daah mzee umekomaaaaa eti "si ni kwetu" ww n kabila gan bro? replies zako znanvunja mbavu mzeesi ni kwetu mkuu
Umeandika kama umeondolewa ubongo. Hiyo degree yako imekuwa ni hasara kwako.
Nakushauri urudi nyumbani ukakiri kosa na kuomba msamaha, hiyo ndio njia pekee itakayofungua baraka kwa Mungu. Pia, achana na siasa maana in aonekana siasa kwako ni mzigo unaokufanya ukose hekima.
mkuu mimi bado ni mtoto na pale ni kwetu
Kwenu na nani? Halafu mtoto gani mwenye miaka 37?mkuu mimi bado ni mtoto na pale ni kwetu
hapatana mkuu sijaoa, hapana sina mtoto mkuu, ila nina mpenzi, hapana nimezaliwa mkoani kanda ya ziwa, tangu nimepata degree ni miaka 11 imepita.37 years; Umeoa? Una mchumba? Umezaa mtoto na binti au mmama yeyote? We ni mzaliwa wa dar au mikoani? Tangu umepata degree imepita miaka mingapi?
Nasubiri majibu then nitatoa ushauri wa msingi
Sent using Jamii Forums mobile app