Msaki anayemiliki mjengo wa Kibo Complex anaweza akawa kwenye top 10 ya matajiri weusi Tanzania

kwanini ulisemee hapa kwanini unamnanga mtu hapa kama sio mipasho ni nini kijana...tena ni mtanzania, yupo tanzania, kwanini usimtafute kumueleza hio shida uliyoiona pengine ungepata hata pesa, una choose kulisema hapa kwa faida ya nani na yeye si ajabu hata hayupo humu, kama sio unafiki ni nini bwana mdogo
Uzi umeletwa hapa,na najibia hapahapa!

Wewe unataka dunia hii mambo mazuri tu ndio yawekwe wazi ila mambo ya kukosoa yasiwekwe wazi?

Unaona lidikteta hili?

Wewe unataka kila linalokufurahisha tu ndio liwe wazi ila yale ya kukosoa inatakiwa tuongee "chini ya kapeti"!

Haya mambo kafanyie chooni madikteta nyie!

Mazuri na makosoaji yote yapo hapa hapa!

Siri za chini ya kapeti kaongee nae chooni huko!

Weak people,maoga kama makunguru,kama unajiamini huogopi makosoaji,you weak ass motherfvckers....

Y'all so weak minded Fvckers!

We cant help ya with your weak minds!
 
Ule mjengo wa Kibo Complex dooh si mchezo, shule ya Wazo Hill, wakala wa cement etc nahisi jamaa biashara zake zinaingiza hata bilioni 1 kwa mwezi hata kama kajenga kwa kuchukua mkopo benki, jamaa ana mafanikio sana.

Halafu nasikia alipataga Div. 0 Form Six, maisha haya.
Angekuwa na pesa kiasi hicho, lile jengo la nyuma lisingemshinda kwa miaka mitano!
 
Ule mjengo wa Kibo Complex dooh si mchezo, shule ya Wazo Hill, wakala wa cement etc nahisi jamaa biashara zake zinaingiza hata bilioni 1 kwa mwezi hata kama kajenga kwa kuchukua mkopo benki, jamaa ana mafanikio sana.

Halafu nasikia alipataga Div. 0 Form Six, maisha haya.
Eeh Huyo Msako ana wake wangapi?.wewe Ni wangapi?
 
kuna kufaulu mitihani na kufaulu maisha...kufeli mitahani ya shule haimaanishi huna akili nyingine ya kimaisha
Duh umenikumbusha juzi hapa tulikusanyika kumzika classmate wenzetu tukajikuta tumekutana watu kama 17 hivi wote tulikuwa darasa moja...... Aiseee maisha ya class nitofauti kabisa namaisha halisia...... Wale waliokuwa vipanga wengi wao wamechoka sanaaaa ila wale waliokuwa zwazwa class ndio mashallah kimtindo wanaunafuuu.
 
Top ten halafu unazungumzia 1b kwa mwezi.(12b kwa mwaka)? Kama ndio hesabu yake hio haingii kabisa kwenye top 10.
Mhhhh mkuu billion 1 kwamwezi sio mchezo kwahiyo wataka kusema walio top ten wanaingiza ngap?
 
Ule mjengo wa Kibo Complex dooh si mchezo, shule ya Wazo Hill, wakala wa cement etc nahisi jamaa biashara zake zinaingiza hata bilioni 1 kwa mwezi hata kama kajenga kwa kuchukua mkopo benki, jamaa ana mafanikio sana.

Halafu nasikia alipataga Div. 0 Form Six, maisha haya.
lengo la huu uzi
 
Hapo kwenye Div.0 form six acha uongo,jamaa alichana kinoma.
 
With your thinking una suggest tunapoona kosa mahali tusiseme tuendelee kunyamaza?

Tunyamaze sababu haisaidii account zetu kupata hela?

Hii ndio thinking yako?

I see,tuna shida zaidi ya hapa!
Wewe jamaa unakosea sana.. Kwahiyo kila mtu sasahivi abadilishe biashara ahamie huko kwenye technology??

We jamaa sometimes tuliza ujuaji.. Hakuna thread yeyote humu JF umechangia in a positive way, wewe kila mahali ni kuponda tu. Una matatizo si bure mkuu..
 
Kwhaiyo tumetoka kwa Msaki umekuja kutaka kujua my business interests?

Kwahiyo hapa hoja si Msaki tena?

Hoja imegeuka ni nigga Wyatt Mathewson?

Kama ni hivyo basi nifungulie uzi tukutane huko nikupe details and then whaat?
Toka nimeijua jf nahisi kunenepa
 
Ule mjengo wa Kibo Complex dooh si mchezo, shule ya Wazo Hill, wakala wa cement etc nahisi jamaa biashara zake zinaingiza hata bilioni 1 kwa mwezi hata kama kajenga kwa kuchukua mkopo benki, jamaa ana mafanikio sana.

Halafu nasikia alipataga Div. 0 Form Six, maisha haya.
Acha uongo kabisa. Alisoma Uru Seminary na hakupata 0. Wivu kitu kibaya sana
 
Wewe jamaa unakosea sana.. Kwahiyo kila mtu sasahivi abadilishe biashara ahamie huko kwenye technology??

We jamaa sometimes tuliza ujuaji.. Hakuna thread yeyote humu JF umechangia in a positive way, wewe kila mahali ni kuponda tu. Una matatizo si bure mkuu..
Jamaa mjuaji halafu mihemko kibao
 
Kibo complex ya Mama Mkapa, Jamaa ni mshika mapembe tu
Acha uongo. Ni mikopo mkubwa CRDB na ninahisi Karibu anatua mzigo. Msaki ametoka kwenye familia ya business background msingi kutoka kwa Marehemu baba yao. Lingine kama in all uliza au sema.
 
Back
Top Bottom