Msaada wakuu! Nimekuwa mtu wa kimoja chali nifanyeje?

Msaada wakuu! Nimekuwa mtu wa kimoja chali nifanyeje?

Nenda kwenye maandamano uwe mwanaume
Mbona bila hata kuandamana Bi. Mkubwa wako anajua uanaume wangu? Na wewe ndio ithibati ya urijali wangu.
Kaa nae vizuri akwambie tofauti ya Baba mzazi na Baba mlezi.
 
Ukioga haisimami tena, usimdanganye mwenzio.

Nina experience na hili.
Inasimama fresh kiongozi labda uwe na shida kwenye system ya mwili wako.
Watu tunapiga cha 1 then tunaenda kuoga janaba kabla ya kuanza safari ingine.
Binafsi nikishavunjia dafu ndani, chezo halinogi tena.
Kuendelea cha 2 labda niwe nimemwagia nje au nioge kabisa au nisubiri gris ikauke kuwe kukavu
 
Tafta mwanamke mzalishe Lea mtoto ili kuondoa maswali kwa jamii ila mambo yakuishi nae achananayo utakufa kwa stress labda ukubali kugongewa Kila siku hilo tatizo lako sahau kupona milele
Mother fvcker
 
Wakuu naombeni ushauri nifanye nini au shida ni nini wakuu maana naona ndoa itaanza kuingia doa.

Nimekuwa ni mtu wa kupiga bao moja tu halafu siwezi kuendelea na bao la pili au huyu mzee mzima anashindwa kusimama kuendelea na bao la pili anakuwa anasinyaa tu yaani haisimami hiyo ni mpaka asubuhi kwahiyo unajikuta unaishia bao moja tu.

Wakuu shida ni nini?
Kwani mkeo kalalamika? Inawezekana hata yeye anapendelea hivyo. Na pia ulipenda uende round ngapi?
 
😂 😂 Mambo ya kawaida hayo!
..
Mimi mke wangu huwa napiga kimoko tu ila kabla sijakojoa nahakisha amekojoa yeye kwanza au tunakojoa wote kwa pamoja, navuta shuka nalala imeisha hiyo.

Kwa mchepuko nako nikipiga moja la pili hata lisipokuja sawa tu, tena hata asipokojoa sijali navaa naondoka zangu maana kwa mchepuko ni kwa ajili ya furaha yangu tu, hata nikipiga 5 siwezi kugain chochote zaidi ya kupoteza nguvu zangu tu
 
Dalili ya mwanamke kufika kilele ni ipi?
 
We unanifaa sana,uko wapi mi sipendi mwenye kupiga vingi🙂🙂
 
Tabia za kitajiri hizo,
Tuachie sisi tuhangaike nayo iyo
 
Back
Top Bottom