Msajili wa vyama vya siasa hatuoni akichukua hatua zozote kwa mgombea batili wa CCM anakomaa tu na CHADEMA

Msajiri wa vyama vya siasa hatuoni akichukua hatua zozote kwa mgombea batili wa CCM anakomaa tu na CHADEMA.

Mgombea wa CCM ni batili hakuna mtu aliye simama akapinga hilo na wanaCCM wenyewe wanasema hakufuata katiba ya chama nashangaa msajiri wa vyama vya siasa kaingia mitini anajifanya haoni hakuna uwajibikaji.
We kibwengo CCM siyo km hiyo chadomo yenu. We kenge pambana na hao nyumbu wenzio.
 
Msajiri wa vyama vya siasa hatuoni akichukua hatua zozote kwa mgombea batili wa CCM anakomaa tu na CHADEMA.

Mgombea wa CCM ni batili hakuna mtu aliye simama akapinga hilo na wanaCCM wenyewe wanasema hakufuata katiba ya chama nashangaa msajiri wa vyama vya siasa kaingia mitini anajifanya haoni hakuna uwajibikaji.
 
Msajiri wa vyama vya siasa hatuoni akichukua hatua zozote kwa mgombea batili wa CCM anakomaa tu na CHADEMA.

Mgombea wa CCM ni batili hakuna mtu aliye simama akapinga hilo na wanaCCM wenyewe wanasema hakufuata katiba ya chama nashangaa msajiri wa vyama vya siasa kaingia mitini anajifanya haoni hakuna uwajibikaji.
Katiba mpya ndio jibu sahihi
 
Uongo wewe.Hakuna katiba ilivyunjwa ya CCM

Mkutano mkuu una mamlaka kuliko kikao chochote cha CCM

Waweza amua wao kama mkutano mkuu chochote bila kujali kimeletwa na vikao.vya chini au la .
Waweza amua.lolote wao kama wao

Waliamua kuamua nani awe mgombea uraisi na Mwenza.Mkutano mkuu ukaridhia biashara imeishia hapo.Samia na Nchimbi ni wagombea halali sababu walipitishwa na mkutano tena bila hata kujaza fomu yoyote na hawakuhitaji kujaza sababu mkutano mkuu ndio ukiwataka wagombee na huo mkutano mkuu ndio mfanya maamuzi
Mkutano mkuu ukiitishwa lazima agends ijulikane,...na lazima utembee kwa agenda iliyoko mezani.
Suala la kupitisha wagombea wa ccm kuwa wagombea wakati hawajaomba ridhaa wala kuchukua fomu ya kugombea, na wala mkutano mkuu haujajua nani aliyetangaza nia kugombea unaona walienda sambamba na katiba ya ccm?

Yaani mwanachama mmoja tu a mkutanao mkuu kwa mawazo yake binafsi na bila kutaka kujua kama wahusika wenyewe wanataka kugombea tena...mara ghafla anawashtukiza kwa kuwapa taarifa wao watakuwa wagombea rasmi..,unaona ilikuwa sahihi?
 
Msajiri wa vyama vya siasa hatuoni akichukua hatua zozote kwa mgombea batili wa CCM anakomaa tu na CHADEMA.

Mgombea wa CCM ni batili hakuna mtu aliye simama akapinga hilo na wanaCCM wenyewe wanasema hakufuata katiba ya chama nashangaa msajiri wa vyama vya siasa kaingia mitini anajifanya haoni hakuna uwajibikaji.
Anapitia JF huku kijasho kinamtoka
 
Hivi unajua agenda za mikutano wewe? Kuwa huwa zinakuwapo zipi? Shida yako nadhani elimu ndogo ..Una elimu ndogo na hata kama umesoma ulikariri hukuelewa ulichosoma linapokuja suala la kuandaa agenda za mkutano Uko sifuri kabisa kichwani Illa ulichonacho kikubwa ni ujasiri wa kuongea ujinga wako mbele ya hadhara

Agenda huorodheshwa zote kusha kuna agenda kipengele kingine cha Agenda kiitwacho mengineyo

Mjumbe aweza pendekeza chochote kwenye mengineyo ambayo hawajulikani lakini mkutano mkuu ukiridhia inakuwa qgendq kamili kama hizo zingine zilizojadiliwa na kupitishwa
Tatizo lenu ukiwemo wewe mkiambiwa someni na muelewe mnavyosoma mnabeza beza tu elimu kama haina maana

Ona sasa upumbavu ulioandika hapa Rudi shule na uelewe unachosoma usikariri kupata marks tu
 
Umeandika kwa kirefu na ukiwa umejawa na hasira.....,uninipa picha ni kama vile wewe una maslahi na huo mkutano .
umeniuliza kama naelewa kuhusu agenda....
Lakini ilikuwa ni mimi niliyenza kukuuliza huo mkutano uliitishwa huku agemda zake zikiwa ni zipi?
Hjajibu hilo....ukshambulia na kuhoji kama nina darasa la kutosha..
Nakuuliza tena, nyie wajumbe mlivyoitwa katika huo mkutano mkuu miliambiwa agenda ni nini?
Sasa hata kama kuna mengineyo ya ziada ukiacha agenda kuu za kujadiliwa mkutanoni......lazima hayo ya nyongeza lazima yafuate kanuni na taratibu zilizowekwa...
Sasa hayo yangeza yaliyoibuka na luwafanya wajumbe wagombea urais bara na visiwani bara na visiwani kinyime na taratibu na katiba ya ccm unaona ni sahihi?
Swali ambalo hujajibu pia ni hili... Samia na Hussiem Mwinyi ni lini walichukua fomu,lini walijadiliwa na na kamati zinzofuata za chq chao kabla ya kufikia kuchaguliwa na mkutano mkuu kama ilivyo kikatiba ya chama chao?
Huchelewi kuniuliza tena kama nimeenda shule.
 
Kaa hivyo na ujinga wako wa kuwaza fomu

Fomu unajaza kama wewe ndie unaomba uteuliwe kugombea

Samia na Nchimbi mkutano mkuu ndio uliamua wawe wagombea.sio.wao kwa hiari yao walioomba .Na ukawatisha

Fomu za nini sasa wakati sio wao walioomba kugombea wameombwa na mkutano mkuu ambaye ndie mwidhinishaji wagombea
 
yeye na wewe nani ni mbumbumbu yeye amekujibu kwa mujibu wa katiba wewe unakuja kusema sijui kamati imeamua kama katiba haija eleza hivyo ni halali jamaa kukuambia upitishaji ni batili huo

Ngoja nikufundishe maana naona huna akili, mgombea maana yake ni nini ?

Mgombea maana yake ni mtu aliye omba ridhaa ya nafasi flani kwenye chama, kwahiyo maana ya mgombea inamaanisha ni mtu aliyeomba uongozi flani sio yule anayeombwa na ndivyo katiba inatambua.

Haya unasema kamati imemuomba japo mimi sijasikia wala kuona kamati ikimuomba samia kugombea uraisi kama unavyo sema, na kama kamati imemuomba inakuwa kinyume cha katiba bado na huyo mtu sio mgombea bali mwombwaji.

Elewa neno mwombwaji ni aliye ombwa

Elewa neno mgombe ni aliye tia nia kugombea

sasa bwana huyo mwombwaji sio mgombea ni batili hatambuliki na katiba.

alafu huyu mgombea ndio anaitwa mtia nia huyu ndio halali katiba inamatambua.

Nasahangaa unaongelea mwombwaji alafu hapo hapo unachanganya kwamba samia ni mgombea wa CCM how ? ni mgombea wa CCM kwani ametia nia ? siunasema ameombwa kwahiyo tukimuita batili na amevunja katiba tutakosea wapi ? au hujui unapotamka mgombea unakuwa unamaanisha nini ?

CCM ni chama cha kidemokrasia ni chama kilicho chini ya katiba wajumbe wa kamati kuu wapo chini ya katiba, mwenyekiti yupo chini ya katiba kile ni chama cha misingi ya kidemokrasia mgombea lazima awe chini ya utaratibu wa katiba ya chama.

Sasa wewe na huyo jamaa mpaka hapo nani ni darasa la nne mbumbumbu ?
 
Msajiri wa vyama vya siasa hatuoni akichukua hatua zozote kwa mgombea batili wa CCM anakomaa tu na CHADEMA.

Mgombea wa CCM ni batili hakuna mtu aliye simama akapinga hilo na wanaCCM wenyewe wanasema hakufuata katiba ya chama nashangaa msajiri wa vyama vya siasa kaingia mitini anajifanya haoni hakuna uwajibikaji.
Kwanini wajuzi wa sheria wasipeleke vyesi mahakamani??
Huoni CDM vurugu yote ipo mahakamani?
 
Mkutano mkuu ukiitishwa lazima agends ijulikane,...na lazima utembee kwa agenda iliyoko mezani.
Suala la kupitisha wagombea wa ccm kuwa wagombea wakati hawajaomba ridhaa wala kuchukua fomu ya kugombea, na wala mkutano mkuu haujajua nani aliyetangaza nia kugombea unaona walienda sambamba na katiba ya ccm?

Yaani mwanachama mmoja tu a mkutanao mkuu kwa mawazo yake binafsi na bila kutaka kujua kama wahusika wenyewe wanataka kugombea tena...mara ghafla anawashtukiza kwa kuwapa taarifa wao watakuwa wagombea rasmi..,unaona ilikuwa sahihi?
Walikuwa sawa wagombea wapo palepale mkutano mkuu ndio MOYO wa chama chochote kuamua chochote na wakupinga awezi kutokea.!!!

Sio Msajili sio mwanachama mmoja mmoja Sababu waliotaka jambo lao wao ndio wengi !!!

Chadema wanagombana na Msajili tatizo lao lipo wazi !!

Chadema wamefanya maamuzi makubwa yanayoitaji mkutano mkuu

Chadema wamekwama hapo !!!!

nisawa wamekutana wajumbe wa mkutano mkuu lkn ni wachache Akidi inayoitajika aijatimia ili ule Mkutano uwe MOYO wakuamua chochote ndani ya Chadema !!!

wkt CCM Akid imetumia wagombea wapo palepale kama kukataa wanaweza !!

lkn pia Wajumbe wapo pia wanaweza kugomea kuwapitisha lkn wao wamewapitisha so imekwisha iyoo.
 
Narudia Mkutano mkuu wa Chama cha siasa chochote kikikutana na Akidi imetumia basi kikao chao kinakuwa ndio MOYO wa chama !!!!

talatibu zengine zinaweza kuwekwa kando Sababu waliokutana ndio MOYO wachama usika!!!

kujaza form kutafuta wadhamini vyote vinakosa nguvu juu ya Mkutano mkuu.

Mfano tu wadhamini inakubidi uwafate Uko walipo lkn Mkutano mkuu wadhamini wenyewe uliotakiwa kuwafata uko mikoani wamejaa mpaka wametapika kwenye Mkutano na ndio ao wamewaidhinisha waliopendekezwa kwenye kikao chao

Sasa kiakili tu wadhamini unao apo Dodoma wote wewe ukachukue form kisha Uwasubiri warudi kwao mikoani ndio uwatafute wakakudhani !!!

wakati wewe umependekezwa na waliokupendekeza na wadhamini wote wapo apo apo kwenye Mkutano mkuu.!!

Ndiomana Msajili ni ngumu kupinga sababu ni iyo Mkutano mkuu ni MOYO wa chama muimu tu Akidi itimie kama katiba yao ya Chama inavyoelekeza..
 
Back
Top Bottom