Msaidizi wangu wa ndani anagawa vitu vyangu kwa wanandoa

Mkanye huyo dada anayemlaghai
 
Nyumbani kwetu tulishawahi kuwa na mdada,yeye alikuwa hataki tabu akitaka kuwasha mkaa anachukua mkaa mmoja ama miwili anawasha gas anaipachika pale juu ya gas hadi ikolee

Kimsingi experience yangu na hawa dada wa kazi ni kwamba hawana uchungu na vitu vya boss wake,hata akiona unajinyima namna gani yeye anatumia vibaya ikibidi kugawa kwa majirani
 
hii hali ilinipata mie kwa mke wangu mmoja,huyo beki 3 ni kugawa vitu na nguo na kula chakula kingi cha ajabu,kwa kazi ni mzuri mno na tulikuwa nae kwa miaka 15,kila njia tulifanya hola,tulimsema kwa wazazi wake hola,ikatokea bahati ya ajabu rafiki yangu mmoja akamchumbia,ikabidi nimwite mama yake,taratibu zote zikafuatwa akaolewa,huyo mdada alikuwa ni form 4,hiyo ndio ikawa salama yetu
 
Mpimie, Anza kufungia vitu, mpimie mchele, Unga, sukari, mafuta na unavyoweza kufungia. Atakosa vya kuwapa. Wasichana ni wapumbavu sana, wanatoka Familia duni wanakuja kujishaua mjini, Anza kununua kidogokidogo akili imkae Sawa, nyama nunua nusu ila maharage nunua mengi tu, mayai mengine fungia ndani for the time being
 
Mtihani .yaani budget zero
Tufanyeje mkuu
 
Daah mkuu kuishi na vyakula mvunguni kazi jamani daah.si kama kujifunza uchawi. Sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…