TANZIA Msajili wa Vyama vya Siasa Mstaafu, John Tendwa Afariki Dunia

Attachments

  • images (13).jpeg
    images (13).jpeg
    10.9 KB · Views: 2
Ndugu zangu Watanzania,

Habari ndio hiyo ya majonzi juu ya kifo cha msajili wa vyama vya siasa mstaafu John Tendwa ambaye amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo.

Amekuwa msajili tangia wakati wa hayati Benjamini Mkapa mpaka wakati wa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete 2013.

Amepigana vita iliyo njema, Mwendo Ameumaliza na imani Ameilinda .

Bwana alitoa,Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe.

Pia soma
- Tendwa amkosoa Msajili wa vyama kuhusu ukomo wa madaraka CHADEMA

View attachment 3178639
Pole kwa Wafiwa, Roho yake iwekwe mahali inapostahili kutokana na Matendo yake hapa Duniani, Amina
 
Pole kwa familia! Kama aliishindania imani katika Kristo Yesu mpaka mwisho,roho yake iko pazuri zaidi ya hapo ni kufarijiana tu BWANA alitoa na BWANA ametwaa.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Habari ndio hiyo ya majonzi juu ya kifo cha msajili wa vyama vya siasa mstaafu John Tendwa ambaye amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo.

Amekuwa msajili tangia wakati wa hayati Benjamini Mkapa mpaka wakati wa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete 2013.

Amepigana vita iliyo njema, Mwendo Ameumaliza na imani Ameilinda .

Bwana alitoa,Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe.

Pia soma
- Tendwa amkosoa Msajili wa vyama kuhusu ukomo wa madaraka CHADEMA

View attachment 3178639
R.I.P John Tendwa 🌹
 
Back
Top Bottom