Safari hii papo kwa hapo hahahaMbona leo Mrema kapanda Jukwaa moja na MAGUFULI huko kilimanjaro? kama ana ubavu amwandikie na Magufuli sasa....hivyo visheria vyao vya kipumbavu walivyowatungia wapinzani mwisho ni tarehe 28 by any means
Kiongozi wangu kwa sheria zilizopo ZEC au NEC zikikuondoa katika orodha ya wanaogombea Urais hasa katika kipindi hiki cha lala salama ujue rufaa yako itatolewa maamuzi baada ya Rais mteule kuapishwa na majibu ya rufaa husika unaweza kutabiri mwenyewe yatakuaje. Kitakacho bakia ni kelele za kuonewa kwa muda wote wa miaka mitano ijayo.Hakuna mtego wowote. Ni uonevu tu. Tunatakiwa tusimame na wanaonyimwa haki. Tusimame na waonevu na wadhalimu.
Kwani Mrema kasimamisha mgombea yeyote mbona hata hizo kanuni hamzisomi mnaamka na mihemuko tu.We msajili kama jasiri mwite na mrema aliyepanda jukwaa moja na wa ccm!
Mnafanya mambo ya ajabu kweli kwa mihemko ya vyeo mlivyopewa!
Sheria gani imekiukwa na Maalim?Kusema kuwa na Mrema naye aandikiwe barua kwa kuwa naye amefanya hivyo ni utetezi wa kitoto sana.
Nilidhani kabla ya kufanya jambo linaloweza kuwatia kwenye mgogoro basi walau Mtu uwe na hoja zinazokuacha salama badala ya kusema tu "mbona na yeye ameiba".
Katika mazingira kama haya ya tume iliyopo nilidhani Wapinzani wangekuwa makini zaidi badala ya kukiuka sheria makusudi na kusubiri uadhibiwe ili utafute huruma ya Wananchi.
Na tunavyoijua tume mnaweza mkaadhibiwa na Mgombea wa ccm akaachwa na ikabaki hivyo...sasa sijui itakuwa mmepata au mmepunguza.
Kiongozi wangu kwa sheria zilizopo ZEC au NEC zikikuondoa katika orodha ya wanaogombea Urais hasa katika kipindi hiki cha lala salama ujue rufaa yako itatolewa maamuzi baada ya Rais mteule kuapishwa na majibu ya rufaa husika unaweza kutabiri mwenyewe yatakuaje. Kitakacho bakia ni kelele za kuonewa kwa muda wote wa miaka mitano ijayo.
Maalim anakubalika kama ambavyo Lissu anakubalika tena siku zenyewe zimebaki chache sana. Kwa maoni yangu hapakua na sababu yoyote ya kufanya wanavyofanya(hasa Maalim Seif) kwani hali hiyo inahatarisha wanaomuwinda wapate uhalali wa kumhujumu kwa kumuondoa kwenye kinyang'anyiro cha Urais
Hata kutoka tu nyumbani kwake hadi panapofanyika mikutano ni kusafiri piaMrema amesafiri kwenda wapi?
uongo mtupu Arusha mjini hakuwezi kuwa na vituo vya kupiga kura 1000!!! KUNA PESA inataka kuibiwa kwa kutumia mawakala .amsterdam jiandae kuibiwaMawakala 1000 wa Chadema Arusha mjini waapishwa Mawakala 1000 wa Chadema Arusha mjini waapishwa
Msajili wa vyama vya siasa amemtaka mwenyekiti wa ACT wazalendo maalim Seif ajieleze kwanini alisafiri hadi Kilimanjaro na kupanda jukwaa moja na Tundu Lisu wa Chadema kumpigia kampeni.
Kiongozi wa chama Zitto Kabwe amesema wanatarajia na mwenyekiti wa TLP mzee Mrema atajieleza pia.
Maendeleo hayana vyama!
Unataka kusema kosa la Maalim ni kusafiri toka alikokuwa hadi Kilimanjaro?Mrema amesafiri kwenda wapi?
Sheria gani imekiukwa na Maalim?
Video : Mrema na wafuasi wake wakiwa Himo wakimsubiri Mgombea wao MagufuliMsajili wa vyama vya siasa amemtaka mwenyekiti wa ACT wazalendo maalim Seif ajieleze kwanini alisafiri hadi Kilimanjaro na kupanda jukwaa moja na Tundu Lisu wa Chadema kumpigia kampeni.
Kiongozi wa chama Zitto Kabwe amesema wanatarajia na mwenyekiti wa TLP mzee Mrema atajieleza pia.
Maendeleo hayana vyama!