Uchaguzi 2020 Msajili amwandikia barua Maalim Seif akimtaka ajieleze kwanini kapanda jukwaa moja na Tundu Lissu kule Kilimanjaro!

Mbona leo Mrema kapanda Jukwaa moja na MAGUFULI huko kilimanjaro? kama ana ubavu amwandikie na Magufuli sasa....hivyo visheria vyao vya kipumbavu walivyowatungia wapinzani mwisho ni tarehe 28 by any means
Hawa jamaa wanajifedhehesha sana. Utafikiri hawajaenda skuli.
 
Mrema amesafiri kwenda wapi?
Maalim Seif kama mtanzania mwingune ana uamuzi wake wa kwenda kuhudhuria kampeni popote za mtu anaona anafaa kuwa Raisi, je angeenda kwa JPM angeandikiwa barua?
Kumbuka yeye sio mgombea wa urais Bara.
Yeye na Mrema hawana tofauti, haya tuone barua nyingine kwa Mrema.
 
Msajili wa vyama vya siasa amemtaka mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Maalim Seif ajieleze kwanini alisafiri hadi Kilimanjaro na kupanda jukwaa moja na Tundu Lissu wa CHADEMA kumpigia kampeni.

Kiongozi wa chama Zitto Kabwe amesema wanatarajia na mwenyekiti wa TLP mzee Mrema atajieleza pia.

Maendeleo hayana vyama!
Hahahaha! Ukweli mchungi lakin ! Ngumu kumeza
 
Katiba ya ACT.

Msajili wa vyama nakuomba sana izingatiwe.

Maalim Seif amepoteza uhalali wa kuwa Mgombea wa Urais.

Katiba ya ACT ipo wazi hilo lizingatiwe, tafadhali sana.
 
Msajili wa vyama vya siasa amemtaka mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Maalim Seif ajieleze kwanini alisafiri hadi Kilimanjaro na kupanda jukwaa moja na Tundu Lissu wa CHADEMA kumpigia kampeni.
Ndio ujinga wa awamu hii.
Kiongozi wa chama Zitto Kabwe amesema wanatarajia na mwenyekiti wa TLP mzee Mrema atajieleza pia.

Maendeleo hayana vyama!
 
Ukisikia watu weusi tunaitwa manyani unaweza kuchukia lakini ndio ukweli wenyewe. Msajiili anamuandikia mtanzania ajieleze kwanini mtanzania apande jukwaa moja na mtanzania mwenzake, kisha yuko kimya huku watu wa nje wakiwa wamepanda kwenye jukwaa na rais kumuombea kura ndani ya nchi hii. Mfano Museveni, Ndayishimie na Chikwera
Huwezi toa hoja mpaka ujitukane..
 
Msajili wa vyama vya siasa amemtaka mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Maalim Seif ajieleze kwanini alisafiri hadi Kilimanjaro na kupanda jukwaa moja na Tundu Lissu wa CHADEMA kumpigia kampeni.

Kiongozi wa chama Zitto Kabwe amesema wanatarajia na mwenyekiti wa TLP mzee Mrema atajieleza pia.

Maendeleo hayana vyama!
Nadhani hakuna 'Connection' nzuri ya 'Kimawasiliano' iliyo na 'Ukatili' kati ya NEC na CCM ndiyo maana wanafikia 'Kujiaibisha' na 'Kukengeuka' hivi.
 
Msajili wa vyama vya siasa amemtaka mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Maalim Seif ajieleze kwanini alisafiri hadi Kilimanjaro na kupanda jukwaa moja na Tundu Lissu wa CHADEMA kumpigia kampeni.

Kiongozi wa chama Zitto Kabwe amesema wanatarajia na mwenyekiti wa TLP mzee Mrema atajieleza pia.

Maendeleo hayana vyama!
Ya Mrema aachiwe yeye
 
Back
Top Bottom