Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
Sheriai inakataza kwa mtu asiye mtanzania kumpigia mtu kampeni ndani ya ardhi ya Tanzania!Kumbuka magufuli japo ni mgombea lakini bado ni Rais. Kwahiyo anatekeleza majukumu yake ya urais kama kawaida.Hao marais wengine walikuja kwa ziara za kikazi, siyo kupiga Kampeni. Lakini hakuna sheria iliyokataza marais wa jirani kumuombea kura Rais wa nchi nyingine aliye madarakani.
Msijifanye vichwa maji wakati akili mnazo!