Msanii Diamond Platnumz kulipa kodi ya nyumba ya miezi 3 kwa familia 500 za hali ya chini

Msanii Diamond Platnumz kulipa kodi ya nyumba ya miezi 3 kwa familia 500 za hali ya chini

Hatimaye Tanzania yakumbwa na Umasikini wa kutisha
''Najua katika kipindi hiki cha Corona, mambo mengi hayajakaa sawa, hususan upan ( 640 X 640 ).jpg
 
Nina wasiwasi na akili za mashabiki wa diomond hata siku moja hawajawahi kujiongeza hivi ule msaada kule sumbawanga alikamilisha?
 
"Diamond amethubutu na endapo akigombea Urais nitamuunga mkono."

Angalia sana mapenzi na ushabiki visikufanye ufikie sehemu ya Kukufuru!
Utasemaje amethubutu wakati bado hajatoa huo msaada?



kwangu Mimi Mpaka Sasa Diamond Ni Bora kuliko jamaa na Serikali yake ya MMC
.

Huu ni ushoga kama ushoga mwingine.
 
Bila Kiki babiliyusibii hamfanyi kaz kabsa

stidy
 
Hapo akifanya utafiti na kuhoji mmoja mmoja kwa wale wanao-qualify kulipiwa, 95% watataka hiyo kodi ya miezi 3 wapewe chao mkononi kisha wapambane kivyao na akina baba wenye nyumba!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

stidy
 
Kama mtu haujui kodi za uswahilini uneweza kufikiri jamaa atatoa bilioni na ushee kumbe kodi ya miezi mitatu uswahili ni kati ya sh 45,000 hadi 60,000/= maana kodi ya chumba uswazi ni elfu 15 hadi elfu 20 kwahiyo kwa familia 500 atatumia kati ya milioni 22 hadi 30 😀 😀 😀 😀 😀.
 
Back
Top Bottom