Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #61
We nawe mwehu, SI imesema uli muona kwenye clip😃🤣😄.Angejikausha afu mm mwenyw mikausho kibao tungevimbaiana tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We nawe mwehu, SI imesema uli muona kwenye clip😃🤣😄.Angejikausha afu mm mwenyw mikausho kibao tungevimbaiana tu
Nashukuru Mkuu.
Ilikuwa wazi, Kuna Jamaa walikuwa Wana izungumzia tweeter.MImi binafsi sikuwa nafahamu asee, nilikua mbali kidogo na bongo fleva
Katika kitu sijaulizaga wazazi ni hicho na mpaka Leo hawajanipa cheti la saba na Cha kuzaliwaJibu swi Nyumbu ehh😆😃🤣
Utu 🎤🥰MAPENZI Yana run dunia, Mali yangu, khadithi
My everything, nakshi nakshi, happy ft sarkodie, khabity ft Jones.
Maisha yangu yenyewe mbio tosha. Nafukuzia uhai tu.Wewe una fukuzia Nini mkuu😆🤔
🤣🤣Nimejibu swali au sijajibu?We nawe mwehu, SI imesema uli muona kwenye clip😃🤣😄.
Mimi wali nambia Mwezi uli onekana, so huwa niki angalia jua.Katika kitu sijaulizaga wazazi ni hicho na mpaka Leo hawajanipa cheti la saba na Cha kuzaliwa
baba paroko akiiona hiyo comment....
Kodi ya kichwa Kodi ya nyonyo(titi) na mengine nlibahatika kushuhudia...sasa kadiria ntakua na umri gnMimi wali nambia Mwezi uli onekana, so huwa niki angalia jua.
Nahisi ndo simu yenyewe.
😹😹😹😹 Baba Paroko anajua fika nampenda Ali hana shida hata.baba paroko akiiona hiyo comment....
sema wadada wengi mnampenda ally kiba
Crown SI taji mkuu??, king SI mfalmeHivi Crown na Kings vyote ni 🤴 ? Basi sawa.
Kwani radio na TV HAZIPO MTANDAONI? KIA RADIO SAIV IKO LIVE YOUTUBE NA FACEBOOKRadio na TV siku hz hazina nguvu kiivo maaana wanahariri hadi wanaharibu lkn mitandaoni taarifa inaletwa kama ilivyo
Dah ila mi Mwezi, so piga hesabu Mwezi toka uanze Niko grade ipiKodi ya kichwa Kodi ya nyonyo(titi) na mengine nlibahatika kushuhudia...sasa kadiria ntakua na umri gn
Mihogo mnaichukulia poa sio? Mtu kama ww unaweza Kuta unaona ufahari kula chips zege.Juzi nlikuwa napita pita Instagram nikakuta clip huyo jamaa aliepo kwenye avatar yangu yupo Coco beach anakula mihogo
bila kukisahau chanzo cha kuaminika nacho kipewe creditNdio mnipe heshima yangu sasa 🙂
Nikupe namba?Hongera zake, nampenda sana.