Alikuwa Msajili wakati huo lakini siyo yeye tu wakulaumiwa.
Vyama viliamini vikisajiliwa vikadhani inatosha , kumbe serikali iliwaingiza kwenye mtego.
Walitakiwa kususia uchaguzi hadi kieleweke.
Tindwa mwenyewe alichukua kazi hiyo akiwa na njaa kali akiwaogopa vigogo badala ya kuogopa na kuheshimu sheria.
Kukosekana kwa taasisi au muhimili wa kupima na kukosoa kama Msajili anakitendea haki kiti chake.