Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Ndio kwani haya mambo yana formula?hadi mtu anamaliza masters, anafanya kazi anapata hadi udhamini wa masomo PHD hajaoa?
Na ana miaka 33 bado mdogo mbona!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio kwani haya mambo yana formula?hadi mtu anamaliza masters, anafanya kazi anapata hadi udhamini wa masomo PHD hajaoa?
Siijasoma yote ila mwanao ka anataka kuharibu future mwambie aoeNi rafiki yangu wa kazi, tumpe Jina la John (yupo Halmashauri jirani). Amenipigia simu, na amenieleza jambo fulani nimeshindwa kumshauri.
Sababu ya kushindwa kumshauri ni kwamba; mi ningemjibu fasta kuwa PIGA CHINI NDOA fata SHULE ila "the problem is" alishani tahadharisha nisiwe "bias" katika majibu japo SIFAGILII NDOA.
Wakati ananiomba ushauri alisema ""Mr. Liverpool najua hupendi na hutaki kuoa, ila nakushirikisha hili jambo naomba usiwe bias, japo najua huzitaki ndoa". Na mimi nimeona niwashirikishe humu najua mpo mliopitia situation kama yake na mkapata jawabu.
SCENARIO:-
Mwaka jana kupitia matangazo ya Wizara ya Utumishi mimi na John tuliomba Scholarship ya PhD. Na ashukuriwe Mungu sotee tumepata post.
Wiki kama mbili zilizo pita Wizara ya Utumishi walituma barua za ruhusa kwa waajiri wetu ili waturuhusu kwenda shule pindi admission documents zitakapo tumwa. Mimi nilishirikisha familia na John akaenda kumshirikisha mchumba ake.
Flash back:-
John na mchumba ake walikutana tokea 2018. Uchumba wao ukaendelea kwa mabonde na milima mpaka kufika mwaka huu John alipo amua kuufanya officialize.
January/2022 alimpeleka kumtambulisha mchumba ake kwao. February/2022 John alituma mshenga kwa mchumba. Kwasasa wanaishi wote na wana mtoto mmoja. Na wapo kwenye process za ndoa kanisani. Wanahitaji kupanga tarehe, na mambo mengine ya ndoa.
The Problem:-
John alivyomshirikisha mchumba ake anasema mchumba alipoteza furaha ghafla na alinuna. Alikaa siku mbili haongei na John. Baada ya kubembelezwa sanaa mchumba ndio akafunguka.
1. Hataki John apande ndege aende kusoma kwasababu miaka mi3 ya masomo ni mingi, na yeye hawezi kuishi pekee yake TZ halafu John yupo nje.
2. Amesema na karudia sana hili jambo kwamba ""John akisepa tu basi atamkuta mchumba kashaolewa, kwamaana ye mchumba hawezi kuishi mpweke halafu John yupo nje"".
3. Mchumba kasema hawezi kukaa wiki moja bila kugongana na John, hivyo akisepa "Nani atakuwa anamtoa hamu?"
4. Mchumba analalamika John anamuacha vipi mtoto wao mwenye umri wa miaka miwili na mama pekee yake. Kwahiyo mchumba anahisi kama John anataka kusepa nje amuachie mchumba malezi ya mtoto mwenyewe.
Kaeleza mengi ila kifupi MCHUMBA HATAKI JOHN AENDE SHULE HUKO NJE YA NCHI na KASEMA AKIENDA TU KAMKOSA.
Difficults:-
John yupo njia panda kwa maana NDOA anaitaka na SHULE anaitaka, ila hajui achague kipi aache kipi. John anamuhitaji mchumba Tena anamuhitaji sanaa awe mkewe. John anahitaji sanaa mtoto ake alelewe na mama aliyemzaa, kwamba kutafuta mwanamke mwengine ahitaji kabisaa. Ila mchumba kashamuonya kwamba akipanda ndege na yeye KAMKOSA.
Uzi tayari.
Ushauri wako Muhimu.
#YNWA
Ila kuna watu wanaoa wanawake ila ni mabogus imagine kwa jinsi anavyomwambia hivi hata akienda huko atakuwa na amani?Mi Mzee baba lazima niende.
Yaani hata wafufuke wazazi wanikataze kwenda ila kwenda kwangu kusoma ni LAZIMA.
Nimesotea hii nafasi tokea 2020 imekuja kutiki 2022 halafu atokee mtu anikataze, aisee SITOMUELEWA KWA LOLOTEE.
John ni mshikaji wangu Tena anatimiza miaka 33 mwaka huu.
Nimemwambia apige chini ndoa tupande ndege tukasome.
Mchumba na mapenzi yapo tu ila kusoma Kunategemea umri na majukumu(finance).
Kwahiyo kipindi hiki cha majukumu kidogo na umri wa ujana basi TUKAMALIZIE PhD kabisaa ili tumalizane na mambo ya Shule ibaki KUTAFUTA HELA tu.
#YNWA
Na inaonekana anataka kuhairisha shule,haya mapenzi yanaweza kukufanya uache kufikiri vizuriJohn hatumii vizuri ubongo wake.
Utaanza kutafuta Hela baada ya kupata hiyo PHD?? Wewe kweli mwehu..Mi Mzee baba lazima niende.
Yaani hata wafufuke wazazi wanikataze kwenda ila kwenda kwangu kusoma ni LAZIMA.
Nimesotea hii nafasi tokea 2020 imekuja kutiki 2022 halafu atokee mtu anikataze, aisee SITOMUELEWA KWA LOLOTEE.
John ni mshikaji wangu Tena anatimiza miaka 33 mwaka huu.
Nimemwambia apige chini ndoa tupande ndege tukasome.
Mchumba na mapenzi yapo tu ila kusoma Kunategemea umri na majukumu(finance).
Kwahiyo kipindi hiki cha majukumu kidogo na umri wa ujana basi TUKAMALIZIE PhD kabisaa ili tumalizane na mambo ya Shule ibaki KUTAFUTA HELA tu.
#YNWA
Kabla yake hizo feeling na emotion alizilea Nani...?Usichofahamu ni kuwa your wife is always there for you...
Kukuletea na kukulelea watoto, kulea your feelings and emotions, hata ukiyumba is there for you... sasa kwa nini usimshirikishe???
Na kibaya zaidi siku ukifa ndiyo anatarajiwa kubeba mikoba yako kuongoza familia...
Kumtenga ni short sided thinking brother...
Asante..Wewe kweli mwehu..
Nilishamjibu PIGA NDOA CHINI TWENDE SHULE.Kama mahusiano yenu (wewe na mwana) yaliyojengwa kwa miaka yanatatizwa kupata jibu hii ngoma naona kiazi cha moto.....
Nafikiri Hapo dada anachohitaji ni status ya ndoa na sio maisha ya ndoa.....(MWAMBA ASANUKE NA HILI)
Malezi ya mtoto n jambo la msingi sana KABALI NYINGINE
Mwamba anaenda kuchukua piechidi ili apate nn zaidi?
Je hawezi kwenda na familia nje ya nchi ?kama kuna uwezekano bora wang'oe wote japo manzi tayari anaonyesha anamipango mbadala ....
Kuna taarifa nyingi wanazificha hasa
huyo maisha ya mwana na manzi.......
Kama mastazi mbili zinahangaika kupata jibu mie wa elimu ngumbaru👣...🏹
Kabla yake hizo feeling na emotion alizilea Nani...?
Na Alie kudanganya nitawahi kufa kabla sijasema utawahi wewe, nimesema incase ikitokea
Mwambie Mimi Nina Miaka 32Ndio kwani haya mambo yana formula?
Na ana miaka 33 bado mdogo mbona!
Mkuu ufafanuzi kidogo kwenye kauli hii tafdhaliMENS ARE RATIONAL AND WOMENS ARE EMOTIONAL
Utajuaje kwamba hii ndio taa ya kijani imewakia upande fulani ?KUTAKAKOWAKA TAA YA KIJANI BASI AFUATE MLANGO HUO..
JOHN aende kusoma aachane na ujinga.Ni rafiki yangu wa kazi, tumpe Jina la John (yupo Halmashauri jirani). Amenipigia simu, na amenieleza jambo fulani nimeshindwa kumshauri.