Msaidieni rafiki yangu achague lipi kati ya Ndoa au Scholarship (Elimu)?

Kwa hayo maneno yake, nisingewaza mara mbili ningemtimua kabla hata sijaenda huko ulaya ili niende nikiwa na aman ya moyo.
 
Hivi unakaa na mwanamke mnajadiri nn.....? Binafsi nikisha panga langu utake usitake litafanyika. Nikipanga mipango yangu wewe kazi yako kuichambua ukiona inakufaa Baki ukiona haikufai chapa lapa .

Haya Mambo ya kujadiriana na wanawake ndio yanayoleta mabishano na magomvi yasiyo na maana ndani ya nyumba
 
Sijataka hata kusoma comment au uzi wote, mwanamke yoyote anaeweka masharti hayo yote hana plan na huyo mwamba. Mwambie chalii akabukue tu. Kama ndoa ipo ipo tu, kama haipo hata akibaki bado itamtokea puani
 
Miaka mi3 kwa kuitamka sio mingi[emoji23] ila kuiishi sasa ndo kipengelee kilipo

Mimi ningekua mchumba wa john kiukweli ningemruhusu kwenda kusoma jamani dunia yetu ya sasa hivi hii bila elimu mtu huendi popote[emoji119][emoji119] wanaofaidi mema ya hii nchii ni wasomi tuache masihara.

Yaani huyo dada sio supportive kwa mwenza wake ajaribu kumwelewa kwamba hiyo nafasi john kapata ni kama dodo chini ya mnazi amruhusu tyu aende mana ni kwa maslai yake na familia pia na pia hiyo itawapa hata kizazi chao mfano bora na imara kuwa na mzazi aliesoma na kutimiza malengo[emoji4] em huyo dada ajaribu kumwelewa mwenzie na kumsuport kwenye ndoto zake
 
Only in Africa yaani kusoma na kuoa uchague kuoa kisa demu anakasirika ngoja siku aje kupigwa na kitu kizito ndio anawajua vizuri wanawake.
 
John aende kusoma, kama mke anampenda atamsubiri
 
John asifananishe kusoma na vitu vya kijinga hapo aangalie tuu mtoto ataishije.
Ukiambiwa kuna jinsia zilinyimwa akili unakataa. Hawezi kuishi bila kugongana kwani john ikitokea akaenda jela miaka 3 huo mwanamke ataenda wapi atakua analiwa sio?
 

Hakuna mjadala, Ndoa ni mzigo tu, baada ya week 3 ya kuishi na huyo mwanamke atakumbuka scholarship, hakuna mjadala hapo.
 
mwambie aache ujinga aende shule, hawa wanawake siyo watu kabisa, kesho ndiyo huyu huyu atamwambia ungekuwa umesoma kama fulani tusingeishi hivi.
 
Jamaa aliyeleta huu uzi angeweka barriers ya kutoruhusu wanawake kuchangia huu uzi. Wewe unajiita malkia wa nguvu unashauri hivi kweli. Hebu vaa uhusika chukulia kama huyu angekua mdogo wako wa kiume au kaka yako anayetegemewa nyumbani au angekua ni mtoto wako wa kiume. Acheni mawazo kufikiria unapokanyaga
 
Usichofahamu ni kuwa your wife is always there for you...

Kukuletea na kukulelea watoto, kulea your feelings and emotions, hata ukiyumba is there for you... sasa kwa nini usimshirikishe???

Na kibaya zaidi siku ukifa ndiyo anatarajiwa kubeba mikoba yako kuongoza familia...

Kumtenga ni short sided thinking brother...
 
Kwa nini wanawake tusichangie kwamba unaona tutaside na mke wa jamaa? Kuna wanawake huko juu wameshaur jamaa aende shule msione wanawake wote ni wajinga eti, tunatofautiana.
 
Kwa nini wanawake tusichangie kwamba unaona tutaside na mke wa jamaa? Kuna wanawake huko juu wameshaur jamaa aende shule msione wanawake wote ni wajinga eti tunatofautiana
Amen.

#YNWA
 
John aende tu huko Nje akasome.

Huyo mwanamke anafanya kazi? mbona ana akili ndogo hivyo? kwa hiyo ikitokea Mume wake kapata kazi mbali hatoweza kuvumilia?

Mshauri aende shule.
 
Yap this is my concern.

Ana miaka 33 mimi nina miaka 32
Tukirudi atakua na 36 Mimi 35.

Then tutakuwa bado na umri wa ujana sanaa tu. Akimkosa huyu mchumba basi atapata mwengine.

#YNWA
Mwanamke mjinga,mi ningembembeleza tufunge ndoa kabisa then namruhusu aende! Miaka 3 sio mingi! Baada ya mwaka nafanya taratibu naenda na mtt au yeye aje km inawezekana mbona fresh tu

Ila kwa maneno ya huyu mwanamke, mmh[emoji848]huyo rfk ako awe makini!
Ila mwambie aende shule aache ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…