Msaada wenu wakuu, nateketea ndani kwa ndani

MDA si mrefu Hapa nmetoka kuzinguana na mchepuko wangu mamaJ.

Mida ya saa 9 Tulkua tunachat,
Uchovu wa kutoka kazin Baada ya kufka home nikapitiwa na usngz.

Nikaja kustuka ni saa 12 mbio mbio nikaenda kuchek WORLD CUP bar mechi ishafk dkk ya 17.

MDA wote wa mechi Niko live in play natandaza mikeka na kukagua mikeka yangu inavochanika roho iko juu juu MDA wote.

Baada ya mechi ikabd nimchek tupige stories, ghafla mwanamke kaanza kujitia ujuaji mbuzi na kuleta kisirani mbuzi.

Ikabd nimuwakie mbovu mbovu mpk kaamua kuzima sim yake mwnyw.

View attachment 2451284View attachment 2451285View attachment 2451287

Sent using Jamii Forums mobile app
itoshe kusema kwa kipande hichi kwangu ingekua ni talaka tosha
IMG_20221219_005855.jpg
 
Kwanza wewe ni mshamba hata kwa huu mwandiko wako, mke wako na umezaa naye unathamini Malaya kuliko mke aisee Sasa nakubali vijana wa Sasa wengi mmezaliwa MNA mwili na roho lakini nafsi hamna ndio maana wengi hamna uwezo wa kufikiri.

Hili wala si la kuomba ushauri, tatizo huna nafsi.[/QUOTE]

Nakazia
 
Msaada wenu wakuu, nateketea ndani kwa ndani.

Binafsi breakup nilishashindwa kuizoea, huwa inaleta maumivu haijalishi ni breakup ya ngapi.

Nisiwachoshe sana acha niende moja kwa moja kwenye tatizo langu.

Mimi nina mke na watoto wawili na mke wangu lakini pia kuna mzazi mwenzangu ambaye nilishashindwa kumuacha kabisa licha ya matukio anayonipiga kila baada ya muda. Huyu mzazi mwenzangu ndio ninayemleta hapa kwenu. Nimekuwa naye yapata miaka 6 sasa na mtoto wetu ana miaka 4. Acha tu niwe muwazi ili kama ni kupata msaada niweze kupata maana najua humu JF kuna watu wenye busara ambao wanaweza kutoa ushauri wa kujenga. Kiukweli huyu mzazi mwenzangu nampenda sana yaani mno hata yeye analijua hilo japo huwa haishi kujikasirisha na kujisemesha kuwa simpendi bali namtumia tu. Ukweli uliopo ndani ya moyo wangu nampenda sana kiasi kwamba huwa nashawishika nimuoe mke wa pili japo dini yetu hairuhusu. Lakini huwa nashawishika kujilipua tu nimuoe hivyohivyo kwa namna yoyote itakayowezekana.

Sasa huyu mzazi mwenzangu hatujawahi kuwa na stable relationship kwa muda mrefu. Furaha yetu imedumu sana labda mwezi mmoja lakini throughout ya mahusiano yetu ni migogoro tu, hakuna amani kabisa. Tunaweza kukaa kwa amani na kufurahia mahusiano lakini the next thing utakuta unaibuka mtafaruku japo mtafaruku nao huwa haudumu. Mnaweza kuzinguana asubuhi lakini kufikia mchana mmeyamaliza na kuanza kucheka tena. Au mnaweza kuzinguana leo ikadumu hadi wiki, anaomba msamaha namsamehe yanaisha. Hii ndio imekuwa routine yetu ya mahusiano kwa muda wote huu wa miaka 6. Kuna kipindi tulikuwa tunachuniana hadi miezi 3 lakini baadae tena tunatafutana, tunarudiana na penzi linaanza upya. Lakini tangia July 2021 hadi hivi jana (Jumamosi) tulikuwa hatujagombana hadi ile kuachana kama ilivyokuwa inafanyika miaka ya nyuma ambapo tulikuwa tunagombana na kuchuniana hadi miezi 3, 2,1 and weeks. Ingawa hii mikwaruzano ya mara kwa mara na kuchuniana kwa wiki au siku kadhaa bado ipo kama nilivyoeleza hapo juu.

Sasa kilichotokea jana nahisi tunaenda kubreakup forever au kwa muda mrefu tena kabla hatujarudiana. Kama nilivyosema hapo awali, huyu mwanamke nampenda sana, hii break up inanitafuna ndani kwa ndani, sipati usingizi, japo dakika hii ninapoandika hapa maumivu yamepungua ukilinganisha na jana au usiku wa kuamkia leo. Natamani kuachana naye moja kwa moja lakini nahisi siwezi, labda yeye aamue kuniacha moja kwa moja. Ila mimi nahisi siku akinipigia tu simu nitatepeta.

Ugomvi wetu huwa unasababishwa na tabia zake. Kwa kweli mimi kama mwanaume kuna tabia huwa sizipendi kuziona kwa mwanamke ninayempenda. Huyu mwanamke anapenda sana mpira, ni mshabiki wa simba. Yaani ni kama mwendawazimu linapokuja swala la mpira. Kuna muda nilihack account yake ya instagram nilikuta ana wa-dm wachezaji kama vile anajitongozesha. Nilikuta miconversation kama vile anajitongozesha kwa wachezaji, yaani yeye ndio ana-initiate conversation. Mimeseji kibao, wachezaji tofautitofauti, anagawa namba bila hata kuombwa. Wachezaji wa Simba, Mtibwa, Namungo yaani kama wote. Ukimwuliza kwa nini anafanya hivi yeye anachukulia poa tu. Anakuambia yeye anachat nao tu wala hawatongozi, anasema maisha ya mtandaoni ni fake hivyo hizo chattings hazina maana yoyote ile bali ni fake life ya maisha ya mitandaoni. Nilimwambia sipendi hiyo tabia inanikwaza yeye akawa anasisitiza hayo ni mambo ya mtandaoni hayana maana yoyote, anadai yeye ni mtu mzima anajielewa hivyo niache wivu wa kipumbavu, dah! Kwa hiyo hii ilikuwa moja ya sababu ya makwaruzano yetu maana niliendelea kuwa na access ya account yake zaidi ya miezi mitano kama sio sita ila baadae akaja kunilog out nikawa siwezi tena kuona kinachoendelea huko.

Kitu kingine ambacho sipendi ni kuikuta simu yake iko busy mara kwa mara. Ni mara chache sana siku inaweza kupita ukampigia usikute simu inatumika. Mie huwa namwuliza mbona wewe simu yako haiwezi ikapita siku nisiikute ikiwa busy? Hii tabia hadi leo hii haijabadirika, na hii ni moja ya sababu za ugomvi wetu. Ila wakuu nisiwafiche nafsi huwa inaniambia nimezaa na malaya, ila naomba mniambie kama fikira zangu labda sio za kweli. Halafu mwanamke mwezi huu ndio katimiza miaka 25, nilianza naye mahusiano akiwa na miaka 19.

Miezi michache iliyopita nilibahatika kupata ajira serikalini na nikapelekwa mkoa ambao sio mbali na Dar. Huwa mara moja kwa mwezi siku za weekend naenda Dar kuiona familia na kuonana na mzazi mwenzangu. Na yeye mzazi mwenzangu huwa anakuja mara moja kwa mwezi huku nilipo, hivyo huwa tunaonana mara mbili kwa mwezi (Yeye anakuja mara moja na mimi naenda mara moja).

Nilipopangiwa huku yeye ndio alifanya manunuzi ya vitu vya ndani. Nilimtumia hela akaenda Kariakoo akaninunulia vitu vya ndani kama friji, vyombo n.k na kuzisafirisha kwa kutumia transpoter. Hii point haina maana yoyote ila ninachotaka kukiwasilisha kwenu ni kwamba yeye ndio mnunuzi wa vitu vya ndani japo mie ndio mtoa hela hivyo inatufanya tujihisi huku ndio kwake. Yeye ndio huwa anakuja huku, mke wangu hajawahi kuja huku. Na hii yote nilitaka kumjenga kisaikolojia kwamba huku ni kwake. Infact nilishamwambia huku ni kwako, Dar ni kwa mwenzio maana huwa nashawishika kumuoa kama nilivyotangulia kusema hapo awali.

Tatizo kubwa lililopelekea tubreak up this time around ni hili swala la yeye kuja huku. Huwa akija huku anafika jioni, analala na kesho yake mchana anarudi Dar. Basically huwa hakai hata siku. Anakuwepo usiku mmoja tu na hiyo asubuhi hadi mchana. Wiki mbili zilizopita nilikuwepo Dar hivyo Jumapili ya leo ilikuwa zamu yake kuja. Toka nirudi kutoka Dar hadi jana tulikuwa hatuna mawasiliano mzuri na mimi nilikuwa nahisi kwa hali hii anaweza asije. Mimi nilimwambia nimechoka kukubembeleza na kuwa mtumwa wa mahusiano, usipokuja tunaachana. Yeye akawa anasisitiza atakuja japo dalili zilikuwa zinaonyesha hawezi kuja. Na wiki zote hizi mbili tulikuwa na mtafaruku mkubwa sana ambao tulikuwa tunatoleana kauli za kuachana na kubaki kuwa kama wazazi tu.

Kweli kama nilivyotegemea leo hakuja kama tulivyopanga, anadai amechoka kuwa mtumwa wa mapenzi. Na mimi nimemwambia basi tuachane tu maana hata mimi nimechoka. Haya yote yametokea jana Jumamosi.

Sasa wakuu kama nilivyowaambia hapo awali, nateketea ndani kwa ndani japo kwa sasa najihisi maumivu yamepungua ukilinganisha na jana ila kila nikimkumbuka moyo unakuwa kama unataka kuchomoka. Natamani haya mahusiano yaishe maana ni mateso sana kuwa kwenye mahusiano na mwanamke usiyemuamini ila natamani arudi tu tuendelee kuwa pamoja tulee mtoto wetu licha ya haya mateso anayonipitisha.

Pamoja na ushauri wenu nataka kujua, kwa mtazamo wenu huyu mwanamke ananipenda kweli, au miaka yote sita naforce mapenzi. Mara nyingi tu akinizingua sana huwa namblock hata wiki lakini atapiga simu na kuomba msamaha, atatumia maneno yote mazuri ya kubembeleza ili nimsamehe. Na mie huwa namblock tu ili kumwonyesha kuwa naweza kuishi bila yeye ila huwa sina dhamira ya dhati ya kumuacha. Kwa hiyo akinibembeleza siku 3 mfululizo kwa msg na simu namua-unblock na maisha yanaendelea. Kuna watu wataanza kuuliza kama mtu umemblock atawezaje kukupigia na kukutumia msg? Jibu ni kwamba kuna sehemu unaenda na kukuta msg za namba uliyoiblock, Samsung namba uliyoiblock ikipiga huwa inaonyesha pale kwenye call register.
Wakati wenzako wanatumia nguvu za ujana wao kuwekeza mali na kununia mashamba wewe uko bize na mbunye za watu. Harafu ukizeeka uanze kuilaum serikali.

Wewe dogo kweli una akili?

Inaonekana wewe ni mazaramo, mndengereko au kabila lolote la asili ya pwani.

Yaani mwanmke anakufanya umekuwa mtumwa? Harafu dogo hujawahi kuwa na wanawake wazuri huyo anakuzuzua sana.

Unapata kazi hata mwaka bado ushahamishia michepuko? Dogo nakuonea huruma sana.
 
Oya sikia hakuna anaekupenda hapo, shtuka shtuka shtuka nimekwambia mara 3, utaikumbuka hii comment siku moja, hapo unapigwa changa la macho tu 25 yrs umri wa Khumbu huo muulize konda msafi atakupa maelezo, soon unaenda kuwehuka km ukimuendekeza una mke una watoto wawili mfk sasa unakuaje zezeta kizembe au umelishwa nyama ya kule chini na huyo malaya wa Dar?

Piga chini Jenga maisha na mkeo ulieoa kuhusu mtoto, toa matunzo subiri atimize miaka 7 nenda kamchukue au km unaona miaka 7 mbali tunga kesi ya kuonyesha mama wa mtoto ana uchizi wa afya ya akili uombe upewe mtoto utapewa uishi nae before hajafika miaka 7, kuna kingine?

Nyinyi ndio huo mnakufaga kibwege before 50
 
Msaada wenu wakuu, nateketea ndani kwa ndani.

Binafsi breakup nilishashindwa kuizoea, huwa inaleta maumivu haijalishi ni breakup ya ngapi.

Nisiwachoshe sana acha niende moja kwa moja kwenye tatizo langu.

Mimi nina mke na watoto wawili na mke wangu lakini pia kuna mzazi mwenzangu ambaye nilishashindwa kumuacha kabisa licha ya matukio anayonipiga kila baada ya muda. Huyu mzazi mwenzangu ndio ninayemleta hapa kwenu. Nimekuwa naye yapata miaka 6 sasa na mtoto wetu ana miaka 4. Acha tu niwe muwazi ili kama ni kupata msaada niweze kupata maana najua humu JF kuna watu wenye busara ambao wanaweza kutoa ushauri wa kujenga. Kiukweli huyu mzazi mwenzangu nampenda sana yaani mno hata yeye analijua hilo japo huwa haishi kujikasirisha na kujisemesha kuwa simpendi bali namtumia tu. Ukweli uliopo ndani ya moyo wangu nampenda sana kiasi kwamba huwa nashawishika nimuoe mke wa pili japo dini yetu hairuhusu. Lakini huwa nashawishika kujilipua tu nimuoe hivyohivyo kwa namna yoyote itakayowezekana.

Sasa huyu mzazi mwenzangu hatujawahi kuwa na stable relationship kwa muda mrefu. Furaha yetu imedumu sana labda mwezi mmoja lakini throughout ya mahusiano yetu ni migogoro tu, hakuna amani kabisa. Tunaweza kukaa kwa amani na kufurahia mahusiano lakini the next thing utakuta unaibuka mtafaruku japo mtafaruku nao huwa haudumu. Mnaweza kuzinguana asubuhi lakini kufikia mchana mmeyamaliza na kuanza kucheka tena. Au mnaweza kuzinguana leo ikadumu hadi wiki, anaomba msamaha namsamehe yanaisha. Hii ndio imekuwa routine yetu ya mahusiano kwa muda wote huu wa miaka 6. Kuna kipindi tulikuwa tunachuniana hadi miezi 3 lakini baadae tena tunatafutana, tunarudiana na penzi linaanza upya. Lakini tangia July 2021 hadi hivi jana (Jumamosi) tulikuwa hatujagombana hadi ile kuachana kama ilivyokuwa inafanyika miaka ya nyuma ambapo tulikuwa tunagombana na kuchuniana hadi miezi 3, 2,1 and weeks. Ingawa hii mikwaruzano ya mara kwa mara na kuchuniana kwa wiki au siku kadhaa bado ipo kama nilivyoeleza hapo juu.

Sasa kilichotokea jana nahisi tunaenda kubreakup forever au kwa muda mrefu tena kabla hatujarudiana. Kama nilivyosema hapo awali, huyu mwanamke nampenda sana, hii break up inanitafuna ndani kwa ndani, sipati usingizi, japo dakika hii ninapoandika hapa maumivu yamepungua ukilinganisha na jana au usiku wa kuamkia leo. Natamani kuachana naye moja kwa moja lakini nahisi siwezi, labda yeye aamue kuniacha moja kwa moja. Ila mimi nahisi siku akinipigia tu simu nitatepeta.

Ugomvi wetu huwa unasababishwa na tabia zake. Kwa kweli mimi kama mwanaume kuna tabia huwa sizipendi kuziona kwa mwanamke ninayempenda. Huyu mwanamke anapenda sana mpira, ni mshabiki wa simba. Yaani ni kama mwendawazimu linapokuja swala la mpira. Kuna muda nilihack account yake ya instagram nilikuta ana wa-dm wachezaji kama vile anajitongozesha. Nilikuta miconversation kama vile anajitongozesha kwa wachezaji, yaani yeye ndio ana-initiate conversation. Mimeseji kibao, wachezaji tofautitofauti, anagawa namba bila hata kuombwa. Wachezaji wa Simba, Mtibwa, Namungo yaani kama wote. Ukimwuliza kwa nini anafanya hivi yeye anachukulia poa tu. Anakuambia yeye anachat nao tu wala hawatongozi, anasema maisha ya mtandaoni ni fake hivyo hizo chattings hazina maana yoyote ile bali ni fake life ya maisha ya mitandaoni. Nilimwambia sipendi hiyo tabia inanikwaza yeye akawa anasisitiza hayo ni mambo ya mtandaoni hayana maana yoyote, anadai yeye ni mtu mzima anajielewa hivyo niache wivu wa kipumbavu, dah! Kwa hiyo hii ilikuwa moja ya sababu ya makwaruzano yetu maana niliendelea kuwa na access ya account yake zaidi ya miezi mitano kama sio sita ila baadae akaja kunilog out nikawa siwezi tena kuona kinachoendelea huko.

Kitu kingine ambacho sipendi ni kuikuta simu yake iko busy mara kwa mara. Ni mara chache sana siku inaweza kupita ukampigia usikute simu inatumika. Mie huwa namwuliza mbona wewe simu yako haiwezi ikapita siku nisiikute ikiwa busy? Hii tabia hadi leo hii haijabadirika, na hii ni moja ya sababu za ugomvi wetu. Ila wakuu nisiwafiche nafsi huwa inaniambia nimezaa na malaya, ila naomba mniambie kama fikira zangu labda sio za kweli. Halafu mwanamke mwezi huu ndio katimiza miaka 25, nilianza naye mahusiano akiwa na miaka 19.

Miezi michache iliyopita nilibahatika kupata ajira serikalini na nikapelekwa mkoa ambao sio mbali na Dar. Huwa mara moja kwa mwezi siku za weekend naenda Dar kuiona familia na kuonana na mzazi mwenzangu. Na yeye mzazi mwenzangu huwa anakuja mara moja kwa mwezi huku nilipo, hivyo huwa tunaonana mara mbili kwa mwezi (Yeye anakuja mara moja na mimi naenda mara moja).

Nilipopangiwa huku yeye ndio alifanya manunuzi ya vitu vya ndani. Nilimtumia hela akaenda Kariakoo akaninunulia vitu vya ndani kama friji, vyombo n.k na kuzisafirisha kwa kutumia transpoter. Hii point haina maana yoyote ila ninachotaka kukiwasilisha kwenu ni kwamba yeye ndio mnunuzi wa vitu vya ndani japo mie ndio mtoa hela hivyo inatufanya tujihisi huku ndio kwake. Yeye ndio huwa anakuja huku, mke wangu hajawahi kuja huku. Na hii yote nilitaka kumjenga kisaikolojia kwamba huku ni kwake. Infact nilishamwambia huku ni kwako, Dar ni kwa mwenzio maana huwa nashawishika kumuoa kama nilivyotangulia kusema hapo awali.

Tatizo kubwa lililopelekea tubreak up this time around ni hili swala la yeye kuja huku. Huwa akija huku anafika jioni, analala na kesho yake mchana anarudi Dar. Basically huwa hakai hata siku. Anakuwepo usiku mmoja tu na hiyo asubuhi hadi mchana. Wiki mbili zilizopita nilikuwepo Dar hivyo Jumapili ya leo ilikuwa zamu yake kuja. Toka nirudi kutoka Dar hadi jana tulikuwa hatuna mawasiliano mzuri na mimi nilikuwa nahisi kwa hali hii anaweza asije. Mimi nilimwambia nimechoka kukubembeleza na kuwa mtumwa wa mahusiano, usipokuja tunaachana. Yeye akawa anasisitiza atakuja japo dalili zilikuwa zinaonyesha hawezi kuja. Na wiki zote hizi mbili tulikuwa na mtafaruku mkubwa sana ambao tulikuwa tunatoleana kauli za kuachana na kubaki kuwa kama wazazi tu.

Kweli kama nilivyotegemea leo hakuja kama tulivyopanga, anadai amechoka kuwa mtumwa wa mapenzi. Na mimi nimemwambia basi tuachane tu maana hata mimi nimechoka. Haya yote yametokea jana Jumamosi.

Sasa wakuu kama nilivyowaambia hapo awali, nateketea ndani kwa ndani japo kwa sasa najihisi maumivu yamepungua ukilinganisha na jana ila kila nikimkumbuka moyo unakuwa kama unataka kuchomoka. Natamani haya mahusiano yaishe maana ni mateso sana kuwa kwenye mahusiano na mwanamke usiyemuamini ila natamani arudi tu tuendelee kuwa pamoja tulee mtoto wetu licha ya haya mateso anayonipitisha.

Pamoja na ushauri wenu nataka kujua, kwa mtazamo wenu huyu mwanamke ananipenda kweli, au miaka yote sita naforce mapenzi. Mara nyingi tu akinizingua sana huwa namblock hata wiki lakini atapiga simu na kuomba msamaha, atatumia maneno yote mazuri ya kubembeleza ili nimsamehe. Na mie huwa namblock tu ili kumwonyesha kuwa naweza kuishi bila yeye ila huwa sina dhamira ya dhati ya kumuacha. Kwa hiyo akinibembeleza siku 3 mfululizo kwa msg na simu namua-unblock na maisha yanaendelea. Kuna watu wataanza kuuliza kama mtu umemblock atawezaje kukupigia na kukutumia msg? Jibu ni kwamba kuna sehemu unaenda na kukuta msg za namba uliyoiblock, Samsung namba uliyoiblock ikipiga huwa inaonyesha pale kwenye call register.

Wew ndio unaruhusu moyo wako utake kuchomoka kama angekua ni wako bas ungekua umeshamuoa huyo lakin mpaka unamke wako bas huyo sio wako uliyepewa na mungu ila unataka kufos sasa na huko kulazimisha ndio unaangukia katika hayo maumivu .
Ila kumbuka kua mtaka vyote hukosa vyotee.Mpende mkeo wekeza kwa mkeoo na kua na msimamo .Utayaweza yote endapo utamuaa kumuchilia huyo mzazi mwenzio atoke kweny maisha yako na mbaki kumlea mtoto tuu.Ila ukiendelea kumng’ang’ania kitakukuta kitu utajijutia maisha yako yote
 
Unampotezea muda dada wa watu. Hata mie ningekufanyia visa. 1. Umeshaoa, 2. Huezi kuoa tena..unataka yeye akose chances za kuolewa wakati huezi kumuoa? Kama unampenda hivyo usemavyo, utamwacha awe huru kutafuta wake wa maisha.
 
Duh aisee "usipende kujipa umuhimu usiokuwa nao katika maisha yangu". Mimi msomaji tuu nimeumia na hayo maneno sipati picha mhusika amefeel vipi nimemuonea huruma sana.

Wanawake jamani unapokuwa mchepuko unadharaulika sana ni bora kuwa single tuu[emoji20][emoji20][emoji20][emoji20]

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo huyu anapenda sana kujizima data na kujipa hati miliki ya maisha yangu kwa 100%

Jitu naliambia nililala,
Linakataa afu linasema kwann ulale mchana utakua unadanganya Wewe.

Tafsiri yake
Anataka nilale MDA anaotaka yeye.
Na nihofie nikilala hajapenda Simu ikiita analalamika.

Upuuz wa wapi huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahhh sijasoma mpaka mwisho ila huyo mchepuko ana mambo mengi kumzidi hata mama j wa Mzee DeepPond ni kama amekufanya wewe ni kibatari ( taa ndogo za zamani zinazotumia mafuta ya taa) anakuwasha na kukuzima muda wowote atakao.

Kuwa kifikra kuzaasio sababu em Kaa kwa kutulia muache utaumia lakin utapona na maisha yataendelea,, sio vyema mwanaume kuwa kama ndezi buana
Jamaa amekua nice guy mwanamke kamgeuza zoba wake.

Anafanya kumanipulate TU akili yake anavojiskia ndo chanzo Cha makashehe hayo ya kila Mara.

Lengo lake jamaa awe na stress MuDA wote amuwazie yeye.

Hapo ndo mwanamke anafurahi na kujiskia kweli anapendwa jamaa anavoteseka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyo mchepuko yupo free sana wacha akutese yaan kwa mwezi mnaonana siku 2 tena analala kwa usiku mmoja! Ndio maana anapata muda wa kufanya yote hayo maana nyege zinamuendesha chakufanya muweke ndani huko ulipo japo wiki utajua km yuko na wewe au mdangaji
 
Back
Top Bottom