TANZIA Msajili wa Vyama vya Siasa Mstaafu, John Tendwa Afariki Dunia

Ndugu zangu Watanzania,

Habari ndio hiyo ya majonzi juu ya kifo cha msajili wa vyama vya siasa mstaafu John Tendwa ambaye amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo.

Amekuwa msajili tangia wakati wa hayati Benjamini Mkapa mpaka wakati wa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete 2013.

Amepigana vita iliyo njema, Mwendo Ameumaliza na imani Ameilinda .

Bwana alitoa,Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe.

Pia soma
- Tendwa amkosoa Msajili wa vyama kuhusu ukomo wa madaraka CHADEMA

View attachment 3178639
Mungu aipumzishe roho yake kwa namna alivyojiandalia mwenyewe.
 
Alijitahidi sana kuwa fair wakati akiwa msajili wa vyama. Pia wakati ule viongozi walau walikuwa na hofu ya Mungu.

Mungu amjalie amani na pumziko miongoni mwa wateule wake

Ndugu zangu Watanzania,

Habari ndio hiyo ya majonzi juu ya kifo cha msajili wa vyama vya siasa mstaafu John Tendwa ambaye amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo.

Amekuwa msajili tangia wakati wa hayati Benjamini Mkapa mpaka wakati wa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete 2013.

Amepigana vita iliyo njema, Mwendo Ameumaliza na imani Ameilinda .

Bwana alitoa,Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe.

Pia soma
- Tendwa amkosoa Msajili wa vyama kuhusu ukomo wa madaraka CHADEMA

View attachment 3178639
Jaji Mutungi jifunze kutenda haki ktk nafasi yako. Kifo kipo na hukumu kwa matendo yako ipo.
 
Lucas wewe siasa umeanza juzi tu

1980s baadhi ya vijana walienda Mbowe Hotel Kwa akina Dj Saydo na Kalikali kuangalia tu mbwembwe za Freeman alivyokuwa anafunga " mguu wa kuku" chini ya kwapa

Wewe ulikuwa bado vinenani mwa mlugaluga mmoja mashambani Vwawa huko 😂😂
Huyu shetani hata siasa hajui
 
Attachments

  • images (13).jpeg
    images (13).jpeg
    10.9 KB · Views: 1
Ndugu zangu Watanzania,

Habari ndio hiyo ya majonzi juu ya kifo cha msajili wa vyama vya siasa mstaafu John Tendwa ambaye amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo.

Amekuwa msajili tangia wakati wa hayati Benjamini Mkapa mpaka wakati wa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete 2013.

Amepigana vita iliyo njema, Mwendo Ameumaliza na imani Ameilinda .

Bwana alitoa,Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe.

Pia soma
- Tendwa amkosoa Msajili wa vyama kuhusu ukomo wa madaraka CHADEMA

View attachment 3178639
Akakutane na File lake sasa huko ambako hakuna cha kusema mimi nilikua ccm
 
Back
Top Bottom