TANZIA Msanii Costa Titch afariki dunia baada ya kudondoka stejini

Yeah for sure , but 2pac legacy still lives, , sina clue alikuwa ni kijana mwenye upeo wa kiasi gan ila nadhan hakuwa kijana wa kwaida .
Hadi leo Interviews zake nyingi ukiangalia unaona kichwani alikuwa very smart nigga
Alitakiwa awe mwanasiasa sio rapper.Kifo chake kilikua kama Bob Marley vile.Waliuawa kwa misimamo yao
 
Tupac ni USA, tena yule odds zilikuwa against naye. Ila this is Costa tich.
👉Alikuwa na bifu??
👉Au ajali tu🤔🙏
Najairibu kuelezea jinsi life lilivyo delicate and very unfair for some people
Nakaribia kuishi mara mbili ya umri wa 2pac, halafu sina impact au legacy yoyote ya maana nitakayoiacha kwa jamii niliyoishi!!! , Why the good die young? That's very disturbing!!
 
Vijana wanaondoka wadogo sana wengine fame ndiyo chanzo, sasa sijajua kama alitubu alivyo mpigia debe shetwan akiwa na mbossonyo au ndiyo shettwaa atakuwa mwenyeji wake kwenye makao mapya.
Jamaa hakua sawa pale on stage sijui kwanini hawakugundua kabla?, Yaan kamdondokea hadi yule body guard mara ya kwanza akamuinua hajagundua tu kwamba jamaa hayupo sawa?

Hapa jamaa alianguka ndio shida ilianzia wakamuinua,

Alipotembea kidogo akaenda wanapopuliza gesi ile ya jukwaa ile mimoshi

Sasa hapa kwenye mimoshi ndio jamaa alipokosa pumzi ukiangalia unaona kabisa jamaa

Kingine ukiangalia unaweza sema ni on stage km alivyoanguka Papa Wemba lakini titch amedondoka kutoka juu ya jukwaa mpaka chini
 
Bwana mdogo saaana yaani dah kweli vizuri havidumu
 
Mkuu ishi tu maana kuishi ni bahati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…