Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
acheni tu kifo kiwepo. kinaleta uwiano wa maisha kwa watu wote.Ndugu zangu Watanzania,
Habari ndio hiyo ya majonzi juu ya kifo cha msajili wa vyama vya siasa mstaafu John Tendwa ambaye amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo.
Amekuwa msajili tangia wakati wa hayati Benjamini Mkapa mpaka wakati wa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete 2013.
Amepigana vita iliyo njema ,Mwendo Ameumaliza na imani Ameilinda .
Bwana alitoa,Bwana ametwaa ,jina lake lihimidiwe.
View attachment 3178639