Unasajili on what grounds, whatsapp groups ni feature iliyopo kwa whatsapp app, wamiliki ni meta, meta wanafahamu hili?
 
Nyoo wanachowaza ni kuvuna pesa tu
 
Nimejilinda sana nisifungue kinywa changu.
Mungu tutetee
 
Kuna hasara au madhara gani serikali inapata kwa hayo makundi kutokusajiliwa?

Na kama yakisajiliwa kuna faida gani serikali na wasajiliwa watapata?
Fisiemu wanafahamu fika kwamba watakuja kutolewa madarakani kupitia mitandao ya kijamii. Ndio maana wanafanya bidii kudhibiti. Lkn hawataweza wakati ni ukuta.
 
Ingekuwa vizuri kama angesema na vifurushi tutakuwa tunawapa Bure,
 
Muanzilishi wa WhatsApp mwenyewe hajawaza kuchangisha watu, Serikali ndio mnajidai mnafahamu namna ya kukusanya pesa. Sh*thole country
 
Waletw hadi kodi ya wanotumia smartphones ifike mahali wananchi tuchoshwe zaidi ili akili ikae sawa kataa Ccm
 
Najua kinachowasumbua!!

Kigogomedia tu,wanadhani watapata chochote Ili wawahughulikie watu wanaolikisha taarifa za kimfumo!!

Ku leak kwa taarifa ni matokeo ya mfumo kutokua na imani na viongozi waliopo madarakani!mi nadhani wajikite zaidi.kwenye kutatua changamoto za watu kuliko kuhangaika na watoa taarifa!!!

Wanahangaika tu hakuna jipya!!
 
Wanatuona wajinga, wanachotaka ni kukusanya pesa za kuhonga kwenye Uchaguzi Tu hakuna jipya
 
Serikali imetangaza kusajili vikundi vya kijamii ikiwemo vya WHATSAP hii sheria haifai haifai haifai! Imelenga kuwaumiza Watanzania Wanyonge!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…