Uchaguzi 2020 Msajili amwandikia barua Maalim Seif akimtaka ajieleze kwanini kapanda jukwaa moja na Tundu Lissu kule Kilimanjaro!

Tatizo tumeshindwa kusimamia sheria kanuni na taratibu tulizojiwekea na wanapenda kuzivunja ni wale tuliowapa dhamana ya kuzisimamia
 
Kwani ni marufuku kwa Mtanzania yeyote kupanda jukwaani na Tundu Lissu?

What kinda fuckery is that?!!

Hao jamaa wa NEC hawana hata busara tu hizi za kawaida?
Hao siyo NEC bali ni msajili wa vyama vya siasa. Hivyo wapinzani wanabanwa kote kote.
 
umeandika kirefuuuuu umeacha kusoma katiba ya ACT WAZALENDO
 
Huyu msajili ana matatizo sana. Ile barua waliomjibu kina Ado Shaibu haikumwingia akilini?
 
Kuna mambo hua yanasikitisha sana...

Kunya anye kuku, akinya bata kaharisha...



Cc: mahondaw
 
Leo Mrema alikuwa Moshi na alivalia Kofia ya CCM. Tanzania yangu Ehhhh
 
Na walikuwa wapi kuwaambia CCM wasiingize nchi za nje kwenye siasa za ndani kwenye majukwaa?



 
Mrema amempa na beberu...lakini yy ataachwa
 
Halafu utaambiwa hiyo msajili eti ni JAJI..! Too pathetic
 
Jemadari Nasoro Mazrui awaapisha Wazanzibari amfurushe Mtalii njaa arudi kwao Kisarawe
 
Mavi kabisa
 
Himo na kiraracha ni jimbo moja

Haya ni matumizi mabaya ya bongo zenu!Hivi mnajitambua mnavyotetea ujinga?Hoja hapa ni kusafiri au kupanda jukwaani?Acheni kujifanya mazwazwa,period!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…