Sijui ni mshauri wa serikali sijui ni nani anayehusika na haya ni kama anafikiria tu positive effects kwa upande wa serikali hafikirii negative effects

Mfano: swala la tozo za miamala badala ya kuweka kiwango stahimilivu yeye anaweka kiwango kinaendana na cha mtoa huduma yaani mfano tuseme Vodacom kutoa 300k makato ni 6000 na serikali NAE inaweka 6000(kabla ya kupunguza hivi sasa) ,Mtoa huduma (Vodacom) anaweka hivi sababu ya risk kutransfer hela za watu ikitokea tatizo anailipa, sasa serikali wewe risk yako iko wapi hapo

Na hapa wanataka watu wasajili vikundi , hakuna bure hapo maana yake kuna muda kutakuwa na registration fee/tozo/ ada ya kumiliki kikundi
 
Utasikia mtu anajiita profesa kumbe profesa wa kukariri,mtu mwenye akili timamu hawezi kutengeneza sheria ya kipuuzi kama hiyo.
 
Kwa tuliosoma Cuba Hili Ni Tatizo wametengeneza, alaf baada ya muda watalitatua na kumpongeza mama
 
Reactions: K11
Mbona sijaona neno Whatsapp au mtandaoni.
 
Ni swala la muda tu CCM watataka mpaka Kodi ya mbupu
 
.
 

Attachments

  • IMG-20240403-WA0020.jpg
    84.2 KB · Views: 3
Kwan whatsapp ni Serikal ya CCM ??mwenye nayo hawashwi jamani CCM wanachekesha kwa hiyo watafanyaje ili kuyajua hayo magroup?
 
Sasa hivi kila mtu anaongea anavyojiskia tu. Mwendokasi tu wameshindwa kuendesha wanashinda na vitu ambavyo havina tija
 
Yaani kuna watu hawapendi kufikiri, wanataka kuteleza tu..
Unalazimisha mapato
 
Hapa ina maana WALOKOLE WOTE, MAPADRI, MAKUNDI YA KWAYA ZA KANISA, MA SISTER, MA KATIKISTA, MAASKOFU, mpk wale wafyagia makanisa LZM WALIPE LAKI 2 LILA KUNDI.

Wengine wamo kwenye makundi 15.

Yaani mmiliki wa WhatsApp afanye kazi zoote za kuandaa mtandao na kuuendesha na kulipa wafanyakazi halafu serikali ya ulimwengu wa Tatu ya Tanzania ukusanye MAPATO .
🤣🤣

Kweli Hatuna viongozi nchini.

Kwahio wataingia kwenye Instagram, Telegram, Wechat na kila aina ya social media.

Yaani wakifanikiwa kumfungulia mashtaka hata Raia mmoja kwenye suala hilo Nchi hii ni ya kuhama jumla.
Nahamia Rwanda au hata Uganda.
Wacha nikale ndizi mpk akili iruke
potelea mbali
 


a Ofisi ya Mkuu w
Njaa ikizidi inchi hutawaliwa na hofu ya machafuko/uasi

Cha kufanya badara ya inchi kuwa nahofu ya machafuko kutokea inchi inapaswa kufikiria ni namna gani itatue chanzo kinacho pelekea I chi kuwa na hofu ya machafuko
Ambacho chanzo hicho ni njaa

sasa basi serikari yetu inapaswa kuto kuwa na hofu na mazungumzo ya watu au vikundi vya watu huko Watts up badara yake itatue kero za wanainchi

na miongoni mwa kero hizo nikupunguza mlundikano wa kodi za kipuuzi kwa wanainchi
 
Ngoja niwajulishe wenzangu tukasajili kundi letu la what's up kazini,wanaume kazini, graduates wenzangu,wauza mchele chanika, jogging club,subject teacher n.k
Kwa ambao tuna makundi 100 ya Whatsapp tutaenda wilayani karibia mwaka mzima. Lakini kwa nini uende huko wilayani physically? Si watoe form on-line?
 
Kwa ambao tuna makundi 100 ya Whatsapp tutaenda wilayani karibia mwaka mzima. Lakini kwa nini uende huko wilayani physically? Si watoe form on-line?
Ni ubunifu mpya wa serikali yetu nadhani watafika huko kwa Sasa twende TU wilayani
 
Kama hivi ndiyo vyanzo vipya vya mapato, basi hii serikali inahitaji msaada wa haraka wa wataalamu wa uchumi kutoka nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…