Yule mwanamke aliyempiga risasi akakimbia si ndio huyo alikuwa amekaa mgahawani chini.
😂😂😂😂🏃♂️RIP classmate
Inaoneka alikua yuko bwax,gambe ilikolea kichwani,na blood pressure vikasabisha moyo ukashidwa kufanya kazi kabisaIle clip nimeiangalia kwa Tv ili nione clearly.
Alipoanguka mara ya kwanza yule aliyemuinua si angemuuliza kama yuko sawa?
Ye akamsimamisha mwenzake dah
Apumzike kwa amani
Sijui Kuna nini madogo hawavuki 30 kabisa wanachukuliwa bado wadogo sana.28 years!!! ,2pac aliondoka much younger @ 26years
Hata kama ni taarifa za msiba, bado hatuwezi kuyafumbia macho marungu[emoji1][emoji1].Hebu punguza kutupiga marungu, we SI umeuliza hata dakika 1 haijaisha[emoji848][emoji848]. Au ndo kuchangamsha genge[emoji848][emoji848]
[emoji1][emoji1]Kumbe umeenda kaumri[emoji6]
Inaoneka alikua yuko bwax,gambe ilikolea kichwani,na blood pressure vikasabisha moyo ukashidwa kufanya kazi kabisa
Ujuaji mwingi tu, hapa leo kila mtu atajua jinsi moyo unavyofanya kazi, vitu ambavyo COSTA alivitumia kabla ya kwenda stage ilhali tupo nao hapa Bongo[emoji1].Umejuaje?
Mi nasubiria report kama watatoa nin kilisababishaUjuaji mwingi tu, hapa leo kila mtu atajua jinsi moyo unavyofanya kazi, vitu ambavyo COSTA alivitumia kabla ya kwenda stage ilhali tupo nao hapa Bongo[emoji1].
asituone malofaa, ndo ile marehemu nilikuwa namdai. Kumbe ni mtoto mchanga😎🙉Hata kama ni taarifa za msiba, bado hatuwezi kuyafumbia macho marungu[emoji1][emoji1].
Africa Kuna Mambo mengi ya ajabu Sana. 👉Jaman nyie huendaaa
YeahAfrica Kuna Mambo mengi ya ajabu Sana. 👉
👉Wivu, chuki na hata usaliti.
Bora wafanya kazi wenzio, kuliko marafiki, ndugu wa karibu na hata wanna familia aiseeYeah
Wanadamu wamejaa chuki sana
Sitaki kukumbuka mapito aliyopitishwa na wafanyakazi wenzake mtu wangu wa karibu