Msaada wakuu! Nimekuwa mtu wa kimoja chali nifanyeje?

Msaada wakuu! Nimekuwa mtu wa kimoja chali nifanyeje?

Mazoezi na misosi na pombe kidogo kuna muda mimi nilikua sifiki aisee naweza kwenda dk 40 bila bila tangy nibadilishe mtindo wa chakula na kamvinyo alhamdullilah
 
Wakuu naombeni ushauri nifanye nini au shida ni nini wakuu maana naona ndoa itaanza kuingia doa.

Nimekuwa ni mtu wa kupiga bao moja tu halafu siwezi kuendelea na bao la pili au huyu mzee mzima anashindwa kusimama kuendelea na bao la pili anakuwa anasinyaa tu yaani haisimami hiyo ni mpaka asubuhi kwahiyo unajikuta unaishia bao moja tu.

Wakuu shida ni nini?
Kapime Testosterone, ila ni ishu ya kawaida kama una mambo mengine kichwani..maisha ya sasa hivi uchi sio kitu muhimu sana...mm binasfi nimeamua kuwa mmbinafsi kwa faida yangu...napiga kimoja kwa haja yangu alafu naendelea na mambo mengine...atanicheat manina aende akatombwe sio priority zangu
 
Hayo ndio majaaliwa yako.

Kama ilivyo kuna watu warefu na wafupi, halkadhalika kuna wazee wa kusimamia ukucha mpaka goli tano na kuna wewe mkuu wa kimoko chali.

KIkubwa kubaliana na majaaliwa yako, enjoy kimoko chako maisha yaendelee.

Jaribio lolote la kutaka kuwa bora zaidi utaishia kuliwa pesa zako na wazee wa puturuu.

Kama kuna maradhi hayatibiki na ukimoko chali, utaishia kujishindilia mi booster ujimalize kabisa hata hicho kimoko.

By the way, mzagamuano ni zaidi ya kupachika dudu. Foreplay nayo pia ni sehemu ya sex.
Fidia mapungufu yako ya kutodumu muda mrefu kwa kuboresha foreplay, jifunze mautundu ya kumchezea mkeo, ukifuzu vizuri, kimoko chali chako kitaonekana kama bao la Mandingo.
Nenda kwenye maandamano uwe mwanaume
 
Kwa halii ukombozi wa Tanganyika upatikane???
Watu wanawaza ngono kila dkk, Lol.
Kazi ipoo.
hadi shoga kama wewe hauwazi ngono unawaza ukombozi halafu huyu jamaa analeta mada za ajabu humu!
 
Wakuu naombeni ushauri nifanye nini au shida ni nini wakuu maana naona ndoa itaanza kuingia doa.

Nimekuwa ni mtu wa kupiga bao moja tu halafu siwezi kuendelea na bao la pili au huyu mzee mzima anashindwa kusimama kuendelea na bao la pili anakuwa anasinyaa tu yaani haisimami hiyo ni mpaka asubuhi kwahiyo unajikuta unaishia bao moja tu.

Wakuu shida ni nini?
mazoezi ndo jibu hakuna cha kunywa wala kumeza, ila mazoezi ya kawaida sio yale ya kunyanyua vitanda vya watu wakiwa wamelala
 
Wakuu naombeni ushauri nifanye nini au shida ni nini wakuu maana naona ndoa itaanza kuingia doa.

Nimekuwa ni mtu wa kupiga bao moja tu halafu siwezi kuendelea na bao la pili au huyu mzee mzima anashindwa kusimama kuendelea na bao la pili anakuwa anasinyaa tu yaani haisimami hiyo ni mpaka asubuhi kwahiyo unajikuta unaishia bao moja tu.

Wakuu shida ni nini?
Kama upo kwenye ndoa hiyo kawaida
 
Back
Top Bottom