Msajili wa vyama vya siasa hatuoni akichukua hatua zozote kwa mgombea batili wa CCM anakomaa tu na CHADEMA

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
Msajili wa vyama vya siasa hatuoni akichukua hatua zozote kwa mgombea batili wa CCM anakomaa tu na CHADEMA.

Mgombea wa CCM ni batili hakuna mtu aliye simama akapinga hilo na wanaCCM wenyewe wanasema hakufuata katiba ya chama nashangaa msajiri wa vyama vya siasa kaingia mitini anajifanya haoni hakuna uwajibikaji.
 
Msajiri wa vyama vya siasa hatuoni akichukua hatua zozote kwa mgombea batili wa CCM anakomaa tu na CHADEMA.

Si wa kumtegemea saana maana ana double standards
 
Msajiri wa vyama vya siasa hatuoni akichukua hatua zozote kwa mgombea batili wa CCM anakomaa tu na CHADEMA.

Mgombea wa CCM ni batili hakuna mtu aliye simama akapinga hilo na wanaCCM wenyewe wanasema hakufuata katiba ya chama nashangaa msajiri wa vyama vya siasa kaingia mitini anajifanya haoni hakuna uwajibikaji.
NRNE, inabeba yote hayo mkuu
 
Msajiri Ni Picture Tu Hakuna Mtu Pale
Anatetea Kiporo Chake Mambo Yakienda Mrama Machoni Pale
 
Msajiri wa vyama vya siasa hatuoni akichukua hatua zozote kwa mgombea batili wa CCM anakomaa tu na CHADEMA.

Mgombea wa CCM ni batili hakuna mtu aliye simama akapinga hilo na wanaCCM wenyewe wanasema hakufuata katiba ya chama nashangaa msajiri wa vyama vya siasa kaingia mitini anajifanya haoni hakuna uwajibikaji.
Amuwajibishe bosi wake na chama cha bosi wake mkuu.

Katiba mpya ni sasa
 
Msajiri wa vyama vya siasa hatuoni akichukua hatua zozote kwa mgombea batili wa CCM anakomaa tu na CHADEMA.

Mgombea wa CCM ni batili hakuna mtu aliye simama akapinga hilo na wanaCCM wenyewe wanasema hakufuata katiba ya chama nashangaa msajiri wa vyama vya siasa kaingia mitini anajifanya haoni hakuna uwajibikaji.
Unachangaanya masomo

Msajili hushughulika na chaguzi za viongozi wa ndani ya chama wenye vyeo vya kichama

Wagombea uraisi mhusika ni Tume ya Uchaguzi sio msajili wa vyama vya siasa
 
IMG-20250719-WA0016.jpg
 
Unachangaanya masomo

Msajili hushughulika na chaguzi za viongozi wa ndani ya chama wenye vyeo vya kichama

Wagombea uraisi mhusika ni Tume ya Uchaguzi sio msajili wa vyama vya siasa
Tuongezee na sio wa CCM lakini chadema amewavaa viongozi wake
 
Msajiri wa vyama vya siasa hatuoni akichukua hatua zozote kwa mgombea batili wa CCM anakomaa tu na CHADEMA.

Mgombea wa CCM ni batili hakuna mtu aliye simama akapinga hilo na wanaCCM wenyewe wanasema hakufuata katiba ya chama nashangaa msajiri wa vyama vya siasa kaingia mitini anajifanya haoni hakuna uwajibikaji.
Tuko wengi sana tunaojiuliza jambo hilo.. CCM kwa wazi kabisa wamepindisha na kuisigina katiba ya chama chao kwa kuwapitisha wagombea wa chama chao kwa nafasi za urais wa Tanzania na visiwani kinyume kabisa na matakwa ya katiba yao.
Jambo baya zaidi, wanachama wa ccm waliojaribu kupinga na na kuhoji kuhusu hilo,wamefukuzwa uanachama.
Msajili ambaye ndiye mlezi na msimamizi wa vyama mwenye jukumu la kuhakikisha ukiukwaji wa namna hiyo hautokei, katulia kimya....lakini amechukua hatua ya kuifungia Chdema kufanya siasa kwa kosa ambalo halina kichwa wala miguu.

..
 
Tuko wengi sana tunaojiuliza jambo hilo.. CCM kwa wazi kabisa wamepindisha na kuisigina katiba ya chama chao kwa kuwapitisha wagombea wa chama chao kwa nafasi za urais wa Tanzania na visiwani kinyume kabisa na matakwa ya katiba yao.
Uongo wewe.Hakuna katiba ilivyunjwa ya CCM

Mkutano mkuu una mamlaka kuliko kikao chochote cha CCM

Waweza amua wao kama mkutano mkuu chochote bila kujali kimeletwa na vikao.vya chini au la .
Waweza amua.lolote wao kama wao

Waliamua kuamua nani awe mgombea uraisi na Mwenza.Mkutano mkuu ukaridhia biashara imeishia hapo.Samia na Nchimbi ni wagombea halali sababu walipitishwa na mkutano tena bila hata kujaza fomu yoyote na hawakuhitaji kujaza sababu mkutano mkuu ndio ukiwataka wagombee na huo mkutano mkuu ndio mfanya maamuzi
 
Back
Top Bottom