Mtu Alie Nyikani
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 1,490
- 3,482
Ukioga haisimami tena, usimdanganye mwenzio.Ukipiga 1 tulia kwanza hata dakika5, nenda bafuni kaoge. Rudi anza romance upyaa
Nina experience na hili.
Ukioga haisimami tena, usimdanganye mwenzio.Ukipiga 1 tulia kwanza hata dakika5, nenda bafuni kaoge. Rudi anza romance upyaa
Mtoa mada zingatia hapaWeka details zifuatazo:- Umri wako, historia ya maradhi kama kisukari na BP, kipato chako ni chankuunga unga au maana kuna issue ya msongo wa mawazo
Inasimama sana tu labda kama unakiteteUkioga haisimami tena, usimdanganye mwenzio.
Nina experience na hili.
Mkuu hii ina uhusiano gani na issue ya mtoa mada??Ulishawahi kufuka samadi?
Naomba jibu langu.
Na wewe una matatizo, ungana naye kupata ushauri kwenye uzi huuUkioga haisimami tena, usimdanganye mwenzio.
Nina experience na hili.
Najaribu kutafuta kiini Cha tatizo.Mkuu hii ina uhusiano gani na issue ya mtoa mada??
Kwamba ukipita njia ya nyuma mzigo unakua hauko stable?? ..na solution ni ipi??Najaribu kutafuta kiini Cha tatizo.
Kwa halii ukombozi wa Tanganyika upatikane???
Watu wanawaza ngono kila dkk, Lol.
Kazi ipoo.
Mmmh aha sawaKapime Testosterone, ila ni ishu ya kawaida kama una mambo mengine kichwani..maisha ya sasa hivi uchi sio kitu muhimu sana...mm binasfi nimeamua kuwa mmbinafsi kwa faida yangu...napiga kimoja kwa haja yangu alafu naendelea na mambo mengine...atanicheat manina aende akatombwe sio priority zangu
Ukipita nyuma sometimes kunaleta tafrani. Suluhisho ni kumwona secretarybirdKwamba ukipita njia ya nyuma mzigo unakua hauko stable?? ..na solution ni ipi??
Fanya mazoezi ya kukimbiaWakuu naombeni ushauri nifanye nini au shida ni nini wakuu maana naona ndoa itaanza kuingia doa.
Nimekuwa ni mtu wa kupiga bao moja tu halafu siwezi kuendelea na bao la pili au huyu mzee mzima anashindwa kusimama kuendelea na bao la pili anakuwa anasinyaa tu yaani haisimami hiyo ni mpaka asubuhi kwahiyo unajikuta unaishia bao moja tu.
Wakuu shida ni nini?
Fanya mazoezi ya kukimbiaWakuu naombeni ushauri nifanye nini au shida ni nini wakuu maana naona ndoa itaanza kuingia doa.
Nimekuwa ni mtu wa kupiga bao moja tu halafu siwezi kuendelea na bao la pili au huyu mzee mzima anashindwa kusimama kuendelea na bao la pili anakuwa anasinyaa tu yaani haisimami hiyo ni mpaka asubuhi kwahiyo unajikuta unaishia bao moja tu.
Wakuu shida ni nini?
4. Epuka kula spinach1. Inaonekana una msongo wa mawazo au una sukari iliyokomaa
-unapokuwa unafanya mapenzi jiandae sana kiakili..ukiwa unafanya mapenzi jitahd sana kuweka akili hapo, acha kumuazia mchepuko wako ukiwa na mkeo..lakin inawezekana nyeto nayo ilikuwa sehemu ya maisha yako.
USHAURI
1.jitahidi sana kufanya mazoezi mbali mbali lakini siyo mazoezi yenye jamii ya kuendesha baiskeli
2. kula matunda hasa matango, parachichi, tikitit,
3. kula sana karoti, nazi, mihogo mibichi na karanga
4. epuka kula spinach/chines kula sana mchicha, tembele na mgagani uliopikwa kienyeji zaidi
5. epuka ugali utokanao na unga wa kukobolewa
6. jitahidi kuwa unatafuna karanga mbichi+mzizi wa mtula tula kwa wakati mmoja
7. epuka gongo
8. kula sana pili pili ili kuongeza joto mwilini hii ina faida kubwa sana.
9. epuka kufanya mapenzi kinyume na maumbile (epuka kula jicho)
10. jitahid kunywa maji mengi sana
11. jitahd kula samaki hususani ngele, sato, pweza au dagaa wa kigoma (madini chuma hapo)
12: TAFUTA PESA