Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
![]()
Green Guard Zanzibar ni Imara zaidi ya Chuma.![]()
Tena ni mtaalamu wa sheria,too low for him."KAMA katiba zao zinaruhusu wazifanyie marekebisho"...
Ina maana huyu msajili hajawahi kuzisoma hizo katiba. Sasa huwa anaenda ofisini kila siku asubuhi hadi jioni kufanya nini!
Msajili wa Vyama vya Siasa, amedai wote watakao kiuka kuvunja vikundi binafsi vya ulinzi vya vyama hivo atavifuta.
Amedai kama Katiba zao zinatambua jambo hilo walifanyie mabadiliko haraka.
Tamko hill limetolewa kwa ushirikiano wa IGP Mangu kwa niaba ya Jeshi la polisi na ofisi ya msajili.
My Take.
Niwazi kwa ubishi wa CHADEMA bila shaka kitafutwa katika medani za siasa.
Chanzo. RFA magazeti
![]()
Green Guard Zanzibar ni Imara zaidi ya Chuma.
![]()
"KAMA katiba zao zinaruhusu wazifanyie marekebisho"...
Ina maana huyu msajili hajawahi kuzisoma hizo katiba. Sasa huwa anaenda ofisini kila siku asubuhi hadi jioni kufanya nini!
Aanze na ccm wafute chipukizi na wengine watafuata hiyo ni njia ya kuzuiya uhuru wa vyama kulinda wizi wa kura na kwanni hili limetangazwa muda mfupi tu kuelekea uchaguzi?tunamashaka sana na msajili na mangu wana ajenda ya siri ambayo ipo wazi kwamba wana njama za kuibeba ccm.
Tendwa alitamka kauli kama hiyo kabla hajakifuta Chadema akafutwa yeye