Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Wewe kila mtu ni jirani yakoRip jirani
Sad news.Ndugu zangu Watanzania,
Habari ndio hiyo ya majonzi juu ya kifo cha msajili wa vyama vya siasa mstaafu John Tendwa ambaye amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo.
Amekuwa msajili tangia wakati wa hayati Benjamini Mkapa mpaka wakati wa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete 2013.
Amepigana vita iliyo njema ,Mwendo Ameumaliza na imani Ameilinda .
Bwana alitoa,Bwana ametwaa ,jina lake lihimidiwe.
View attachment 3178639
Wewe kila mtu ni jirani yako
Mbona umemuandama?Sasa ndio umeandika nini hapa.au umeamka nazo kichwani mwako.
alikuwa mkorofi, ngoja aende apate adhabu maana alitesa sana vyama vya siasa vya upinzania.Ndugu zangu Watanzania,
Habari ndio hiyo ya majonzi juu ya kifo cha msajili wa vyama vya siasa mstaafu John Tendwa ambaye amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo.
Amekuwa msajili tangia wakati wa hayati Benjamini Mkapa mpaka wakati wa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete 2013.
Amepigana vita iliyo njema ,Mwendo Ameumaliza na imani Ameilinda .
Bwana alitoa,Bwana ametwaa ,jina lake lihimidiwe.
View attachment 3178639
Kwa lipi?Au utawachekesha?Muwe mnauacha ujinga vyumbani mwenu kabla hamjavuka vizingiti vya kwenu.
hata walio cuba ni jirani yaoWewe kila mtu ni jirani yako
RIP, msajili John TendwaNdugu zangu Watanzania,
Habari ndio hiyo ya majonzi juu ya kifo cha msajili wa vyama vya siasa mstaafu John Tendwa ambaye amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo.
Amekuwa msajili tangia wakati wa hayati Benjamini Mkapa mpaka wakati wa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete 2013.
Amepigana vita iliyo njema ,Mwendo Ameumaliza na imani Ameilinda .
Bwana alitoa,Bwana ametwaa ,jina lake lihimidiwe.
View attachment 3178639
Huyo mzee ni muongo sana.hata walio cuba ni jirani yao
Anazikwa wapi?Wewe kila mtu ni jirani yako
Lucas wewe siasa umeanza juzi tuSasa ndio umeandika nini hapa.au umeamka nazo kichwani mwako.
Ila Washamba Washamba kama wewe sitakagi ujirani mko kimbuzimbuzi zaidi ππWewe kila mtu ni jirani yako