Uchaguzi 2020 Msajili amwandikia barua Maalim Seif akimtaka ajieleze kwanini kapanda jukwaa moja na Tundu Lissu kule Kilimanjaro!

Kumbuka magufuli japo ni mgombea lakini bado ni Rais. Kwahiyo anatekeleza majukumu yake ya urais kama kawaida.Hao marais wengine walikuja kwa ziara za kikazi, siyo kupiga Kampeni. Lakini hakuna sheria iliyokataza marais wa jirani kumuombea kura Rais wa nchi nyingine aliye madarakani.
Sheriai inakataza kwa mtu asiye mtanzania kumpigia mtu kampeni ndani ya ardhi ya Tanzania!
Msijifanye vichwa maji wakati akili mnazo!
 
Kumbuka magufuli japo ni mgombea lakini bado ni Rais. Kwahiyo anatekeleza majukumu yake ya urais kama kawaida.Hao marais wengine walikuja kwa ziara za kikazi, siyo kupiga Kampeni. Lakini hakuna sheria iliyokataza marais wa jirani kumuombea kura Rais wa nchi nyingine aliye madarakani.

Huna ujualo zaidi ya kupiga siasa mfu hapa jukwaani. Ni kosa la kidiplomasia nchi moja kuingilia siasa za ndani za nchi nyingine. Hao marais walipaswa kushughulika na ziara zao za kiserekali na sio kumuombea Magufuli kura. Ni kipi kingeharibika iwapo hao marais wangesubiri kipindi cha kampeni kiishe, kisha ndio waje waendelee na hizo shughuli za kiserekali kama ndio kilichowaleta kweli?

Hivi mnatuona mazoba wa hivyo? Halafu huyo msajili wa vyama anayetumikia tumbo, anaagizwa kama zwazwa awazuie Watanzania kuombeana kura, huku wageni wanapata haki hiyo kinyume na Sheria za kimataifa.
 
Na wewe akili zako ni za hapa na pale au umejitoa ufahamu kwa makusudi!
Huo mkataba wa makubaliano kati ya CCM na TLP uko kwa msajili?Wamekubaliana kugawanaje ruzuku kwa kusimamisha mgombea mmoja?Hukuona taarifa ya naibu msajili akisema TLP wamejitoa kumuunga mkono Magufuli na TLP wakaja haraka kukanusha?
Hebu nendeni huko kadanganyeni watoto,shwain!
Sasa huo ujinga wenu mnaufananishaje na case ya Mrema ilhali hata kikao halali tu hamkuketi miezi mitatu kabla?

Hayo maswali yako ya ruzuku na mkataba kamuulize Msajili!
 
Huna ujualo zaidi ya kupiga siasa mfu hapa jukwaani. Ni kosa la kidiplomasia nchi moja kuingilia siasa za ndani za nchi nyingine. Hao marais walipaswa kushughulika na ziara zao za kiserekali na sio kumuombea Magufuli kura. Ni kipi kingeharibika iwapo hao marais wangesubiri kipindi cha kampeni kiishe, kisha ndio waje waendelee na hizo shughuli za kiserekali kama ndio kilichowaleta kweli?

Hivi mnatuona mazoba wa hivyo? Halafu huyo msajili wa vyama anayetumikia tumbo, anaagizwa kama zwazwa awazuie Watanzania kuombeana kura, huku wageni wanapata haki hiyo kinyume na Sheria za kimataifa.
Acha kujidhalilisha wewe na ujinga wako. Unaijua diplomasia wewe? Unajua maana ya kuingilia siasa za ndani za nchi nyingine? Au unaropoka tu. Kumuunga mkono Rais wa nchi nyingine kwa kile anachokifanya ni kuingilia siasa za ndani?

Matamko ya ubalozi wa marekani yale ndo yanaingilia siasa za ndani, mbona hatujawahi kusikia mkikemea. Kwasababu huwezi kutoa maelekezo juu ya namna nchi nyingine inatakiwa kufanya uchaguzi na kusema utachukua hatua as if hiyo nchi ni koloni lako.
 
Msajili wa vyama vya siasa amemtaka mwenyekiti wa ACT wazalendo maalim Seif ajieleze kwanini alisafiri hadi Kilimanjaro na kupanda jukwaa moja na Tundu Lisu wa Chadema kumpigia kampeni.

Kiongozi wa chama Zitto Kabwe amesema wanatarajia na mwenyekiti wa TLP mzee Mrema atajieleza pia.

Maendeleo hayana vyama!
Mwambie msajili leo mrema alikuwa na Magufuli vunjo. Amwandikie nae barua
 
Sasa huo ujinga wenu mnaufananishaje na case ya Mrema ilhali hata kikao halali tu hamkuketi miezi mitatu kabla?

Hayo maswali yako ya ruzuku na mkataba kamuulize Msajili!
Ujinga tu,kwa taarifa yako vyama havijaungana na hakuna mkataba wa muungano!
 
Acha kujidhalilisha wewe na ujinga wako. Unaijua diplomasia wewe? Unajua maana ya kuingilia siasa za ndani za nchi nyingine? Au unaropoka tu. Kumuunga mkono Rais wa nchi nyingine kwa kile anachokifanya ni kuingilia siasa za ndani?

Matamko ya ubalozi wa marekani yale ndo yanaingilia siasa za ndani, mbona hatujawahi kusikia mkikemea. Kwasababu huwezi kutoa maelekezo juu ya namna nchi nyingine inatakiwa kufanya uchaguzi na kusema utachukua hatua as if hiyo nchi ni koloni lako.
Tulieni dawa ziwaingie. Marekani lazima awanyoshe na China wenu mwaka huu
 
Acha kujidhalilisha wewe na ujinga wako. Unaijua diplomasia wewe? Unajua maana ya kuingilia siasa za ndani za nchi nyingine? Au unaropoka tu. Kumuunga mkono Rais wa nchi nyingine kwa kile anachokifanya ni kuingilia siasa za ndani?

Matamko ya ubalozi wa marekani yale ndo yanaingilia siasa za ndani, mbona hatujawahi kusikia mkikemea. Kwasababu huwezi kutoa maelekezo juu ya namna nchi nyingine inatakiwa kufanya uchaguzi na kusema utachukua hatua as if hiyo nchi ni koloni lako.

Kuna balozi umemuona akimpigia debe mgombea au chama chochote zaidi ya kuhakikisha haki itendeke? Kumuunga mkono rais kwa alichokifanya ni tofauti na kumuombea kura jukwaani. Unakwama wapi dogo? Tutawaunga mkono hao wazungu kwa hatua Kali watakazochukua dhidi ya wahuni wa ccm watakaonajisi uchaguzi, kwa kutumia vibaraka wao tume isiyo huru ya uchaguzi na vyombo vya dola fullstop.
 
Mbona leo Mrema kapanda Jukwaa moja na MAGUFULI huko kilimanjaro? kama ana ubavu amwandikie na Magufuli sasa....hivyo visheria vyao vya kipumbavu walivyowatungia wapinzani mwisho ni tarehe 28 by any means
Kumbuka Maalim Selfu anatumikia adhabu ya wiki moja ya kutofanya kampeni hivyo amekaidi sasa asubiri adhabu nyingine. Wakati Mrema hama adhabu yoyote!
 
Kwanini asimwandikie aliyetesa watumishi wa umma
 
Kuna balozi umemuona akimpigia debe mgombea au chama chochote zaidi ya kuhakikisha haki itendeke? Kumuunga mkono rais kwa alichokifanya ni tofauti na kumuombea kura jukwaani. Unakwama wapi dogo? Tutawaunga mkono hao wazungu kwa hatua Kali watakazochukua dhidi ya wahuni wa ccm watakaonajisi uchaguzi, kwa kutumia vibaraka wao tume isiyo huru ya uchaguzi na vyombo vya dola fullstop.
Hao mabeberu hawatafanya kitu chochote muulize Maalim aliwafuata 2015 wakamwahidi atapewa urais wa Zanzibar kabla ya mwezi kupita lakini hakupata huo urais mpaka imepita miaka mitano. Wanasaccos vichwa vyenu havifanyi kazi sawasawa.
 
Msajili wa vyama vya siasa amemtaka mwenyekiti wa ACT wazalendo maalim Seif ajieleze kwanini alisafiri hadi Kilimanjaro na kupanda jukwaa moja na Tundu Lisu wa Chadema kumpigia kampeni.

Kiongozi wa chama Zitto Kabwe amesema wanatarajia na mwenyekiti wa TLP mzee Mrema atajieleza pia.

Maendeleo hayana vyama!
Amuandikie na Jiwe kwanini Kapanda Jukwaa Moja na Mrema Himo
 
Hao mabeberu hawatafanya kitu chochote muulize Maalim aliwafuata 2015 wakamwahidi atapewa urais wa Zanzibar kabla ya mwezi kupita lakini hakupata huo urais mpaka imepita miaka mitano. Wanasaccos vichwa vyenu havifanyi kazi sawasawa.

Ni sawa kabisa, labda wasichukue hatua yoyote hao wazungu, lakini iwapo watachukulia hatua hilo genge haramu liitwalo ccm, tutawaunga mkono kama Walibya walivyowaunga mkono wazungu dhidi ya yule ibilisi Gadddaf. Hatuko tayari kutawaliwa kwa kuburuzwa kwa chaguzi zinazonajisiwa. Imeisha hiyo.
 
Back
Top Bottom