Stan Mashamba
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 3,183
- 2,479
Hawa jamaa wanajifedhehesha sana. Utafikiri hawajaenda skuli.Mbona leo Mrema kapanda Jukwaa moja na MAGUFULI huko kilimanjaro? kama ana ubavu amwandikie na Magufuli sasa....hivyo visheria vyao vya kipumbavu walivyowatungia wapinzani mwisho ni tarehe 28 by any means
Maalim Seif kama mtanzania mwingune ana uamuzi wake wa kwenda kuhudhuria kampeni popote za mtu anaona anafaa kuwa Raisi, je angeenda kwa JPM angeandikiwa barua?Mrema amesafiri kwenda wapi?
Kule wamemwandikia barua MAALIM kwa nafasi ya uwenyekiti wa ACT, Mrema ni mwenyekiti wa TLP.Mrema hana mgombea urais
Winning a war is to know it. The opposition and its allies are aware of the NECccm mischief.Hii ni vita. Upinzani wanatakiwa wawe makini na mitego ya aina hii kwani wanaelewa fika jinsi wanavyowindwa
Hahahaha! Ukweli mchungi lakin ! Ngumu kumezaMsajili wa vyama vya siasa amemtaka mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Maalim Seif ajieleze kwanini alisafiri hadi Kilimanjaro na kupanda jukwaa moja na Tundu Lissu wa CHADEMA kumpigia kampeni.
Kiongozi wa chama Zitto Kabwe amesema wanatarajia na mwenyekiti wa TLP mzee Mrema atajieleza pia.
Maendeleo hayana vyama!
Msajili wa vyama vya siasa amemtaka mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Maalim Seif ajieleze kwanini alisafiri hadi Kilimanjaro na kupanda jukwaa moja na Tundu Lissu wa CHADEMA kumpigia kampeni.
Ndio ujinga wa awamu hii.
Kiongozi wa chama Zitto Kabwe amesema wanatarajia na mwenyekiti wa TLP mzee Mrema atajieleza pia.
Maendeleo hayana vyama!
Kwani mtanzania haruhusiwi kusafiriMrema amesafiri kwenda wapi?
Huwezi toa hoja mpaka ujitukane..Ukisikia watu weusi tunaitwa manyani unaweza kuchukia lakini ndio ukweli wenyewe. Msajiili anamuandikia mtanzania ajieleze kwanini mtanzania apande jukwaa moja na mtanzania mwenzake, kisha yuko kimya huku watu wa nje wakiwa wamepanda kwenye jukwaa na rais kumuombea kura ndani ya nchi hii. Mfano Museveni, Ndayishimie na Chikwera
Kumbe mmepiga marufuku kusafiri?Mrema amesafiri kwenda wapi?
Kimeunga juhudiKwani chama chake kimesimamisha mgombea?
Nadhani hakuna 'Connection' nzuri ya 'Kimawasiliano' iliyo na 'Ukatili' kati ya NEC na CCM ndiyo maana wanafikia 'Kujiaibisha' na 'Kukengeuka' hivi.Msajili wa vyama vya siasa amemtaka mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Maalim Seif ajieleze kwanini alisafiri hadi Kilimanjaro na kupanda jukwaa moja na Tundu Lissu wa CHADEMA kumpigia kampeni.
Kiongozi wa chama Zitto Kabwe amesema wanatarajia na mwenyekiti wa TLP mzee Mrema atajieleza pia.
Maendeleo hayana vyama!
Nani?Kumbe mmepiga marufuku kusafiri?
ISHU NI KUSAFIRI, AU ISHU NI KUIPANDA JUKWAA MOJA NA MWINGINE? AU KUSAFIRI NAKO KUMEKATAZWA?Mrema amesafiri kwenda wapi?
Mrema yuko nyumbani kwake bwashee!Mrema naye ajieleze kwa aalivalishwa kofia na Magufuli
Yupi?Nani?
Ya Mrema aachiwe yeyeMsajili wa vyama vya siasa amemtaka mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Maalim Seif ajieleze kwanini alisafiri hadi Kilimanjaro na kupanda jukwaa moja na Tundu Lissu wa CHADEMA kumpigia kampeni.
Kiongozi wa chama Zitto Kabwe amesema wanatarajia na mwenyekiti wa TLP mzee Mrema atajieleza pia.
Maendeleo hayana vyama!