Magufuli alegeze nini ambacho wananchi wote 60mil hawapitii kama mimi?
Maji,petrol,unga,nyanya,mkate,mahindi,mchele,sukari,etc vyote tunanunua mahali pamoja!
Sasa sijui kwanini uni-single out mimi tu kati ya watu 60mil tunaoteseka nchi hii?
Maana watu 59,999,999 wanaishi maisha saaafiiii sana yasiyo na kuteseka maana wao wananunua mahitaji mbiguni kasoro mimi tu?
Mimi kuona kosa la Msaki ni sawa kabisa,ni ajabu kama asingeona yeyote!
Ndio maana mtu mdogo kama mkulima anaruhusiwa kabisa kumtoa makosa mtu mkubwa kama rais na ni haki as per laws!
Wewe kwa mujibu wa ubongo wako ni kwamba anaeruhusiwa kumtoa rais makosa ni marais wengine tu na sio yeyote yule ndani ya nchi maana ni wadogo kwake!
Dikteta wahedi kabisa!
Msaki ni mtu mwenye nafasi kwenye jamii kama alivyo waziri au rais for that matter,mimi wewe na yule ni haki yetu kuona makosa na kusema no matter who he is!
And that a real society!
Huna hii self correcting society then huna society kabisa!
Na wewe ndio unataka kutuletea huu upumbavu!
Goodluck with that!