Msajili wa vyama vya siasa hatuoni akichukua hatua zozote kwa mgombea batili wa CCM anakomaa tu na CHADEMA

Msajili wa vyama vya siasa hatuoni akichukua hatua zozote kwa mgombea batili wa CCM anakomaa tu na CHADEMA

Msajili kwa Chadema yuko sawa viongozi wa vyama husajiliwa kwa msajili wa vyama vya siasa.Wagombea Uraisi hawako chini yake ni chini ya tume ya uchaguzi

Chadema kuna mapunguani wa akili
Kuwa na akili basi, ni kweli kabisa wewe hujui anayesimamia katiba za vyama kiserikali ni nani?.
 
Umeandika kwa kirefu na ukiwa umejawa na hasira.....,uninipa picha ni kama vile wewe una maslahi na huo mkutano .
umeniuliza kama naelewa kuhusu agenda....
Lakini ilikuwa ni mimi niliyenza kukuuliza huo mkutano uliitishwa huku agemda zake zikiwa ni zipi?
Hjajibu hilo....ukshambulia na kuhoji kama nina darasa la kutosha..
Nakuuliza tena, nyie wajumbe mlivyoitwa katika huo mkutano mkuu miliambiwa agenda ni nini?
Sasa hata kama kuna mengineyo ya ziada ukiacha agenda kuu za kujadiliwa mkutanoni......lazima hayo ya nyongeza lazima yafuate kanuni na taratibu zilizowekwa...
Sasa hayo yangeza yaliyoibuka na luwafanya wajumbe wagombea urais bara na visiwani bara na visiwani kinyime na taratibu na katiba ya ccm unaona ni sahihi?
Swali ambalo hujajibu pia ni hili... Samia na Hussiem Mwinyi ni lini walichukua fomu,lini walijadiliwa na na kamati zinzofuata za chq chao kabla ya kufikia kuchaguliwa na mkutano mkuu kama ilivyo kikatiba ya chama chao?
Huchelewi kuniuliza tena kama nimeenda shule.
Ulitaka kufata taratibu zipi unataka CCM kwenye Mkutano mkuu wajadiliwe na ni Marais tayari ¿¿¿

Waliidhinishwaje uko nyuma kiasi kuwa MARAIS!!!!!!

Manake izo process kufikia wao ni MARAIS kweli uko nyuma awakupitia mwanzo wao,,

ndiomana ikawa Mkutano mkuu wa Chama ni kama MOYO wachama.

SABABU ni wengi na ndio wao wanaweza fanya Chochote kubadilisha Chochote ndani chama chao.
 
Walikuwa sawa wagombea wapo palepale mkutano mkuu ndio MOYO wa chama chochote kuamua chochote na wakupinga awezi kutokea.!!!

Sio Msajili sio mwanachama mmoja mmoja Sababu waliotaka jambo lao wao ndio wengi !!!

Chadema wanagombana na Msajili tatizo lao lipo wazi !!

Chadema wamefanya maamuzi makubwa yanayoitaji mkutano mkuu

Chadema wamekwama hapo !!!!

nisawa wamekutana wajumbe wa mkutano mkuu lkn ni wachache Akidi inayoitajika aijatimia ili ule Mkutano uwe MOYO wakuamua chochote ndani ya Chadema !!!

wkt CCM Akid imetumia wagombea wapo palepale kama kukataa wanaweza !!

lkn pia Wajumbe wapo pia wanaweza kugomea kuwapitisha lkn wao wamewapitisha so imekwisha iyoo.
Kwani akidi ya CDM iliyotimia ilihitajika wajumbe wangapi na CCM ilikuwa na wajumbe wangapi?.
 
Msajili wa vyama vya siasa hatuoni akichukua hatua zozote kwa mgombea batili wa CCM anakomaa tu na CHADEMA.

Mgombea wa CCM ni batili hakuna mtu aliye simama akapinga hilo na wanaCCM wenyewe wanasema hakufuata katiba ya chama nashangaa msajiri wa vyama vya siasa kaingia mitini anajifanya haoni hakuna uwajibikaji.
Yeye mwenyewe ana kadi ya chama, pia post yake ni ya kichama unategemea nn?
 
Msajili wa vyama vya siasa hatuoni akichukua hatua zozote kwa mgombea batili wa CCM anakomaa tu na CHADEMA.

Mgombea wa CCM ni batili hakuna mtu aliye simama akapinga hilo na wanaCCM wenyewe wanasema hakufuata katiba ya chama nashangaa msajiri wa vyama vya siasa kaingia mitini anajifanya haoni hakuna uwajibikaji.
Double standard hiyo. Huyo Samia anavunja taratibu lakini huyo Mutungi na Nyahoza wanashindwa kufungua domo lao na wanajua ni kosa kubwa. Hao wapo kwa ajili ya kuiua CHADEMA ila hawataweza. Haki ni haki si mliona Tendwa kabla ya kufa alisema CCM ni wazuri wa kuvunja sheria. Hatuna bunge nchi hii au Mahakama, hatuna police na tuna serikali ya ovyo yenye kulinda maslahi ya waliopo madarakani.
 
Wapinzani nikama wanamuogopa mgombea wa CCM njoooni uwanjani nyoteeee lkn mwakauuu ndio CCM inaenda vunja record zake kiongozi wake anapendwa Vibaya sana !!!

mana ukiwa mjinga tu ndio utadanganyika na maoni ya umu mitandaoni mtu m1 lkn anamiliki uwezo wakuchangia kwamajina tofaut tofauti adi 20+ kumbe ni uyo uyo kazi yake kubadilisha maneno tu.

Chengine niwakumbushe kitu Binafsi sio wote tunamuunga mkono Rais SAMIA SULUHU HASSAN tunamuunga mkono kwasababu eti ni Muislam !!!

Hapana lkn tunamuunga mkono kwasababu ni Mgombea wa CCM tu aya ya Dini tumewaachia wachungaji na Mashekh !!!

pia nilimuunga mkono rip JPM kuliko marais wote niliowai kuwapigania kwenye umri wangu kifo chake nimeumia sana Mungu ndio anajua !!!

Lkn sasa tupo RAIS SAMIA SULUHU HASSAN akuna kulala tutampambania kwanjia zote zinazowezekana !!!

ndivo pia tukibaki hai nitamuunga mkono kiongozi atakae kuja baada ya RAIS SAMIA SULUHU HASSAN mwaka wa 2030 !!!

CCM ndio Aman ya wenye Akili Tanzania kuunga mkono CCM ni kuunga mkono Aman yatu !!!

ukimtukana kiongozi wetu wa CCM ujue umetutukana wana CCM milion 11+ lkn wapenda Aman wengine wote sijui idadi yao MAJESH POLISI wate ujuwe umewatukana uyo ndio kiongozi wetu mkuu

sijui kijana kama umeelewa ni hatari kwako zaid!!

sisi sote umetutukana umenunua ugomvi nasisi unategemea nn apo !!

police kakushika kama mwizi anaona uyu pengine njaa mdogo wangu !!

lkn unashikwa kosa lako umemtukania kiongozi wake Mkuu wa nchi Boss wake mkuu !!!!
utachezea virungu vya Ugoko kwann usipigwe na mwenyewe ndio umetaka kupigwa !!!

Kwani Ukitukana unapata Faida gani ndugu yangu.!!!
 
Double standard hiyo. Huyo Samia anavunja taratibu lakini huyo Mutungi na Nyahoza wanashindwa kufungua domo lao na wanajua ni kosa kubwa. Hao wapo kwa ajili ya kuiua CHADEMA ila hawataweza. Haki ni haki si mliona Tendwa kabla ya kufa alisema CCM ni wazuri wa kuvunja sheria. Hatuna bunge nchi hii au Mahakama, hatuna police na tuna serikali ya ovyo yenye kulinda maslahi ya waliopo madarakani.
Sio kweli mkuu njoo kwa hoja kwa CHADEMA Msajili yupo sawa !!

na Msajili kawataka tu waitishe mkutano mkuu ndio wenye mamlaka kuwapitisha Viongozi wao Sio zaidi

jambo kama ilo ilo liliwai tokea ACT kutakiwa waitishe mkutano mkuu ndio wawapitishe Viongozi wao wapya wakaitisha yakaisha kwa ACT !!

sasa kwann CHADEMA awataki kuitisha mkutano mkuu Baada ya kubainika ule mkutano wa mwanzo Akidi ilipelea !!

CCM Akidi imetimia kuwamua chengine chochote mkutano mkuu ndio jibu..

hata uyo polepole kwenye kuongea kwake mashudu sijasikia akidai Akidi aijatosha kwenye Mkutano wa CCM !!

Polepole ni mfamaji mwacheni hatapetape kakosa pesa nyingi kama angeachwa kuendelea na Ubunge wake kama kiinua mgongo!!!

Ndio mana Polepole kutupa cheo cha Ubalozi!!!

kaona wenzie mipesa ya kiinua Mgongo wanapeta majimboni !!

rohoo ya kwann sio mm !!

ndio inamsumbua pole yake na ujinga wake tu !!!

alitakiwa kuendelea Kuvumilia na kuwa na iman na kiongozi wake mkuu!!!

angepangiwa majukum mengine pengine yakumfanya atumie upya Shangingi la Toyota V8

lkn ndio ivyo kajimaliza kabisa..
Polepole sio CCM damu damu ndiomana sio mtiifu sio mvumilivu !!

kajaa Damu yakipinzani pinzani tu !!

Ukiokota toto mtaani na kujaribu kumlea kinyumbani nyumbani ipo siku utajua kwann uyo mtoto alikuwa mtaani tu !!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom