Msanii AY afunga ndoa na mpenzi wake huko Rwanda

Advocate umeoaa mnyarwnda nn mkuu Mbna umeibuka kwa utetezi dhid yao [emoji23][emoji23]
Hahahah, wanawake wa kitutsi wazuri bwanaa. Hebu mwangalie K-LYN. Hivi unadhani kwanini Mzee wetu Mengi aliwaacha wakina Madam Rita akamuoa Jackie ???

Watu wameanza kumponda AY kwamba kwanini kaoa Rwanda, ilhali wamesahau kwamba mama yake AY naye ni Tutsi. Wana nongwa kweliiii.....
 
Aisee, umechafukwa nyongo kweli. Ila ndiyo ukweli wenyewe huo. Waache vijana waoe wanapopenda, kama kuachana ndiyo tatizo, mbona hapa Tanzania ndoa zinavunjika kila siku tu...
Sikiliza Malcom tushasema hivi muoe nyumbani mnakimbilia pua ndefu dada zenu wenye pua pana nani ataoa
Na hao wenye pua ndefu hawawapendii
 
Mazeee, Ethiopia nimefika, wanawake wa kihabeshi ni wazuri sana lakini hawana maumbo kama ya Watutsi. Wengi ni Slender na siyo warefu. Labda wale wa Tigray ndiyo wana maumbo makubwa....
 
Mazeee, Ethiopia nimefika, wanawake wa kihabeshi ni wazuri sana lakini hawana maumbo kama ya Watutsi. Wengi ni Slender na siyo warefu. Labda wale wa Tigray ndiyo wana maumbo makubwa....
Sawa wanyarwanda Wana maumbo kwa kweli Haina ubishi ..ila wameru na wachaga na wamasai ni sawa nimesoma na wameru ni warefu ila wako flat na makomwe wanapendeza wakinyoo sasa shuka kweny kiuno kama funza hawana maumbo mazuri.

Ukija kwa maumbo kwa level za kibongo na kiafrica Ina matter ila sio kidunia kwa sana hayo makalio yapo overrated kwwnu michezo iyo ya sex tourism ila sio katika kurank warembo wakali ...hao wengi hawaolewi ni show off tu
 
Ukija kwa maumbo kwa level za kibongo na kiafrica Ina matter ila sio kidunia kwa sana hayo makalio yapo overrated kwwnu michezo iyo ya sex tourism ila sio katika kurank warembo wakali ...hao wengi hawaolewi ni show off tu
Hahahaha braza, sehemu yoyote ile duniani ambako kuna SEX-TOURISM lazima kuwe na wanawake wazuri mfano Brazil, Dominican Republic, Vietnam n.k. Tuweke siasa za kitaifa pembeni, wanawake wa kitutsi wengi wao wanavutia. Lakini hoja yangu ya msingi hapa, ni kwamba tusipangiane maisha na tusifurahie ndoa ya AY kuvunjika maana hata hapa Tanzania ndoa nyingi tu zinavunjika.

Tatizo siyo mwanamke wa kitutsi, tatizo ni anguko la maadili baina ya wanandoa vijana......
 
Sioni ishu ya kufurahia ndoa kuvunjila haswa mtu kama AY ...unajua sisi tunapenda wenzetu wapate matatizo sana kitu ambacho hakina faida kabisa...

Kiukweli wanawake wa hao sijawai kuvutiwa nao mi labda weny asili ya ushombeshombe wa kiarabau haswa mademu wa upate wagunya ,wasomali
 
Bwahahaha, mke ni mke tu, maadam umemuoa. Hivyo msiwapangie watu maisha, na amuoe nani. Mimi nashauri vijana waendelee kufurahia maisha na kuoa wake watakaowapenda hata nje ya nchi.....
Waliooa hao watu na kupigwa matukio ndo wameelewa somo
 
Wakikwambia uoe Somalia utakataa ???
 
Hehehehe waliozingatia muonekano badala ya tabia mfano ni AY mwenyewe Kiko wapi Sasa😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…