Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Kuna yake magroup ya umalayaNao wakasajili tuu
Wanataka helaKuna hasara au madhara gani serikali inapata kwa hayo makundi kutokusajiliwa?
Na kama yakisajiliwa kuna faida gani serikali na wasajiliwa watapata?
ni mashetani kabisa. cha kushangaza machawa watakuja kuunga mkono mpaka kutoa povu la mdomoUle mtandao wa kusambaza Internet kupitia satellite wa Elon Musk ulipigwa zengwe la kisiasa ili wawe na maamuzi ya kuzima data kipindi cha uchaguzi.
Ukiona serikali inakuja na mambo yasiyo na tija ujue imechokwa na inalazimisha kukaa madarakani.
tutulie tyu dawa iiingieKataa CCM kataa umasikini ccm na umasikini ni kyupi na trako