TANZIA Msanii Costa Titch afariki dunia baada ya kudondoka stejini

Kwao!? Wapi!!?
Kwao na nani!?

Mkuu mbona unataka tugea chai usiku..
Huku kumekucha tayari Swala Swala km zote Kwakwiikoo km zote Ila club bado zina bang tu watu wanamwagilia moyo mpaka kuna kucha,
 
Kuzindua hakunaga muda mkuu, watu wanazindua tu iwe kabla ya au baada ya au wakati wa ile kitu haina muda maalum
Sasa hio ndio unapiga chini.
Papa wemba haikua mambo kujidunga,afya ilikua mbovu tAyari akapewa deal hilo abidjan pesa mingi kazama.
Ndo kaishia pale.
Alikua ametoka hospitali😶
 
Huo moshi una sumu..na ndo umemuua..
 
Sasa hio ndio unapiga chini.
Papa wemba haikua mambo kujidunga,afya ilikua mbovu tAyari akapewa deal hilo abidjan pesa mingi kazama.
Ndo kaishia pale.
Alikua ametoka hospitali😶
Ya Papa Wemba yanaeleweka Ila ulipogusia kuhusu dawa ya minyoo nikasema hio hainaga muda maalum muda wowote hata on stage mtu anaweka kwa mwili bila wasi wasi
 
Huo moshi una sumu..na ndo umemuua..
Usisahau ameanguka toka juu ya stage mpaka chini, juu Pana urefu sio km alivyoanguka Papa Wemba si umeona jamaa wanadumbukia chini kwenda kumuokota

Alafu ukiangalia kwa makini unaona km kuna mtu alikua anampiga hadi akaanguka pale jukwaani (Ila haonekani) mazingaombwe, mwisho kule kwenye mimoshi kamsuka adondoke chini ya stage
 
Ulikutana na tapeli tu,Kama matapeli wengine
 
Ulikutana na tapeli tu,Kama matapeli wengine
Mama mchungaji sio tapeli nilikuja kujua baadae kua yule dada ni mtoto wa mchungaji fulani, baada ya hio siku moja katika pitapita zangu akanitambulisha kwa mama yake Ila Mimi niligoma kua pastor wa mchongo ingawa Bible knowledge imelala kichwani,
 
Alizidisha dozi?
 
Adam na Hawa walivyoumbwa walikuwa na nguo zipi ?
Kama hawakuwa na nguo iweje uone ajabu hao kuvaa nusu uchi kwa 99% ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…