Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
- Thread starter
- #21
Darasa ndio linaongeza akili.Ndoa ili akili imkae vizuri
Tukirudi bongo na PhD nadhani tutakuwa vizuri tu makazini kwetu.
#YNWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Darasa ndio linaongeza akili.Ndoa ili akili imkae vizuri
Awe na msimamo akapige shule huyo mwanamke atamkuta tu .YNWANi rafiki yangu wa kazi, tumpe Jina la John (yupo Halmashauri jirani). Amenipigia simu, na amenieleza jambo fulani nimeshindwa kumshauri.
Sababu ya kushindwa kumshauri ni kwamba; mi ningemjibu fasta kuwa PIGA CHINI NDOA fata SHULE.
Ila "the problem is" alishani tahadharisha nisiwe "bias" katika majibu japo SIFAGILII NDOA.
Wakati ananiomba ushauri alisema ""Mr. Liverpool najua hupendi na hutaki kuoa, ila nakushirikisha hili jambo naomba usiwe bias, japo najua huzitaki ndoa..!!""
Na mimi nimeona niwashirikishe humu najua mpo mliopitia situation kama yake na mkapata jawabu..!!!
SCENARIO:-
Mwaka jana kupitia matangazo ya Wizara ya Utumishi mimi na John tuliomba Scholarship ya PhD.
Na ashukuriwe Mungu sotee tumepata post.
Wiki kama mbili zilizo pita Wizara ya Utumishi walituma barua za ruhusa kwa waajiriwa wetu ili waturuhusu kwenda shule pindi admission documents zitakapo tumwa.
Mi nilishirikisha familia na John akaenda kumshirikisha mchumba ake.
Flash back:-
John na mchumba ake walikutana tokea 2018.
Uchumba wao ukaendelea kwa mabonde na milima mpaka kufika mwaka huu John alipo amua kuufanya officialize.
January/2022 alimpeleka kumtambulisha mchumba ake kwao.
February/2022 John alituma mshenga kwa mchumba.
Kwasasa wanaishi wote na wana mtoto mmoja.
Na wapo kwenye process za ndoa kanisani.
Wanahitaji kupanga tarehe, na mambo mengine ya ndoa.
The Problem:-
John alivyomshirikisha mchumba ake anasema mchumba alipoteza furaha ghafla na alinuna.
Alikaa siku 2 mbili haongei na John.
Baada ya kubembelezwa sanaa mchumba ndio akafunguka.
1. Hataki John apande ndege aende kusoma kwasababu miaka mi3 ya masomo ni mengi, na yeye hawezi kuishi pekee yake TZ halafu John yupo nje.
2. Amesema na karudia sana hili jambo kwamba ""John akisepa tu basi atamkuta mchumba kashaolewa, kwamaana ye mchumba hawezi kuishi mpweke halafu John yupo nje"".
3. Mchumba kasema hawezi kukaa wiki moja bila kugongana na John, hivyo akisepa "Nani atakuwa anamtoa hamu?"
4. Mchumba analalamika John anamuacha vipi mtoto wao mwenye umri wa miaka miwili na mama pekee yake.
Kwahiyo mchumba anahisi kama John anataka kusepa nje amuachie mchumba malezi ya mtoto mwenyewe.
Kaeleza mengi ila kifupi MCHUMBA HATAKI JOHN AENDE SHULE HUKO NJE YA NCHI na KASEMA AKIENDA TU KAMKOSA..!!!
Difficults:-
John yupo njia panda kwa maana NDOA anaitaka na SHULE anaitaka, ila hajui achague kipi aache kipi...!!!!
John anamuhitaji mchumba Tena anamuhitaji sanaa awe mkewe.
John anahitaji sanaa mtoto ake alelewe na mama aliyemzaa, kwamba kutafuta mwanamke mwengine ahitaji kabisaa.
Ila mchumba kashamuonya kwamba akipanda ndege na yeye KAMKOSA.
Uzi tayari.
Ushauri wako Muhimu.
#YNWA
Kwa hakika kwangu mimi familia comes first kuliko kitu chochote kile kwa sababu ni msingi wa kila kitu kuanzia jamii na hata Taifa......Ni rafiki yangu wa kazi, tumpe Jina la John (yupo Halmashauri jirani). Amenipigia simu, na amenieleza jambo fulani nimeshindwa kumshauri.
Sababu ya kushindwa kumshauri ni kwamba; mi ningemjibu fasta kuwa PIGA CHINI NDOA fata SHULE.
Ila "the problem is" alishani tahadharisha nisiwe "bias" katika majibu japo SIFAGILII NDOA.
Wakati ananiomba ushauri alisema ""Mr. Liverpool najua hupendi na hutaki kuoa, ila nakushirikisha hili jambo naomba usiwe bias, japo najua huzitaki ndoa..!!""
Na mimi nimeona niwashirikishe humu najua mpo mliopitia situation kama yake na mkapata jawabu..!!!
SCENARIO:-
Mwaka jana kupitia matangazo ya Wizara ya Utumishi mimi na John tuliomba Scholarship ya PhD.
Na ashukuriwe Mungu sotee tumepata post.
Wiki kama mbili zilizo pita Wizara ya Utumishi walituma barua za ruhusa kwa waajiriwa wetu ili waturuhusu kwenda shule pindi admission documents zitakapo tumwa.
Mi nilishirikisha familia na John akaenda kumshirikisha mchumba ake.
Flash back:-
John na mchumba ake walikutana tokea 2018.
Uchumba wao ukaendelea kwa mabonde na milima mpaka kufika mwaka huu John alipo amua kuufanya officialize.
January/2022 alimpeleka kumtambulisha mchumba ake kwao.
February/2022 John alituma mshenga kwa mchumba.
Kwasasa wanaishi wote na wana mtoto mmoja.
Na wapo kwenye process za ndoa kanisani.
Wanahitaji kupanga tarehe, na mambo mengine ya ndoa.
The Problem:-
John alivyomshirikisha mchumba ake anasema mchumba alipoteza furaha ghafla na alinuna.
Alikaa siku 2 mbili haongei na John.
Baada ya kubembelezwa sanaa mchumba ndio akafunguka.
1. Hataki John apande ndege aende kusoma kwasababu miaka mi3 ya masomo ni mengi, na yeye hawezi kuishi pekee yake TZ halafu John yupo nje.
2. Amesema na karudia sana hili jambo kwamba ""John akisepa tu basi atamkuta mchumba kashaolewa, kwamaana ye mchumba hawezi kuishi mpweke halafu John yupo nje"".
3. Mchumba kasema hawezi kukaa wiki moja bila kugongana na John, hivyo akisepa "Nani atakuwa anamtoa hamu?"
4. Mchumba analalamika John anamuacha vipi mtoto wao mwenye umri wa miaka miwili na mama pekee yake.
Kwahiyo mchumba anahisi kama John anataka kusepa nje amuachie mchumba malezi ya mtoto mwenyewe.
Kaeleza mengi ila kifupi MCHUMBA HATAKI JOHN AENDE SHULE HUKO NJE YA NCHI na KASEMA AKIENDA TU KAMKOSA..!!!
Difficults:-
John yupo njia panda kwa maana NDOA anaitaka na SHULE anaitaka, ila hajui achague kipi aache kipi...!!!!
John anamuhitaji mchumba Tena anamuhitaji sanaa awe mkewe.
John anahitaji sanaa mtoto ake alelewe na mama aliyemzaa, kwamba kutafuta mwanamke mwengine ahitaji kabisaa.
Ila mchumba kashamuonya kwamba akipanda ndege na yeye KAMKOSA.
Uzi tayari.
Ushauri wako Muhimu.
#YNWA
Mdada anasema amezoea mjulubeg once a week hapo ndio tatizoMwambie miaka mitatu si mingi kama atakuwa anatumiwa za matumizi
Karibu sanaa baharia mawazo yako muhimu.Nimewahi siti mkuu
Hapana aiseeMdada anasema amezoea mjulubeg once a week hapo ndio tatizo
Tunawaambiaga WASIOE ila HUWA HAWAELEWI MKUU.Amini amini nawaambieni John ni fala sana
Hiyo point #3 mwambie mimi Tang'ana nipo kwa ajili yake, hata huyo John asiporudi I will take care of her.Ni rafiki yangu wa kazi, tumpe Jina la John (yupo Halmashauri jirani). Amenipigia simu, na amenieleza jambo fulani nimeshindwa kumshauri.
Sababu ya kushindwa kumshauri ni kwamba; mi ningemjibu fasta kuwa PIGA CHINI NDOA fata SHULE.
Ila "the problem is" alishani tahadharisha nisiwe "bias" katika majibu japo SIFAGILII NDOA.
Wakati ananiomba ushauri alisema ""Mr. Liverpool najua hupendi na hutaki kuoa, ila nakushirikisha hili jambo naomba usiwe bias, japo najua huzitaki ndoa..!!""
Na mimi nimeona niwashirikishe humu najua mpo mliopitia situation kama yake na mkapata jawabu..!!!
SCENARIO:-
Mwaka jana kupitia matangazo ya Wizara ya Utumishi mimi na John tuliomba Scholarship ya PhD.
Na ashukuriwe Mungu sotee tumepata post.
Wiki kama mbili zilizo pita Wizara ya Utumishi walituma barua za ruhusa kwa waajiriwi wetu ili waturuhusu kwenda shule pindi admission documents zitakapo tumwa.