Wanaume kuficha ukweli ni ngumu.Sasa kama siyo wa kwake mbona kawachukua si angewaacha na mama yao ili akawatafutie baba yao, yani kisa akisimulia mwanamke ndio mnajifanya mnataka kusikia na upande wa pili, ila angesimulia mwanaume mngemuunga mkono unadhani wanaume ndio hawawezi kuplay victims kama wanawake
Unaweza kuta kuna matukio ya kukosa uaminifu yalitokea hadi akaanza kuhoji kama watoto ni wake. Then amejiridhisha na kupata majibu.Sawa mkewe alimthibitishia vipi kwa vitendo au kwa maneno na wakati mkewe anawazaa hakujua tangu mwanzo kwamba ni wake, tangu lini mwanaume mwenye wasiwasi na watoto wake akathibitishiwa na mkewe kwa maneno tu na akaamini, na kwanini alikuwa anatimiza majukumu yake kwa masharti kwa hao watoto na kutoa kauli mbaya juu yao halafu leo hii ndio anajiona ana haki kuliko mama
Sio mawazo yake binafsi,sote tuna fahamu hiyo. Hata wanawake wanaojitambua ukiwauliza huwa wanasema wazi maana wanajua vituko vya rafiki zao.Hiyo kauli ya kusema wanaume hamna tabia ya kuplay victims ni wazi unataka tujadili mawazo yako binafsi na siyo uhalisia, hivi ni lini mtaacha kukwepa uhalisia uliopo kwenye jamii kwa kujifanya kama vile wanaume ni innocent ila wanawake tu ndio wakosaji siku zote, hatuko hapa kujadili mawazo yako binafsi sisi tunashuhudia wanaume wengi wanaoplay victims ili waonekane innocent lakini nao huwa wanajitetea kwa kauli kama hizi.. anyway nimekuuliza kama anajua hao watoto siyo wake kwa sababu anahisi mkewe hakuwa muaminifu kama mnavyosema kwanini sasa kawachukua!!
Okay, amechukua watoto wake kaamua kuondoka nao baada ya kujiridhisha kuwa ni watoto wake. Why sasa mwanamke anataka tena watoto na wakati wapo kwa baba yao, si amepata uhuru anaotaka?Ukweli ni kwamba hakuwa na wasiwasi wowote na alikuwa anajua kabisa kama hao ni watoto wake ila alikuwa hataki tu kutimiza wajibu wake, mwanaume ambaye kweli ana wasiwasi na watoto wake huwa hahitaji kuthibitishiwa na maneno ya mkewe tu bali huchukua hatua zaidi, kwahiyo ni wazi huyo alikuwa anatafuta tu kisingizio cha kukwepa kuwajibika hivyo hana haki kama aliyonayo mama yao juu ya hao watoto kama unavyojaribu kusema hapa
Sasa mbona unakimbia hoja ya msingi, mmesema mwanamke siyo muaminifu ila hataki kusema hapa, sasa kama mumewe anajua hilo mbona kawachukua hao watoto ambao mnadhani ni kweli siyo wakeSina muda wa kubishana na wewe. Ishu ni kwamba huyu mwenzenu kosa lake haswa analijua. Aweke pembeni ego yake. Atumie hekima na busara watafika tu muafaka na mumewe
Sababu mwanzo alikataa kuwahudumia kwa kisingizio kwamba alikuwa na wasiwasi sio watoto wakeKwanini hana haki ?
Siku wanaume mkikubali kuambiwa ukweli na kukubaliana na uhalisia mtakuwa mmepiga hatua moja kuelekea kwenye mabadiliko mnayoyataka nyieJadda ni kama kambale kwenye beseni, ataleta fujo na kutuharibia kikao hiki cha familia hebu usimshtue.
Wala sikutegemea hoja yoyote ya tofauti toka kwao hapa zaidi ya porojo zako za siku zote, sisi tunawafahamu hao wanaume ambao wanajua kuplay victims na wala hawakamatwi kirahisi, huwa unanisema mimi kuwa natetea maovu ya wanawake ila wewe ndio unafanya kile unachokikataza unatetea maovu ya wanaume na unajiona uko sawaSio kawaida ya mwanaume kuplay victim. Ikitokea kuklmkamata ni haraka sana. Wanaume kuficha ukweli ni ngumu.
Wanawake sasa.
Ndio maana nikauliza kama alipata wasiwasi juu ya watoto wake je kilichomfanya sasa hivi akubali kuwa ni wake ni kitu gani, kama ni maneno tu ya mkewe sasa kwanini mwanzo hakuyaamini maneno hayo tangu lini mwanaume mwenye wasiwasi juu ya watoto wake akakubali kuthibitishiwa na maneno ya mkewe tu, hizo nyingine zote ulizoongea ni porojo yani huwa mnachukulia kama kila anachoongea mwanamke ni uongo na kila anachoongea mwanaume ni kweli kwahiyo tuache kujadili uhalisia tukae tunajadili hizi porojo zenuUnaweza kuta kuna matukio ya kukosa uaminifu yalitokea hadi akaanza kuhoji kama watoto ni wake. Then amejiridhisha na kupata majibu.
Ni ngumu kumtetea mwanamke especially kwenye hii migogoro wengi huwa wanapenda kuficha sehemu ya ukweli ila mambo huharibika wakiwekwa kitimoto na washauri au wazee utashangaa mwanaume anaongea vitu ambavyo mwanamke ataishia kuinama na kujiliza ili mada iishe.
Hii ni kawaida sana kwa wanawake kusema uongo kwa kuficha ukweli au kusema ukweli nusu.
Mwanaume huwa haanzi tu kuchukia watoto wake na mkewe. Mwanamke inabidi kumfanyia matendo ya kiburi ya chini chini sana hadi mwanaume anaanza kuwa kama kichaa na kufanya mambo ya hovyo.
Nenda ustawi wa jamii au dawati la jinsia jifanye kama ni mtafiti unakwenda kutafuta taarifa za tafiti zako halafu waulize matukio mengi yakiletwa hapo huwa nani anaonekana mkosaji mara nyingi.
Unakuta mwanamke anakuja na kesi kuwa mwanaume kampiga, mnyanyasaji, hatoi matunzo kwa familia. Akiulizwa ilikuwaje akabadilika utasikia "basi tu alibadilika ghafla akawa hivyo". Akiitwa mwanaume hautaamini stori zitakavyobadilika utashangaa unaambiwa kuwa kuna watu walikuwa wanachombeza mke na wengine wameshalala nae kabisa,na mwanamke alimjibu mwanaume kuwa kama yeye hawezi wengine watahudumia. Hapo unakuta ni kipindi mwanaume hali ikiwa tete.
Mwanaume akiamua kukaa kando, mwanamke mambo yakawa magumu na wahuni wenzake anaanza sasa kutumia watoto kama silaha ya kumchokoza mwanaume. Na ndipo hapa shida huanza kuonekana.
Wewe hebu acha kutetea upumbavu hapa, kuna ndoa nyingi wanaume zimewashinda kwa sababu ya kushindwa kuacha maisha ya ubachela, hivi wewe unadhani kila mwanaume anayeingia kwenye ndoa yuko tayari kwa ndoa we wa wapi weweSio mawazo yake binafsi,sote tuna fahamu hiyo. Hata wanawake wanaojitambua ukiwauliza huwa wanasema wazi maana wanajua vituko vya rafiki zao.
Hatuongei hapa kufurahisha mtu au nafsi tunasema ukweli.
Kesi unazosema wewe pengine ni za ndoa bubu za vyuoni. Ila hizi za halali uraiani mbona mambo yapo wazi kabisa.
Mwanaume hadi anaamua kuishi na mwanamke jua kuna vitu ataweka kando ili ndoa yake iende na hatotaka mkewe alete mizengwe.
Ndoa mara nyingi sana inapovunjika ni mwanamke kapara option nje anataka kutest kina cha maji aogelee atoke nje ya ndoa.
Ndio maana nikauliza amejiridhisha kupitia njia gani kuwa hao watoto ni wake, mwanaume ambaye kweli ana wasiwasi juu ya watoto wake huwa hahitaji kuthibitishiwa na maneno matupu tu ya mkewe, by the way huwa unasema mimi napenda kuandika magazeti hata kwenye ishu ndogo ndogo ila nadhani hizi comments zimedhihirisha ukweli sasaOkay, amechukua watoto wake kaamua kuondoka nao baada ya kujiridhisha kuwa ni watoto wake. Why sasa mwanamke anataka tena watoto na wakati wapo kwa baba yao, si amepata uhuru anaotaka?
Ukitaka kujua mwanaume kuna kitu anapambana nacho tazama namna mambo yanavyokwenda.
Mwanamke anaetaka uhuru angekausha tu,hata kama amenyang'anywa watoto wakiwa wadogo cha muhimu wapo kwa baba yao,atapata haki ya kuwaona baadae.
Mwanaume amekosea kuwachukua watoto kinguvu kutoka kwa mama yao na kwa hili tunahoji why awafanyie watoto na mama yao hivi. Ila eneo la mahusiano kuna muda ukiona mwanaume anahangaika hivi na kufanya vituko halafu mwanamke yupo straight forward kuwa anataka kuishi mwenyewe,then mwanaume anakimbia na watoto, hiyo imekaa kiutata fulani.
Kuna kitu kinaendelea hapa.
Ni huyo mumewe tu ndo hajielewi.Hivi mwanamke akiwa anajitafutia hata vi buku buku huwa ni jambo linalomkera sana mwanaume? Wanaume huwa wanainjoi kuona mtu unakua omba omba kwake mara akunyime....inaleta good feelings bila shaka 🤔
Pole kwa changamoto.
Wakati anawatorosha wewe ulikua wapi?Sijui watoto walipo.
Jadda my love,hebu ngoja kwanza tushughulike na hili la TCRA kuzuia JF kuwa hewani sababu ya Sa100 hapendi kusutwa.Siku wanaume mkikubali kuambiwa ukweli na kukubaliana na uhalisia mtakuwa mmepiga hatua moja kuelekea kwenye mabadiliko mnayoyataka nyie
Wala sikutegemea hoja yoyote ya tofauti toka kwao hapa zaidi ya porojo zako za siku zote, sisi tunawafahamu hao wanaume ambao wanajua kuplay victims na wala hawakamatwi kirahisi, huwa unanisema mimi kuwa natetea maovu ya wanawake ila wewe ndio unafanya kile unachokikataza unatetea maovu ya wanaume na unajiona uko sawa
Ndio maana nikauliza kama alipata wasiwasi juu ya watoto wake je kilichomfanya sasa hivi akubali kuwa ni wake ni kitu gani, kama ni maneno tu ya mkewe sasa kwanini mwanzo hakuyaamini maneno hayo tangu lini mwanaume mwenye wasiwasi juu ya watoto wake akakubali kuthibitishiwa na maneno ya mkewe tu, hizo nyingine zote ulizoongea ni porojo yani huwa mnachukulia kama kila anachoongea mwanamke ni uongo na kila anachoongea mwanaume ni kweli kwahiyo tuache kujadili uhalisia tukae tunajadili hizi porojo zenu
Wewe hebu acha kutetea upumbavu hapa, kuna ndoa nyingi wanaume zimewashinda kwa sababu ya kushindwa kuacha maisha ya ubachela, hivi wewe unadhani kila mwanaume anayeingia kwenye ndoa yuko tayari kwa ndoa we wa wapi wewe
Ndio maana nikauliza amejiridhisha kupitia njia gani kuwa hao watoto ni wake, mwanaume ambaye kweli ana wasiwasi juu ya watoto wake huwa hahitaji kuthibitishiwa na maneno matupu tu ya mkewe, by the way huwa unasema mimi napenda kuandika magazeti hata kwenye ishu ndogo ndogo ila nadhani hizi comments zimedhihirisha ukweli sasa
Na kwenye mada za mahusiano ungekuwa na mawazo kama haya ungefika mbali sanaJadda my love,hebu ngoja kwanza tushughulike na hili la TCRA kuzuia JF kuwa hewani sababu ya Sa100 hapendi kusutwa.
Hebu tulia mpenzi tutaendelea kugombana mambo yakishakaa sawa. Kwasasa hebu tushirikiane kufokea hawa wahujumu uchumi na magaidi wa kisiasa wanao tesa taifa utadhani nyani wameachiwa shamba la mahindi.
Sawa mpenzi?