Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Yule mwanamke aliyempiga risasi akakimbia si ndio huyo alikuwa amekaa mgahawani chini.
Aisee ni yeye ina maana hakuna camera upande mwingine inayoonesha sura ya huyo dada maana lazima kuna camera angle zote na wakati anaingia hapo hotelin