Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Too young to dieView attachment 2546922
Taarifa zilizothibitishwa zimeripoti kuwa msanii Costa Tich amefariki dunia.
Msanii huyo alikuwa akifanya onyesho stejini, ndipo alipo anguka ghafla na kukumbwa na umauti.:๐
๐ Taarifa za kina zaidi, kuhusiana na chanzo Cha kifo bado hazijajulikana. Zaidi ya kusemekana ni ajali tu.
Miongoni mwa kazi zake zilizo vuma ni goat, super star, Mr big flexa, ma gang na nyinginezo.
Mwenyezi MUNGU, aipumzishe roho ya marehemu, mahali pema๐๐.
View attachment 2546885
View attachment 2546923
Lyrics zake Costa Titch hizi hapaVijana wanaondoka wadogo sana wengine fame ndiyo chanzo, sasa sijajua kama alitubu alivyo mpigia debe shetwan akiwa na mbossonyo au ndiyo shettwaa atakuwa mwenyeji wake kwenye makao mapya.
Not trueโฆ. Anybody can dieToo young to die
Mkuu ndugu angalia ile clip vizuri utaona kitu aisee macho yako hayaoni kitu itakuaBoy , you are imagining things.
Muonekano wangu Yes naweza kua pastor Ila sihitaji kua pastor wa mchongo, na sina MPANGO huo nitabaki kua mtazamaji tu yaan mtu anakushawishi kwamba wewe una kitu ndani na ukichanganya na muonekano unafaa kabisa kua pastor aisee Mimi niwe pastor?Vizuri,asa hapo hukugoma ww bado roho wa Mungu hajaka kwako bado ana mashaka na ww,japokuwa mistari ya Bible unaitahamu.Siku akiona unafaa atakuongoza na hamna utakachopinga.Usisahau kunitag siku ukiwa mtumishi ๐๐
Khaa..!!Not trueโฆ. Anybody can die
We just lost a super star wa ngoma kali
Sawa Afande RamaUmebaki mpumbavu wewe. Siku zako zinahesabika.
Last born wetu anampenda ๐ฅนMchizi alikuwa anaifanya poa sana amapiano
YawezekanaKuna jamaa kanichek whatsup group mda huu huu ila bado siamini naona uongo hapa anadai jamaa alikua na uzito uliopitiliza.Ndio nasikilizia na wengine nihakikishe zaidi.
Cardiac arrest ,hata wew unaweza dondoka maana hainaga Cha dalili Wala umri japo kwenye umri mkubwa magonjwa ya Moyo ni common.Ni wiki kadhaa zipite toka rapa wa South Africa A.K.A afyatuliwe risasi
Msanii mwingine wa miondoko ya amapiano Costa Titch adondoka jukwaani na kufariki hivi punde...
DOKTA UCHWARAAAAACardiac arrest ,hata wew unaweza dondoka maana hainaga Cha dalili Wala umri japo kwenye umri mkubwa magonjwa ya Moyo ni common.
Wachezaji wa 2 wamefarika mwezi huu Tanzania na Ivory Coast Kwa Ajili ya Hilo.DOKTA UCHWARAAAAA
Ati cardiac arrest!!!
Mtatafuta tu cha kusingizia huyo hapo alidondoka chini ni death experience ilimuanza akajaribu kunyanyuka akanyoosha tu mkono juu akamalizikia, kama ni moshi wako nao hapo stejini miaka yote kwani mkuu ni moshi wa mkaa huo mpaka akose hewa.Jamaa hakua sawa pale on stage sijui kwanini hawakugundua kabla?, Yaan kamdondokea hadi yule body guard mara ya kwanza akamuinua hajagundua tu kwamba jamaa hayupo sawa...