Msaada wakuu! Nimekuwa mtu wa kimoja chali nifanyeje?

Zee la madawa

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,895
Reaction score
4,478
Wakuu naombeni ushauri nifanye nini au shida ni nini wakuu maana naona ndoa itaanza kuingia doa.

Nimekuwa ni mtu wa kupiga bao moja tu halafu siwezi kuendelea na bao la pili au huyu mzee mzima anashindwa kusimama kuendelea na bao la pili anakuwa anasinyaa tu yaani haisimami hiyo ni mpaka asubuhi kwahiyo unajikuta unaishia bao moja tu.

Wakuu shida ni nini?
 
Hamia birundi ukale matoke!
 
Ngono haijawahi kuwa na mshindi, bao moja vaa nenda katafute pesa, inatosha, hakuna mashindano na sehemu uliyotoka
 
Wakuu naombeni ushauri nifanye nini au shida ni nini wakuu maana naona ndoa itaanza kuingia doa.

Nimekuwa ni mtu wa kupiga bao moja tu halafu siwezi kuendelea na bao la pili au huyu mzee mzima anashindwa kusimama kuendelea na bao la pili anakuwa anasinyaa tu yaani haisimami hiyo ni mpaka asubuhi kwahiyo unajikuta unaishia bao moja tu.

Wakuu shida ni nini?
Weka details zifuatazo:- Umri wako, historia ya maradhi kama kisukari na BP, kipato chako ni cha kuunga unga au maana kuna issue ya msongo wa mawazo
 
Hayo ndio majaaliwa yako.

Kama ilivyo kuna watu warefu na wafupi, halkadhalika kuna wazee wa kusimamia ukucha mpaka goli tano na kuna wewe mkuu wa kimoko chali.

KIkubwa kubaliana na majaaliwa yako, enjoy kimoko chako maisha yaendelee.

Jaribio lolote la kutaka kuwa bora zaidi utaishia kuliwa pesa zako na wazee wa puturuu.

Kama kuna maradhi hayatibiki ni ukimoko chali, utaishia kujishindilia mi booster ujimalize kabisa hata hicho kimoko.

By the way, mzagamuano ni zaidi ya kupachika dudu. Foreplay nayo pia ni sehemu ya sex.
Fidia mapungufu yako ya kutodumu muda mrefu kwa kuboresha foreplay, jifunze mautundu ya kumchezea mkeo, ukifuzu vizuri, kimoko chali chako kitaonekana kama bao la Mandingo.
 
Nguvu za kiume ni baraka kutoka kwa Mwenyezi Mungu, ni sawa na kuzaliwa mfupi, mrefu, zeruzeru nk

Hakuna cha chips, kula karanga, wala nini.

Sasa kama huna hizo nguvu za kiume bc ndo imetoka hiyo, hakuna namna tena.

Ila kuna namna za kuboost na sio kuondoa tatizo kabisa.
 
Wakuu naombeni ushauri nifanye nini au shida ni nini wakuu maana naona ndoa itaanza kuingia doa.

Nimekuwa ni mtu wa kupiga bao moja tu halafu siwezi kuendelea na bao la pili au huyu mzee mzima anashindwa kusimama kuendelea na bao la pili anakuwa anasinyaa tu yaani haisimami hiyo ni mpaka asubuhi kwahiyo unajikuta unaishia bao moja tu.

Wakuu shida ni nini?
Ukiona hivo umri wa majukumu umedika and ni kawaida sana kwa wanaume responsible. Mwwnyewe napiga kimoja ila kirefu kuanzia dk 25 hadi nusu saa
 
Back
Top Bottom