Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,895
- 4,478
Ameomba msaada wewe ushaanza mtamani mke wake.Soon tutaanza kukugongea mkeo! Jiandae kwa hilo!
Hamia birundi ukale matoke!Wakuu naombeni ushauri nifanye nini au shida ni nini wakuu maana naona ndoa itaanza kuingia doa.
Nimekuwa ni mtu wa kupiga bao moja tu halafu siwezi kuendelea na bao la pili au huyu mzee mzima anashindwa kusimama kuendelea na bao la pili anakuwa anasinyaa tu yaani haisimami hiyo ni mpaka asubuhi kwahiyo unajikuta unaishia bao moja tu.
Wakuu shida ni nini?
Ngono haijawahi kuwa na mshindi, bao moja vaa nenda katafute pesa, inatosha, hakuna mashindano na sehemu uliyotokaWakuu naombeni ushauri nifanye nini au shida ni nini wakuu maana naona ndoa itaanza kuingia doa.
Nimekuwa ni mtu wa kupiga bao moja tu halafu siwezi kuendelea na bao la pili au huyu mzee mzima anashindwa kusimama kuendelea na bao la pili anakuwa anasinyaa tu yaani haisimami hiyo ni mpaka asubuhi kwahiyo unajikuta unaishia bao moja tu.
Wakuu shida ni nini?
Weka details zifuatazo:- Umri wako, historia ya maradhi kama kisukari na BP, kipato chako ni cha kuunga unga au maana kuna issue ya msongo wa mawazoWakuu naombeni ushauri nifanye nini au shida ni nini wakuu maana naona ndoa itaanza kuingia doa.
Nimekuwa ni mtu wa kupiga bao moja tu halafu siwezi kuendelea na bao la pili au huyu mzee mzima anashindwa kusimama kuendelea na bao la pili anakuwa anasinyaa tu yaani haisimami hiyo ni mpaka asubuhi kwahiyo unajikuta unaishia bao moja tu.
Wakuu shida ni nini?
Umeandika kitaalum sana, utawapata.Mkishapewa suluhisho mnaanza kuona watu ni washirikina aibikeni hivo hivo.
Ukiona hivo umri wa majukumu umedika and ni kawaida sana kwa wanaume responsible. Mwwnyewe napiga kimoja ila kirefu kuanzia dk 25 hadi nusu saaWakuu naombeni ushauri nifanye nini au shida ni nini wakuu maana naona ndoa itaanza kuingia doa.
Nimekuwa ni mtu wa kupiga bao moja tu halafu siwezi kuendelea na bao la pili au huyu mzee mzima anashindwa kusimama kuendelea na bao la pili anakuwa anasinyaa tu yaani haisimami hiyo ni mpaka asubuhi kwahiyo unajikuta unaishia bao moja tu.
Wakuu shida ni nini?
Siku zote game/bao la kwanza hua ni tofauti sana na la pili, kuna namna wote mtaanza kwenye game la kwanza ila game la pili yale mambo ya game la kwanza hayatakuwepo kwenye game la pili ikiwemo hizo romanceUkipiga 1 tulia kwanza hata dakika5, nenda bafuni kaoge. Rudi anza romance upyaa