Msaidieni rafiki yangu achague lipi kati ya Ndoa au Scholarship (Elimu)?

Hakuna mke hapo. Akapige shule.. maisha unajifikiria wewe kwanza ndo unawapa nafasi wengine. Hata mzazi wako anakushauri jambo lenye maslahi yake kwanza.. kanuni ni kujifikiria kwanza
 
Mwambie amuoe akae namama mkwe au arudi kwao akisharudi john masomoni basi atapanga na kuanza naye maisha .

Kuhusu hela za matumizi kweli maisha ni magumu ila huyo john atengeneze mazingira ya mtoto kupata hela .
1. Afungue kabiashara kakuingiza pesa .
2. Akusanye hela nakumwekea mke kwenye account.
3. Pia mke aombwe tu naye asilimia 50% atoe kwa malezi ya mtoto huku akiandika alichotumia hadi mume arudi.
4. Kuhusu mapenzi kashakua ache upuuzi eti nani atamtoa hamu ache kutudanganya embu akwendree hukoo.

Jingine amueleze kuwa akirudi atapandishwa cheo na atapewa mkwanja mrefu atajenga kwa haraka.
Atamnunulia kagari chakutamba kwa mashosti .
Na pamba pamba nzuri atamnunulia kwenda masomoni ndio kumsaidia yeye kurahisisha maisha ukiwa huna elimu ni ngumu kusonga kimaisha.

Tena isitoshe kwenye kazi za kiserikali.
 
Samahani mkuu, wewe ni nshomile? Nasema tena samahani
 
Anaweza asiende na huko mbele dem akamsaliti vilevile ikabakie ooooh bora ningeenda kusoma,hawaaminiki hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…