Mkuu utajenga kila sehemu? nilijenga kijijini kwetu huko Same Milimani.inabidi uachwe wakati huu mgumu ukupige ili ushikishwe adabu kwanini hujajenga na uwezo unao!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu utajenga kila sehemu? nilijenga kijijini kwetu huko Same Milimani.inabidi uachwe wakati huu mgumu ukupige ili ushikishwe adabu kwanini hujajenga na uwezo unao!
Chumba gn kwa 30000 labda MBAGALA,,,na KWA MTOGOLE..30,000x3x500=45,000,000/= (kadirio la chini). hongera kwake, si haba hata kidogo!
Nilishatoa kwa level ya mtaa Saguda47Unakosea kuweka uzi halafu unaanza Tena kutaja watu wengine eti unawashauri wafanye vile, hizi Ni pesa sheikh Kila mtu anajua account yake ilivyo.
Kama na wewe umeona no vyema toa hata sanitizer 2 kwa wahitaji maana kutoa Ni moyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
ulipaswa uanze mjini hapo kabla ya same!Mkuu utajenga kila sehemu? nilijenga kijijini kwetu huko Same Milimani.
nimesikia eneo lengwa ni tandale na watu lengwa ni maskini, kuna utofauti? pia hilo ni kadirio la chini tu
Kwao tandaleHizo kaya ziko mbagala au sinza?
Sawa MKUU.. kama kwa TANDALE 150 000 ni KODI ya mwaka mzimanimesikia eneo lengwa ni tandale na watu lengwa ni maskini, kuna utofauti? pia hilo ni kadirio la chini tu
Kwan utarogwa mkuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hapo akifanya utafiti na kuhoji mmoja mmoja kwa wale wanao-qualify kulipiwa, 95% watataka hiyo kodi ya miezi 3 wapewe chao mkononi kisha wapambane kivyao na akina baba wenye nyumba!
Ndio target yake hiyo ila kwa kinondoni/kawe etc hawezi kupata labda kwao huko Kibondo,nguruka,katubuka,kapalamasenga,kazilamimba,kasulu,kakonko,nyakanazi,kalemaAna mpango wa kuingia kwenye siasa??