Askarimaji
JF-Expert Member
- Jan 28, 2016
- 276
- 692
Iko kimoja kinachukua dakika ngapi ?
Ebu toa suluhisho hapaUkipita nyuma sometimes kunaleta tafrani. Suluhisho ni kumwona secretarybird
No.121. Inaonekana una msongo wa mawazo au una sukari iliyokomaa
-unapokuwa unafanya mapenzi jiandae sana kiakili..ukiwa unafanya mapenzi jitahd sana kuweka akili hapo, acha kumuazia mchepuko wako ukiwa na mkeo..lakin inawezekana nyeto nayo ilikuwa sehemu ya maisha yako.
USHAURI
1.jitahidi sana kufanya mazoezi mbali mbali lakini siyo mazoezi yenye jamii ya kuendesha baiskeli
2. kula matunda hasa matango, parachichi, tikitit,
3. kula sana karoti, nazi, mihogo mibichi na karanga
4. epuka kula spinach/chines kula sana mchicha, tembele na mgagani uliopikwa kienyeji zaidi
5. epuka ugali utokanao na unga wa kukobolewa
6. jitahidi kuwa unatafuna karanga mbichi+mzizi wa mtula tula kwa wakati mmoja
7. epuka gongo
8. kula sana pili pili ili kuongeza joto mwilini hii ina faida kubwa sana.
9. epuka kufanya mapenzi kinyume na maumbile (epuka kula jicho)
10. jitahid kunywa maji mengi sana
11. jitahd kula samaki hususani ngele, sato, pweza au dagaa wa kigoma (madini chuma hapo)
12: TAFUTA PESA
Kama dakika tano hiviIko kimoja kinachukua dakika ngapi ?
Tutafute pesa mkuu, mie nishazoe hiyo hali within dk moja nimemaliza na usingizi juu kama hanitaki aondokeWakuu naombeni ushauri nifanye nini au shida ni nini wakuu maana naona ndoa itaanza kuingia doa.
Nimekuwa ni mtu wa kupiga bao moja tu halafu siwezi kuendelea na bao la pili au huyu mzee mzima anashindwa kusimama kuendelea na bao la pili anakuwa anasinyaa tu yaani haisimami hiyo ni mpaka asubuhi kwahiyo unajikuta unaishia bao moja tu.
Wakuu shida ni nini?
Ulishawahi kufuka samadi?
Naomba jibu langu.
Kamkomboe baba yako na mama yako kwenye umasikini kwanza mkuuhadi shoga kama wewe hauwazi ngono unawaza ukombozi halafu huyu jamaa analeta mada za ajabu humu!
aisee Tajiri wa kusini chukua huu ushauri kutoka kwa kimada wa abdul! maana abdul anampelekeaga moto so anajua mambinu na maujuzi!mazoezi ndo jibu hakuna cha kunywa wala kumeza, ila mazoezi ya kawaida sio yale ya kunyanyua vitanda vya watu wakiwa wamelala
HainihusuMwanachi kuilinda Tanzania ni jukumu lako
epuka kuichoma nchi yako
😍👍😂💕♻️Ngono haijawahi kuwa na mshindi, bao moja vaa nenda katafute pesa, inatosha, hakuna mashindano na sehemu uliyotoka
hahahaha-hah-haha! Dkk 5!!! Kama bata! Hahahaha!Kama dakika tano hivi
Shida ni huyo mshirika wako(mke/kimada) uliyenaye, saikolojia ishamuona kuwa ni dada'ko na ni wa kawaida, hana jipya.Wakuu naombeni ushauri nifanye nini au shida ni nini wakuu maana naona ndoa itaanza kuingia doa.
Nimekuwa ni mtu wa kupiga bao moja tu halafu siwezi kuendelea na bao la pili au huyu mzee mzima anashindwa kusimama kuendelea na bao la pili anakuwa anasinyaa tu yaani haisimami hiyo ni mpaka asubuhi kwahiyo unajikuta unaishia bao moja tu.
Wakuu shida ni nini?
HUU USHAURI ULINDWE KWA WIVU MKUBWA SANAKwani nani kakwambia mkewe anampiga zaidi ya kimoja
Kama kwa mchepuko nako unaishia kimoja basi tafuta dawa