Msaidieni rafiki yangu achague lipi kati ya Ndoa au Scholarship (Elimu)?

Awe na msimamo akapige shule huyo mwanamke atamkuta tu .YNWA
 
Aache Upuuzi akasome Hyo Elimu.ni kwa ajili yake na.familia yake tarajiwa sasa anaanzaje kupoteza opportunity

Kuna muda usipokuwa mbinafsi utaishia kuwapa furaha watu wengne
Huyo mwanamke kama hawez kusubr bas waachane tu kiroho safi.

NB. Kama muda upo akafunge ndoa Bomani ili mwanamke awe na uhakika akirud watabariki ndoa yao Kanisani.
 
Kwa hakika kwangu mimi familia comes first kuliko kitu chochote kile kwa sababu ni msingi wa kila kitu kuanzia jamii na hata Taifa......

Ushauri wangu:
1. Amwombe Mchumba wake wajadiliane kwa wazi ili kila moja atoe dugudugu zake na ajibiwe honestly na mwenza wake huenda mwafaka ukapatikana.

2. Asikilize moyo wake na hisia zake zinasemaje bila kuwa biasness au emotions....

3. Sacrifice: kila jambo linahitaji kufanya sacrifice hivyo apime gharama ya ndoa kwa kuacha fursa ya elimu na gharama ya elimu kwa kuiacha fursa ya ndoa.... afanye maamuzi kwa kuangalia ipi ina gharama kubwa sana....

4. Kama mwenza wake ana 30+ na ana hofu umri umeaogea na amejitoa sana kwa ajili yake, wakati mwingine ni busara kujali hisia za mwenzako kwa kuacha yale unayoyatamani.... unatoa sadaka kwa lugha nyingine to make your spouse happy...

5. La mwisho kwa mpangilio na la kwanza kwa umuhimu sana... AFUNGE NA KUOMBA, AAMKE USIKU NA KUMLILIA MOLA MLEZI AMFUNGULIE LILILO NA KHERI NA YEYE NA AMWONGOZE KUFANYA LILILO LA SAWA..... KUTAKAKOWAKA TAA YA KIJANI BASI AFUATE MLANGO HUO.....

XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX
 
Mbona jibu lipo wazi kabisa, aende shule, kama mchumba atashindwa kuvumilia basi. Hata hivyo si wana mtoto kabisa, kama anaona vipi aoe kabisa ndio aende...lakini shule ni LAZIMA!
 
Aulize Dudu yake! Isije ikamgeuka huko mbele ya Safari..
 
Hiyo point #3 mwambie mimi Tang'ana nipo kwa ajili yake, hata huyo John asiporudi I will take care of her.
 
Huyo dada kwa kukosa uvumilivu wa miaka 3 anaonekana ni jipu, miaka 3 sio mingo John anaenda kufanya vya muhimu kwa familia yao.
Huyo John aende kusoma, that's it
 
Huyo mchumba bomu,
lets say john anapata safari ya miezi 3 nje ya nchi itakuwaje, atakuwa anagawa uchi huku nyuma ili apunguze genye?
If not why, john asiende halafu awe anarudi kila likizo? mbona semester ni 4 month tu na break ya kutosha, either summer or winter break zote sio chini ya 4 weeks.
John akasome, aone kama huyo mchumba hajamkuta atakaporudi, tena hana mbele wala nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…